Search results

 1. ProBook

  Bedroom ya Harmonize matusi matupu halafu baadaye walalamikie BASATA

  Fwata mambo zako... Sent using Jamii Forums mobile app
 2. ProBook

  Gari kugoma reverse

  Mzee Lubex ni cheapest ATF in the market, Kanunue ATF at least TOTAL, sema kwanzs soma aina ya ATF unayotumia kwenye stick ya ATF HAPO.. nunua original hiyo afu ulete mrejesho ... Sent using Jamii Forums mobile app
 3. ProBook

  Gari Kutetemeka (Vibrate)

  Ndo coil hio ambayo jamaa anaambia akague Sent using Jamii Forums mobile app
 4. ProBook

  Nataka kuagiza Toyota Allex ya mwaka 2003, nimekwama kwenye kipengele cha Diesel or Petrol

  Zipo gari ndogo mingi za diesel hadi vitz zipo piteni mtandaoni mtaziona . Sent using Jamii Forums mobile app
 5. ProBook

  Naomba kujua zaidi kuhusu gari aina ya Toyota Hilux na Nissan Hardbody

  Nipo na uzoefu na gari zote na gari zote ni nzuri.. just zote upate manual and ziwe diesel.. Hardbody seat ya nyuma imebanwa na unakaa kama upo kwa sedan.. ukipata version za UK is the best, version zilizotengenezwa SA ni kama cheaper option sio nzuri sanaaahhhhh... Hilux ipo juu juu hata seat...
 6. ProBook

  Naomba msaada wa gari RAV4

  Kuna mtu kashaibiwa hapa Kauziwa Cami kaambiwa ni Rav 4 Sasa tumwambieni au tumwache agubdue yeye mwenywe.? Sent using Jamii Forums mobile app
 7. ProBook

  Msaada tutani waungwana spare ya Subaru

  Haka kaseal bhana huwa ukizingua kanamwaga hydraulic yote Sent using Jamii Forums mobile app
 8. ProBook

  Wanaoagiza mashine used from UK mnipe qoute urgently

  Nahitaji mashize zifuatazo ziwe used from UK or anywhere, Kama mtu anazo naomba ani PM prices ili tunegotiate 1. Air Compressor 200Litres or above, iwe umeme au petrol au both 2. Tyre Changer Machine 3. Wheel Balancer Machine 4. Wheel Allignent Machine Thank You.
 9. ProBook

  Ushauri: Manunuzi ya spares - new or used

  Wanajamvi, Najua ni mara nyingi ushajikuta mahali ambapo gari lako linatakiwa ununue spare mbalimbali. Sasa najua wengi hapa twatengeneza gari kwa mafundi mchundo na najua ushawahi kukutana na scenario ya fundi kukuambia Used spare ni bora kuliko spare mpya na wachache sanah husema spea mpya...
 10. ProBook

  Gari yangu inashindwa kuwaka japo betri ina chaji

  Kwa Maelezo yako nadhani ni vyema ukaangalia timing belt
 11. ProBook

  Plag moja haifungi kwenye cylinder head

  Sounds like u in for hela ndefu kutengeneza hapo
 12. ProBook

  Kwani mjini kuna habari gani muda huu?

  Nasibiria pia aiseeee ukipata usemeee
 13. ProBook

  Kwani mjini kuna habari gani muda huu?

  Naona WhatsApp kuna habari zinatembea... ila jukwaani sioni maana hapa ndo taarifa za uhakika zaidi.. Nasikia Kishanuka Hukoo..
 14. ProBook

  Toyota harrier

  Gari nzuri hii haina stress
 15. ProBook

  Engine overhaul

  Nakubaliana na ww Kufungua engine hata kwa bure sirudii..ntapaki gari mpaka nipate hela ya engine mpya
 16. ProBook

  Namba ya kuondoa tatizo la kuishiwa mafuta bila kujua

  Ila mwansngu we mbishi aisee,,, pole lakini [emoji23][emoji23][emoji23]
 17. ProBook

  Subaru Fans Special Thread

  Afu ya line mbili tenah.. daahh
 18. ProBook

  Kanyaga haitafika Mbali

  KANYAGA.. kudadadeki.. KANYAGA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nyie ndo wachawi wa kukanyaga URAJIJUUUUUUUUUU
 19. ProBook

  Toyota IST.....[emoji41][emoji41]

  Mzeee nishajiukiza hili swali mpaka mwisho sijawah pata majibu hawa madereva wa IST wana shida gani aiseee maana mbio zao huwa sio za kawaida
Top Bottom