Search results

 1. ProBook

  Wanaoagiza mashine used from UK mnipe qoute urgently

  Nahitaji mashize zifuatazo ziwe used from UK or anywhere, Kama mtu anazo naomba ani PM prices ili tunegotiate 1. Air Compressor 200Litres or above, iwe umeme au petrol au both 2. Tyre Changer Machine 3. Wheel Balancer Machine 4. Wheel Allignent Machine Thank You.
 2. ProBook

  Ushauri: Manunuzi ya spares - new or used

  Wanajamvi, Najua ni mara nyingi ushajikuta mahali ambapo gari lako linatakiwa ununue spare mbalimbali. Sasa najua wengi hapa twatengeneza gari kwa mafundi mchundo na najua ushawahi kukutana na scenario ya fundi kukuambia Used spare ni bora kuliko spare mpya na wachache sanah husema spea mpya...
 3. ProBook

  Kwani mjini kuna habari gani muda huu?

  Naona WhatsApp kuna habari zinatembea... ila jukwaani sioni maana hapa ndo taarifa za uhakika zaidi.. Nasikia Kishanuka Hukoo..
 4. ProBook

  Tunaoendesha 'Baby Walkers' specifically za 660cc tupenae uzoefu wa hizi gari

  Wakuu Habari Personally nimenunua babywalker Daihatsu Terios Kid cc 660 na hivi ndivyo nlivyoviaona mpaka sasa; Gari: kwanza lina turbo(bila Intercooler), max speed 140kph, tank capacity ni 40lts, sio 4WD, gari lipo juu nakatiza nalo popote bila shida Ulaji wa Mafuta , ukiwa mjini na jam +...
 5. ProBook

  Kwa waliowahi kupata matatizo ya Gear Box,

  Habari wakuu, naomba kuuliza kwa watu ambao waliwahi kupata matatizo ya gear box kuslide, je mliweza kufix gear box zenu hizo hizo au mlinunua gear box mpya, na kama mlibadili vifaa vya ndani mkarepair hizo gearbox, je hizo genuine spares mlipata wapi, or kama mlinunua gear box mpya...
 6. ProBook

  Ununuzi wa Tiketi ya mechi ya Fainali Ya Kombe La dunka

  Habari Wakuu.. Poleni na Majukumu Naomba kuuliza.. Nahitaji tiketi nne za mechi ya fainali ya kombe la dunia kwa ajili ya kuandaa promotion kazini kwetu. Tumechelewa kufanya manunuzi ya ticket hizo.. Je hamna madalali ambao wanazo wanaoweza kuniuzia hizo ticket nne.!? Asanteni
 7. ProBook

  Taa za Magari (Projector lights)

  Wakuu poleni na shughuli.. Naomba kuukiza swali kuhusu hizi taa za magari wanaziita projector system with Angel eyes.. Kwa ambao wameziweka kwa magari yao haoa Tanzania.. Je zina mwanga mkali usiku wa kutosha.. Na Je Durability yake ikoje.. Zinakaa muda gani.. Kwa maeneo ya Arusha, mbeya na DSM...
 8. ProBook

  Dereva anapatikana kwa wanaosafiri December hii

  Poleni Na KAzi,, Mimi ni Graduate nimemaliza Chuo Kikuu mwaka huu,, kutokana na sokomoko la ajira nimeona nitafute cha kufacha msimu huu wakati nipo nyumbani sina ajira nipate hela kadhaa za kujikimu na kamtaji ka kuanzisha biashara ndogo ya stationary. Sasa najua watu wengi husafiri na magari...
 9. ProBook

  Walioapply kazi British High Commission

  Wakuu Habari,, Hao jamaa wa British High Commission walitangaza kazi amabazo deadline zake zishapita,, je wameshaita wau kwenye interview.? Au kwa amabo walishafanya interview nao, huwa wanaita watu baada ya muda gani.? Shukran.
 10. ProBook

  Kuachwa na mwanamke unaempenda na kumwona anafuraha na mwaume mwingine au kuibiwa Hela kipi kinauma

  Wakuu Wa Jukwaa,, kama kichwa cha habri kinavyojieleza.. Katika pita pita zangu kwa jukwaa la celebrities nimeona thread inayomhusu aliekuwa mume wa Zari (Boss Lady) akishow off na hela.. Kwa upande wangu ikanifanya niwaze,,kati ya kuwa na hela nyingi ambazo zaweza kukupa mwanamke yoyote na...
 11. ProBook

