Search results

 1. samuel faraj

  Happy birthday to ME

  Siku kama ya leo miaka kadhaa iliyopita I came to Earth through beautiful woman ever my MAMA. Thanks my almighty God for priceless gift of life filled with a lot of blessings upon Me[emoji1545] Sent using Jamii Forums mobile app
 2. samuel faraj

  DATA RECOVERY SOFTWARE

  Habarini wakuu! Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ni data recovery software ipi nzuri isiyokua na limit ya data recovery( free unlimited data recovery) au mwenye crack za hizo software kama Ease us Nimejaribu kutumia Ease us inafanya kazi poa ila iko limited to 500MB otherwise hadi ku...
 3. samuel faraj

  Madereva tuweni makini barabarani

  Habari za humu ndani! Wazee kuna operation hii ya polisi inaitwa NYAKUA NYAKUA [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tujipange wazee no more vyeti road mwendo wa kunyakuliwa tu[emoji2] [emoji2] [emoji2] next day unapanda kwa pilato
 4. samuel faraj

  Am feeling guilty, nafsi inanisuta

  Kwema wana JF, Najihisi mwenye makosa sana sina amani. Iko hivi nimekua kwenye mahusiano na my girl for almost 3.5 years now, tumefanya mambo mengi sana kwenye relationship yetu na nimemsaidia vitu vingi pia.
 5. samuel faraj

  Hayawi hayawi yamekua! Nenda tu babu

  Good news tuliyokua tukiisubiri gunners hatimae imekua mzee kinganganizi babu wenger aamua kustep down at the end of season. Hatuna cha kukumbuka zaidi ya stress zako Arsene Wenger to leave Arsenal at the end of the season | Goal.com
 6. samuel faraj

  Wazee wa 'HIGHWAY ' tukutane hapa

  Hii ni special kwetu wazee wa barabarani share chochote kuhusu barabara kuu e.g. Kipande kipi cha HIGHWAY kizuri, kibovu, chenye watekaji wengi, wazee wa torch wengi ,sehemu yenye sharp corners nyingi,barabara yenye vurugu nyingi(umakini wa hali ya juu unahitajika hapa) etc Experience yangu...
 7. samuel faraj

  Plagiarism maada zetu za Jf

  Aisee nimeona sehemu moja celebrity kaiba maada iliyokua posted huku na mwana jf machachari Demiss cha mdeko na kuipost kwenye page yake as if ni yake bila ku acknowledge source.Hii si sawa kabisa Nakumbuka enZi hizo shule ukifanya plagiarism ilikua bonge la msala
 8. samuel faraj

  Laptop Lenovo

  Poleni na majukumu wakuu. Msaada tafadhali laptop ya imechange screen ghafla wakati naitumia tatizo ni nini......imekuja kama mistari mistari na rangi ya screen imebadilika cc@chief mkwawa
 9. samuel faraj

  CRDB ATM kulikoni leo?

  Atm karibu zote za crdb town hazifanyi kazi.......vipi hamtaki twende bar leo au? it's very very frustrating [emoji481] [emoji481] [emoji481] [emoji481]
 10. samuel faraj

  Happy birthday to ME!

  Happy birthday to ME.Thanks almighty God for another year nazeeka sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] #humble#charming#philanthropist#gunnerhardfan# NB:Wazee wa chupa tutakua tunakiwasha mida ya wanga 40-40 tabata
 11. samuel faraj

  Siku hizi hadi mifuko ya kuwekea bidhaa (plastic bag) inauzwa?

  Leo nimeenda shopping game, nimechoka aisee! Nimenunua vitu vyangu kufika counter dada akaanza ku scan mfuko (plastic bag) kwa ajili ya kuwekea zaga zangu nikamuuliza vipi? Kanambia na mifuko tunauza siku hizi. Mkuu umetushika pabaya legeza kidogo vyuma.
 12. samuel faraj

  Nini maana halisi ya mwanaume wa Dar?

  Habari za mchana wazee, Hii kitu inani confuse sana hivi nini maana halisi ya wanaume wa Dar kama inavyotumika na watu wengi?.Je ni wanaume wazaramo (maana hawa ndio wenye asili ya Dar) au kuna maana nyingine? Kila jambo la kustaabisha kwa mwanaume utasikia huyo mwanaume wa Dar Wajuzi wa...
 13. samuel faraj

  Mwenye feedback kuhusu kampuni yetu ya Airtel iliyopigwa na wale wahuni wanaturejeshea lini?

  Za Jumatatu wakuu hope mko poa na mnaendelea poa na majukumu ya kila siku kuhakikisha grease ya kulainishia vyuma inapatikana. Wadau mwenye feedback kuhusu kampuni yetu ya AIRTEL iliyopigwa na wale wahuni wanaturejeshea lini?. Na vipi kuhusu wale wanaume wa makinikia mzigo wetu watau deposit...
 14. samuel faraj

  Civil Engineering Vs Mechanical Engineering

  Wakuu habarini za asubuhi samahani kuna mdogo wangu kachaguliwa course mbili civil engineering na mechanical engineering ipi course nzuri Kati ya hizo tu confirm moja Wazoefu ushauri wenu unahitajika [emoji120] [emoji120] Nb:Utani na mizaha haihitajiki kwenye uzi huu
 15. samuel faraj

  TV flat Samsung na ulaji wa umeme

  Wakuu Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu Nyumbani nimenunua flat TV ya 50" tangu ninunue matumizi ya umeme yameongezeka maradufu yaani unit 5-6 kila siku zimeongezeka kwenye matumizi. Tatizo nini Wakuu wenye uelewa msaada tafadhali. NB:wenye Povu hapa sio Mahala pake
 16. samuel faraj

  University of Dar es Salaam(UDSM) Alumni - Special thread

  Hii ni special thread wa ajili ya ex- Udsm students kushare moments mbali mbali tulizokutana nazo katika kipindi chetu cha masomo pale mlimani ziwe happy moments, sad moments etc. Binafsi nilikua sijui history ya kikundi cha THE PUNCH, story za kina Nyerere kuchapa bakora. Wanafunzi waliogoma...
 17. samuel faraj

  BBC mna nini na Kitila Mkumbo?

  Hivi bbc mna nini na kitila mkumbo kila mkitaka kuongea na mchambuzi wa masuala ya siasa lazima muongee na huyu jamaa Ina maana Tanzania yote mchambuzi ni yeye peke yake? Mbaya zaidi anachambua kinazi sana. Naona ya pole pole na chanel 10 yamehamia kwenu
 18. samuel faraj

  Mpenzi wangu anataka keki wakati siku yake ya kuzaliwa imeshapita!

  Habari za jioni wanaJF, Poleni na mahangaiko ya kila siku. Ngoja niende direct kwenye mada. Jamani mimi nina mpenzi wangu flani ivi last week tar 22 ilikua birthday yake kutokana na mimi kuwa busy sana na kampeni za kipenzi cha watu, raisi wetu kipenzi Edward Ngonyai Lowassa sikutaka kelele...
 19. samuel faraj

  TBC wanaonyesha mkutano wa UKAWA

  Kweli nimeshangaa leo tbc wanarusha matangazo ya ukawa haya kweli mabadiliko
Top Bottom