Search results

 1. W

  Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

  nitakua nafundisha uchi milele kamwe siji kuvaa nguo
 2. W

  Maajabu ya dunia yanataka kufanyika Tanzania

  wakat wengine wanafikiria kuungana kuunda mataifa yenye nguvu nyie mwafikiria kutengana.. imbecile
 3. W

  Ridhiwani ashinda ktk Kura za maoni CCM kuwania kiti cha Ubunge jimbo la Chalinze

  wewe mwenye kisu kikali ndo mla nyama ata kama Madega ngekua na ushawishi namna gan but wa bongo weng wanaangalia nani mwenye pesa nyingi sijui hudhan atawagawia hebu ulzia mbunge wa jimbo la njombe kaskazini ana nini? utajua wabongo weng wanampenda kiongoz gan
 4. W

  Wabunge wagomea posho ya laki 3, wasema ni ndogo

  Leo nimetoa machozi juu ya uchawi unaotaka kufanyika hapa kwa hali kama hii sioni sababu ya kuishi TANZANIA mwalimu wa kawaida anaehangaika kila dakika kwa siku moja analipwa elfu 8 kama siyo 10000/= kwa siku na huyu mtu anafamilia na anamudu mahitaji ya familia yake wewe mbunge wa katiba ya...
 5. W

  Zitto: Nipo tayari kupokea maamuzi ya kikao cha Kamati Kuu kesho (Jan 3, 2014)

  Zitto ni mwanaume na nnamkubali sana si kwa lile alilofanya bali kwa kua yeye ni mzima kiakili Ameweza kupigana hata dk ya mwisho na bado alikua anajiamini *** kwangu mimi naona amefanya vyema sana kuwapa changamote katika chama na Bungeni Wahenga walisema "HAKUNA USHINDI PASIPO MASHINDANO"...
 6. W

  CHADEMA yaitisha kikao cha Kamati Kuu

  inamanagani kuwekwa hapa hi post mbn niya kilong kinouma tunataka currently issue
 7. W

  Tanganyika yetu hiyo yarudi kwa kishindo

  A powerful Kingdom like USA , UK, CHINA was formed by united Nashangaa sana sisi vinchi maskini kama nin Hatuioni thamani ya huu muungano**** "ALIE UCHANGANYA MCHANGA LEO MCHANGA UMEMFUKIA" ni baadhi ya kauli zawakosaji
 8. W

  Habari gani uliiona kubwa kwa mwaka 2013? (Kimataifa)

  kwangu mimi kama mtanzania niliguswa sana na lile tukio la ARUSHA SOWETO Watanzania wengi kabla hatujapata taarifa kamili moja kwa moja tulijua ni AL~SHAABABU washa tia timu BONGO
 9. W

  PICHA: mkutano funga mwaka wa mh. msigwa leo

  msigwa ni mechi za ugenini ogopa moto unaochoma
 10. W

  Mangariba 38 wakamatwa Moshi Tanzania

  Hey pare kumbe bado mnaendeleza mila za kishamba izooo poleni mabinti wa same
 11. W

  Kuhesabu pesa ulizopewa na mpenzi wako mbele yake.

  wanahesabu apo apo ili ajue ata ikiwa zimepotea atasema nmepoteza kiasi fulani cha pesa au akichomolewa nyingne ajue
 12. W

  Mangi aamua kupiga kiberiti nyumba yake mara baada ya kubaini mke anasaliti penzi lao

  huyo anamatatizo ya akili sio mzima kimke chenyewe unashangaa kakioa kwa laki moja afu achome nyumba ya mamilio atajilaumu sana
 13. W

  Ni kweli kuna makabila yasiyotakiwa kutoa rais wa nchi?

  Hapana hoja kua kuna baadhi ya makabila tu ndio yanapaswa kuichukua ikulu si kweli kabisa ni mambo tu ya kufikirika ila sema tu yapo baadhi ya makabila ambayo yalichelewa sana kuelimika hivyo hata kama wakiwania kiti kile hawatokipata kabisa na wengine ni wenye itikadi za kikabila yaani...
 14. W

  Zimebaki siku ngapi za kina Zitto?

  Hebu vuta picha hili tukio lingekua ccm cdm ndo wengejua ni muda muafaka kwa wao kuchukua point tatu muhimu maana mara nying sana wameonekana kukinyooshe vidole chama tawala hususani kinapochelewa kutoa maamuzi mazito kama yale ambayo wao wangepaswa kuyafikia kwa muda mfupi kama ilivyokusudiwa...
 15. W

  HAYA MAGARI LAND ROVER DEFENDER BADO YANAFANYA KAZI JAMANi?

  mzizi mkavu sema tu na watu wengi wamestarabika mambo ya vurugu na fujo wamerithishwa ng'ombe mbuzi na kuku lakini wanadamu tunafanya makubaliano mazuri
 16. W

  Sanamu ya Nelson Mandela yazinduliwa leo Africa Kusini

  Sanamu ya nelson mandela yazinduliwa leo Afrika kusini na ni sanamu kubwa kuliko sanamu zote duniani imeundwa kwa shaba tu ina urefu wa mita tisa na uzito wa tani nne na ukiitazama picha hiyo utakuta mikono yake iko wazi ikiwa na maana ya kazi ile kubwa iliyofanywa na mpigananyi huyo ya...
 17. W

  Dkt. Slaa Tabora leo, picha...

  hahahahaaaa cmd kazi ipo nadhan uko ndo kutia maji pull up your socks
 18. W

  Mbowe: CCM hawawezi Kuninunua & Slaa hawezi kununuliwa kwa garama yoyote

  mbona unadanganyika kirahisi hivo hatanui mbawa mtu apa wala chama we upo utaona moto wake
Top Bottom