Search results

 1. W. J. Malecela

  Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

  - Mwanamke aliambiwa na alishauriwa na kila mtu kwamba anafanya makosa lakini akaamua kuwamaini marafiki zake wanaompoteza, Familia yake mwenyewe ilikaa chini na kumtaka arudi kwenye ndoa akawasikiliza wenzake, ndugu yangu sasa it is too late. le Mutuz Superbrand
 2. W. J. Malecela

  Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

  - Mtoto hakupandikizwa Chuki hapana ni ujinga tu wa my ex, unajua ukiwa na chuki sana unakua huwezi kufikiri tena sawa sawa kwenye kulilia Divorce alidanganywa na wenzake by the time anakuja kugundua kua amekosea it was too late inahuzunisha sana ila sina la kumsaidia. - Cha ajabu ni kwamba...
 3. W. J. Malecela

  Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

  - Ukisoma kitabu maelezo yote yapo very clear tafuta kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" le Mutuz Superbrand
 4. W. J. Malecela

  Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

  - Ok kama ni mtu uayefuatilia JF tthen unajua matusi yale ni ya Mama ambaye amekuwa akitukana hapa kwa muda mrefu sana, on a serious note yule mama ni wa kumuombea kwa Mungu kwa sababu niambie ni nani atamuajiri yule mtoto wakati matusi yapo kwa jina lake? huzuni sana le Mutuz Superbrand
 5. W. J. Malecela

  Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

  - Hata publisher anasema haamini maana hajawahi kuona kila siku ninamuomba aongeze vingine, I am super humbled U know! le Mutuz Superbrand
 6. W. J. Malecela

  Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

  - In the next three weeks nitakwenda Kigali, Lusaka, Johannesburg halafu nikirudi nitaenda Dubai, Hongkong na China. Halafu nikirudi nitaenda Europe ni mambo ya kitabu so kazi kazi tunasonga mbele!! le Mutuz Superbrand
 7. W. J. Malecela

  Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

  - Sasa tumeuza vitabu 900 wanasema ni record, na tunaendelea soon nategemea kwenda nje kuviuza zaidi. le Mutuz Superbrand
 8. W. J. Malecela

  Jembe ni Jembe na kundi lako jifunzeni kupokea changamoto

  - Mabishano ya mamiss na wewe sio miss umeingiaje? hahahahahaa kama sio miss mbona hutumii jina lako la kweli tukujue kama ni mtoto wa kiume? hahahahaha yaani umejivua nguo mwenyewe le Mutuz Superbrand
 9. W. J. Malecela

  Jembe ni Jembe na kundi lako jifunzeni kupokea changamoto

  - Siku ya kwanza nimeuza vitabu 600 sasa hivi nakaribia kufikisha 1,000 ni a record, hahahahahahahah pole sana le Mutuz Superbrand
 10. W. J. Malecela

  Jembe ni Jembe na kundi lako jifunzeni kupokea changamoto

  - Dada alikua kambi ya Lowassa kamtukana sana Rais wa sasa kwenye kampeni mwaka juzi, sasa akadhani akifanyia Nyerere Conference anaweza kumfanya Rais aje, anadhani Rais huwa hasomi mitandao hahahahahaa kapiga chini! le Mutuz Superbrand
 11. W. J. Malecela

  Jembe ni Jembe na kundi lako jifunzeni kupokea changamoto

  - Umeanza haya maneno toka ninaishi USA nimerudi bongo unahangaika tu huna kazi wewe? Chadema mbona hawakupi hata ukatibu kata fala wewe! Achana na mimi huniwezi umelia sana na mimi lakini ndio kwanza ninaweka record ya uuzaji wa Vitabu Tanzania, wewe endelea na udaku udaku wenzako tunapiga kazi...
 12. W. J. Malecela

  Hii ndio Zawadi/gari aliyopewa Mshindi wa Miss Tanzania 2018

  - Ameji undermine mwenyewe kwa akili ndogo, unapiganaje na wakala wako na brand ni yako mwenyewe? Niliwahi kukukuwadia wewe ndio maana unayajua, wewe ni mjinga tu hata utumie majina ya bandia ni mjinga ndio maana Serukamba alikuacha baada ya kukutumia sana kuitukana serikali ya sasa...
 13. W. J. Malecela

  Jembe ni Jembe na kundi lako jifunzeni kupokea changamoto

  - Dada akili zero, muandaaji wa Miss Tanzania unagombanaje na wakala wako kwenye Public na Brand ni yako mwenyewe unadhani kuna mdhamini anayetaka kuwekeza kwenye ujinga kama huo? hahahahahahah le Mutuz Superbrand
 14. W. J. Malecela

  Jembe ni Jembe na kundi lako jifunzeni kupokea changamoto

  - Ukiona hivi huna makalio, basi wewe utakua sio binadam maana wote tuna makalio au wewe huna? Sasa unakalia nini? hahahahaha sema kitu ambacho huna weka na evidence ndio utaonekana una akili, weka picha yako hapa bila makalio tuone hahahahah le Mutuz Superbrand
 15. W. J. Malecela

  Jembe ni Jembe na kundi lako jifunzeni kupokea changamoto

  - Hakuna point wala hoja, kwa heri! le Mutuz Superbrand
 16. W. J. Malecela

  Jembe ni Jembe na kundi lako jifunzeni kupokea changamoto

  - Nimewasaidia tu kuelewa matatizo yao ni mengi sana sio kama wanavyodhani, poleni sana le Mutuz Superbrand
 17. W. J. Malecela

  Jembe ni Jembe na kundi lako jifunzeni kupokea changamoto

  - Sijawahi kuomba cheo kwa yoyote JK ni rafiki yangu wa karibu sana ningetaka cheo ningemlilia niliporudi angenipa, unataka nikawe DC Tandahimba? hunipendi sana ndugu nimeamini, sasa kelele zako zote miaka 30 ya Chadema mbona hawakupi ubunge viti maalum tu? hahahahahaha le Mutuz Superbrand
 18. W. J. Malecela

  Jembe ni Jembe na kundi lako jifunzeni kupokea changamoto

  - Nilidhani mmeniita ishu ya Miss Tanzania sasa mbona mnachanganya mada, anzisheni ya Makontena niwape habari kamili, halafu by the way tatizo ni makontena au urafiki wangu na yeye? le Mutuz Superbrand
 19. W. J. Malecela

  Jembe ni Jembe na kundi lako jifunzeni kupokea changamoto

  - Dua la kuku! le Mutuz Superbrand
 20. W. J. Malecela

  Jembe ni Jembe na kundi lako jifunzeni kupokea changamoto

  - hahahahaha hapna kuna watu waliinita ndio maana nipo busy sana nauza vitabu U know le Mutuz Superbrand
Top Bottom