  Msaada: Football Betting, Faida na Hasara na mbinu

  Wakuu poleni na Kazi, kwa wataaalamu wa biashara hapa, kama wote tunavyojua kuwa football betting ni biashara za watu wengine na wanapata faida nyingi sana kwa kupia biashara hiyo, ukipita mitaani sasa hivi sehemu nyingi sana wanajuhusisha na kubetisha watu na watu wanabet sana, mimi naomba...
 12. ProBook

  Joyce Kiria: Hivi ni nani anampa mamlaka huyu mdada?

  Wakuu, Huyu mwanadada amekuwa akiziexpose familia za watu kwenywe Tv na kuwasuta wanaume kama watoto, hata kama ni mwanamke ana makosa atafanya ionekane kama mwanaume ndo mwenye makosa sasa mimi hapa nina maswali machache: Kwanza, ni nani anaempa mamlaka ya kuamua mambo juu ya familia za watu...
 13. ProBook

  Gari inauzwa: Altezaa Gita (2002)

  Ipo katika hali nzuri Milleage 75000kms Imported :june 2013 Bei: 12 mil (MAELEWANO YAPO) Gari lipo Dar-es-salaam Number- T *** C*K Waweza kuja likagua muda wowote na fundi Contact : 0767062211 REMEMBER:Maelewano Yapo
 14. ProBook

  Gari linauzwa : alteZa Gita (2002)

  Ipo katika hali nzuri Milleage 75000kms Imported :june 2013 Bei: 12 mil (MAELEWANO YAPO) Gari lipo Dar-es-salaam Number- T *** C*K Waweza kuja likagua muda wowote na fundi Contact : 0767062211 REMEMBER:Maelewano Yapo
 15. ProBook

  Wale wa bus letu la TunnelGuru hii hapa ni Fursa tuitumie

  Tujitahidi kuitumia Fursa hii watanzania wenzangu na wale wenye mapenzi mema na Guru AMEN!! Happy New Year Wataalamu
 16. ProBook

  misafara ya Viongozi

  Arusha mida hii sijui ni kiongozi gani anapita barabara ya kisongo hapa magari yamesimamishwa almost 30 minutes now na bado hajapita na wala haelekei kupita anytime soon,,hivi inamaana hawa police wa usalama barabarani huwa hawawasiliani ili kujua msafara upo wapi,? Maana naona hapa...
 17. ProBook

  Ni Taifa ambalo ,,,

  *Taifa ambalo mabinti wakimuona mzungu wanadhan ana hela *Taifa ambalo ukiongea kingereza umesoma sana *Taifa ambalo ukiwa na simu nzuri we mjanja japo vocha za jerojero *Taifa ambalo waliofeli wanakuwa walimu na mapolice *Taifa ambalo m2 kwao hawana umeme ila analalamikia tanesco...
 18. ProBook

  FastJet na route ya Mwanza-Kilimanjaro

  Hawa jamaa wa fastjet walituambia hii route itarudishwa kuanzia 1st july ila naona imerudishwa ya kilimanjaro-zanzibar peke yake,,Hivi kuna uwezekano na hii ya Mwanza-Kilimanjaro kurudishwa au ilikuwa ni danganya toto tu.?
 19. ProBook

  Wataalam Wa iPhone Msaada kidogo

  Heshima kwenu wakuu Naomba kujuzwa mambo machache na wataalam wa iPhone nataka kuupdate iOS ya simu yangu ipo unlocked na cyo jailbroken 1, naweza iupdate kwa kuidownload kwenye simu kwa kutumia Wifi na kuiinstal moja kwa moja au lazima nitumie itunes,? 2,Je application zangu na information...
 20. ProBook

  Naomba msaada wa Agency number ya Tanzania for chinese goverment for undergraduate

  Heshima kwenu wakuu Katika pita pita zangu internet nimekutana na page ya chinese goverment sponsorship for internatinal students na nlikuwa nataka kuapply lakini katika process ya application wakaniuliza my agency number kwa Tanzania ila sikuwa nayo na kuipata nadhani ni mpaka niende kwenye...
Top Bottom