Search results

 1. Paw

  Leo nimeruka ukuta (uzio) ili niende kwa mpenzi wangu

  Mwaka 2004 niliwahi kitembea kwa mguu usiku wa saa saba kutoka Boko hadi Salasala ndipo nikapata bodaboda ya kunirudisha Nyumbani Namanga Msasani. Ofcourse niliingia hme saa kumi kasoro alfajiri. Haya mapenzi haya aisee unaweza hata kumpiga kofi jini ikibidi Sent using Jamii Forums mobile app
 2. Paw

  Karantini Kuna majamboz

  Ile myth ya kuwapatia kande zenye mafuta ya taa ni kweli itasaidia tatizo? Sent using Jamii Forums mobile app
 3. Paw

  Hukumu dhidi yangu: Shukrani kwa watanzania – Maxence Melo

  Mungu ni mwema Tunavuka changamoto na tutaendelea kuvuka vikwazo Sent using Jamii Forums mobile app
 4. Paw

  Naomba ushauri wa tatizo la kuwashwa uume

  Mmmh Nautafakari sana huu ujumbe... Sent using Jamii Forums mobile app
 5. Paw

  Nani alianzisha utaratibu wa kuuza Biriani siku ya Ijumaa na Jumapili tu?

  Loh Hahaha Sent using Jamii Forums mobile app
 6. Paw

  Trump Ataja Korolokwini kama ni Dawa Inaweza Kutibu au Kufubaza Virusi vya Corona

  Nikikumbuka hizi episodes ninaongeza sala nisipate Corona... Taarifa njema Sent using Jamii Forums mobile app
 7. Paw

  Tanzia: Mwanamuziki mkongwe wa Soukous, Aurlus Mabele afariki dunia. Coronavirus yahusishwa

  Enzi za Baba wa Taifa hadi Mzee Ruksa Sent using Jamii Forums mobile app
 8. Paw

  Nakupenda sana Shetani

  Mkuu umeenda mbele sana. Umewaza nje ya box. Lakini siyo kwamba nakuunga mkono bali umenipa tafakuri pana zaidi kuhusu uwezo wa akili na fananizi kiimani Sent using Jamii Forums mobile app
 9. Paw

  Msaada: Nyoka wananimalizia mayai ya kuku wangu

  Unawezaje kugundua idadi ya nyoka kwenye eneo lako? Sent using Jamii Forums mobile app
 10. Paw

  Naomba ushauri kuhusu jambo hili la Mke wa mtu kuvaa nguo zinazobana

  Tabia hiyo itaanzisha na nyingine.... Mark my words Sent using Jamii Forums mobile app
 11. Paw

  Khitma ya Saigon club ya Iddi Simba msikiti wa Mtoro

  Kwa kuweka kumbukumbu sawa, jaribu kuyaweka haya na mengineyo katika Vitabu. Kuna mazito umeyazungumza kwa lugha nyepesi na ya kueleweka. Sent using Jamii Forums mobile app
 12. Paw

  Pambano: Deontay Wilder Vs Tyson Fury-II. Tukutane hapa kwa updates

  Mkuu ni burudani hakuna kuuana hapo. Labda itokee bahati mbaya Sent using Jamii Forums mobile app
 13. Paw

  Naomba mtu atakayekuwa na picha/ramani ya vibanda vilivyojengwa kwa miti ila vyenye ghorofa

  Ujezi wowote wa nyumba ukiondoa vibanda vya nyasi na udongo unahitaji kibali. Sent using Jamii Forums mobile app
 14. Paw

  Maisha yanaenda kasi sana. Ali Choki ndo yupo kule!

  Mkuu Hii taarifa ni kweli? Sent using Jamii Forums mobile app
 15. Paw

  Maisha yanaenda kasi sana. Ali Choki ndo yupo kule!

  Niliwahi pia mara kwa mara kumsaidia buku mbili mbili lakini nikastuliwa kwamba hazitumii kwa chakula... Sent using Jamii Forums mobile app
 16. Paw

  Ajali: Basi la Kampuni ya Ilasi Express limegonga basi la Mbeya Express maeneo ya Igawa

  Mkuu usirudie kosa hilo tena la kumuacha dereva mchovu awaendeshe. Next time unapaswa kumshauri asimamishe basi sehemu salama alale kupunguza uchovu maana kama ulishuhudia kuyumbayumba kwa dereva ulikuwa uanelekea kushuhudia mwisho wa safari kabla ya kufika muendako
 17. Paw

  Ajali: Basi la Kampuni ya Ilasi Express limegonga basi la Mbeya Express maeneo ya Igawa

  Miezi mitatu iliyopita nimenusurika kifo hapo Igawa. Nilikoswa koswa na basi lililoovateki lori nikanusurika kukimbiza gari korongoni Alama za barabarani haziruhusu mwendo wa kasi wala overtake. Mabasi yanakimbia sana eneo hilo hivyo ajali nyingi chanzo hao madereva. Pia DTO wa hapo amulikwe...
 18. Paw

  This night i'm going to kill myself

  Ili usijiue usisahau kinga
 19. Paw

  Nini tafsiri ya maneno haya kwa Kiswahili?

  Hiyo namba tano ndiyo inaitwa Spoku (tohoa)
Top Bottom