Search results

 1. Salange

  Chemsha bongo kwa wenye akili tu

  Hayo ni mapicha tu, hakuna virusi vya corona hapo Sent using Jamii Forums mobile app
 2. Salange

  Hii ya DC wa Igunga kuwasaka walanguzi wa sukari mitaani akiwa na migambo imenikumbusha vita vya Kagera

  Nashangaa kweli kweli. Mara serikali inasema soko la suka ri ni huria, mara tena wanahangaika kupanga bei! Sent using Jamii Forums mobile app
 3. Salange

  Is President Magufuli an isolationist?

  We waache tu! Sent using Jamii Forums mobile app
 4. Salange

  COVID-19 health alerts: US Embassy Dar es Salaam

  Hapo ndipo pananiacha hoi, kwa nini amiri jeshi mkuu anajificha? Kuna mahali pengine popote duniani, mkuu wa nchi amepotelea mafichoni? Sent using Jamii Forums mobile app
 5. Salange

  Ujumbe murua wa Fatma Karume kwa Watanzania

  Eti idiotness! Wewe pia ni zao la hizo shule. Mwalimu wa kiingereza anaongea kiswahili toka mwanzo wa kipindi mpaka mwisho Sent using Jamii Forums mobile app
 6. Salange

  Nenda kazime taa...

  Hayo maneno siyo motivational Sent using Jamii Forums mobile app
 7. Salange

  Mkuu wa kituo cha Polisi Milongo Mwanza

  Vilabu vya namna hiyo vipo kila mahali Tanzania na ni sehemu ya maafande kujichukulia mgawo wao kila siku kwa ajili ya mboga na kubrashia viatu, haitatokea vifungwe Sent using Jamii Forums mobile app
 8. Salange

  Spika Ndugai anaendesha Bunge kwa matakwa yake binafsi na si kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

  Inasikitisha sana nchi maskini kabisa duniani kuingiza mgonjwa aliyetibiwa kwa gharama kubwa kuliko wote duniani kwenye Guinness Book of Records. Walipongia madarakani walisema nchi ilikuwa inapigwa sana hii, lakini kumbe wao katika kipindi kifupi tu nchi inapigwa hadi kuvunja rekodi na bado...
 9. Salange

  Sukari si bidhaa ya lazma kwa binadamu, athari zake kiafya ni mbaya, ni kiuchumi tu ndo inasound

  Binadamu wote wana blood sugar Sent using Jamii Forums mobile app
 10. Salange

  Tutakapokuwa kitovu cha maambukizi ya COVID 19 Tutatengwa kila kona

  Si ndio hapo nashangaa! Wiki 2 zinapita, huwaelezi wananchi wako unavyopambana na janga linalowasibu, halafu utegemee kusifiwa tu, kwa lipi? Sent using Jamii Forums mobile app
 11. Salange

  Tutakapokuwa kitovu cha maambukizi ya COVID 19 Tutatengwa kila kona

  Chizi huyo! Sent using Jamii Forums mobile app
 12. Salange

  Baba nifundishe kuukabili uhalisia.. Nisiukimbie ukweli

  Hiyo ya kwenye maboksi si ya Wamadagascar waishio nchini ikiwa imetolewa na ndugu zao walioko Madagascar? Au sikumwelewa vizuri Kabudi. Yetu ni chupa mbili tu! Sent using Jamii Forums mobile app
 13. Salange

  Baba nifundishe kuukabili uhalisia.. Nisiukimbie ukweli

  Yaani chupa mbili tu, tuuu! Nashindwa kuamini Sent using Jamii Forums mobile app
 14. Salange

  Swali kwa great thinkers wa JF

  Ndiyo, kwenye kula za maoni ni uzembe lakini kwenye kura za maoni sio uzembe hata kidogo Sent using Jamii Forums mobile app
 15. Salange

  Ashakuum si Matusi. Hii Kitu nimekuwa nikiisikia ikijadiliwa sana tu Mijini na Vijijini tena na Wazee je, ina Ukweli wowote ule?

  Si kweli hata kidogo. Sayansi inakataa kabisa. Ushirikina tu huo Sent using Jamii Forums mobile app
 16. Salange

  Tusimuogope Rais Magufuli, tuache unafiki kashashindwa na kapaniki

  Kama vifo haviwezi kumshtua, mbona amekimbilia mafichoni kukaogopa "kaugonjwa haka kadogo?" Sent using Jamii Forums mobile app
 17. Salange

  Mbali ya kuwa ni jina la Chama Cha Kisiasa hapa nchini, neno "CHADEMA" pia ni surname (ubini) ya watanzania wa kabila (ukanda) lipi hapa kwetu???????

  Chama kinapendwa. Sijawahi kuona wala kusikia mtu anaitwa CCM Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom