Search results

 1. mtotowamjini

  Naibu spika NDUGAI apinga vikali spika kutokuwa mbunge

  hivi huyu jamaa kaenda shule kweli? madaktari wote ni wa moja hawajali chama wanateteana wote kama madaktari hata walimu wanateteana wote kama group moja...wabunge kuna wa ccm cuf chadema hakuna umoja maana kila chama kina sera tofauti ndio maana kila siku kuna matusi huko bungeni....spika awe...
 2. mtotowamjini

  Tendwa Unasubiri nini kukifuta Chama Cha CUF?

  cuf wameshtukia kua 2015 panga pangua rais atakua mkristo so wameona njia ni kuwalaghai waislam ili kura zao zote zihamie cuf...
 3. mtotowamjini

  Huyu ndiye Lipumba nyota inayong’aa CUF

  hata awe kasoma vipi rais mdini hatumchagui hata kwa dawa
 4. mtotowamjini

  Zitto’s letter to Cameron over dirty Swiss billions

  naona zitto anajitahidi kumpigia mbuzi gitaa
 5. mtotowamjini

  Wassira amtaka Sitta "kujiuzuru".

  alichoongea wasira ni kweli..huwezi lalamikia serikali ambayo unaitumikia...kama hapendi inavyoendeshwa aachie ngazi..
 6. mtotowamjini

  Kenyatta na ICC; Watu na Maraisi wa Africa wana uwezo mdogo wa kufikiria?

  nakuhakikishia kua as long as you and i are alive hakuna rais au rais wa zamani wa marekani au uingereza atapelekwa ICC. Hilo hata wewe unalijua
 7. mtotowamjini

  Kenyatta na ICC; Watu na Maraisi wa Africa wana uwezo mdogo wa kufikiria?

  good point...huwezi ku pick n choose nani wa kumshtaki mpaka leo hii bush hajakamatwa hivi bush na kenyatta nani muuaji zaidi...hao wazungu wasituzingue wamuache kijana aongoze nchi
 8. mtotowamjini

  VIDEO: Prof. Lipumba akiri kumsaidia Rais Kikwete katika Uchaguzi 2010

  napata picha ingekua ni lema au slaa wameongea hivi ungekuta washakamatwa siku nyingi
 9. mtotowamjini

  Siri za kifo cha Kamanda Barlow zavuja, kamanda wa Polisi Muna atajwa! Taarifa zamfikia Pinda

  Mh...that is one hell of a conspiracy theory....kama ni kweli itakua nomaa
 10. mtotowamjini

  Siri za kifo cha Kamanda Barlow zavuja, kamanda wa Polisi Muna atajwa! Taarifa zamfikia Pinda

  sasa polisi walitaka huyo bosi wao auwawe kwa sababu ipi? alikua kawafanyia nini?
 11. mtotowamjini

  David Beckham retires from football

  David Beckham has retired from football, bringing an end to a glittering career on the field. Despite the offer of an extended one-year deal at Paris Saint-German, sources in Paris have revealed that the 38-year-old has played his last game, bowing out on a high after helping Carlo...
 12. mtotowamjini

  Ruaha: Mwenyekiti wa kijiji atangaziwa polisi

  :biggrin1: eti wamemtangazia polisi!! na bora ofisi zake zikae humo humo polisi lasivyo awe tayari kuchezea kichapo
 13. mtotowamjini

  Manchester United (Red Devils) | Special Thread

  kunyweni bia vijana....kazi mliyofanya sio ndogo
 14. mtotowamjini

  Manchester United (Red Devils) | Special Thread

  SIMPLY THE BEST, THANK YOU SIR ALEX
 15. mtotowamjini

  Kinana aibiwa nyumbani kwake

  sasa mtu kuweka dola elf 60 nyumbani ndo mnashangaa?
 16. mtotowamjini

  Sir Alex Ferguson katangaza kustaafu kufundisha soka Man U

  The most successful manager in English football history will bow out after the West Bromwich Albion game on 19 May and join the football club board. Announcing his decision to retire, Sir Alex Ferguson said: “The decision to retire is one that I have thought a great deal about and one that...
 17. mtotowamjini

  Sakata la Bomu Arusha: FBI watua nchini, EU wadai Udini ni chanzo, ukomeshwe

  safi sana...na tungeomba matukio yote ya uhalifu nchi hii yasimamiwe na fbi maana jeshi la polisi hatuna nchi hii
 18. mtotowamjini

  Ndugai: Nusu ya watumishi wa Bunge ni mzigo

  mzigo namba one bungeni ni yeye na boss wake...
Top Bottom