Search results

 1. K

  Hivi wanawake huwa mnamaanisha nini kwenye hii kauli?

  Mnaposema “Huyu mwanaume wangu nimemtengeneza mwenyewe sitaki kumuona mwanamke mwingine anamnyemelea“ huwa mnamaanisha nini?
 2. K

  Kwanini somo la Intermediate Accounting ni gumu na linasumbua sana wasomaji?

  Habari zenu? Kwa wale waliowahi kupitia programs za uhasibu, sio wageni sana kwenye hili somo tajwa. binafsi ni mwanafunzi katika chuo kimoja katika program ya uhasibu ngazi ya shahada. Sasa basi matokeo ya semister iliyopita yametoka na kati ya masomo 6 niliyoyasoma kwa semister ile ya kwanza...
 3. K

  Ambao hamjaoa huu ndio muda wenu wa kuoa sababu hakuna gharama

  Serikali imepiga marufuku mikusanyiko sababu ya COVID19, hivyo hata gathering kwa ajili ya sherehe za Harusi au Send Off haipo. So vijana ambao bado hamjaoa hamna visingizio tena sijui vya kuogopa gharama, muoe sasa kabla Corona haijaisha.
 4. K

  Mke kumuachia dada wa kazi majukumu aliyopaswa kufanya yeye

  mambo jf? naomba kuwauliza,mke wangu ni mwajiriwa kwenye bank flani,amefikia level ya kuwa branch manager,so somehow yuko busy kiaiana.ofcoz ndoa yetu haina mgogoro wowote mpaka sasa as tunaheshimiana vizuri tu,ila sasa limeibuka tatizo la mke kumuachia housegal na mtoto wa dada yake majukumu...
 5. K

  Ufanisi wangu kitandani umepungua. Je, nitumie mbinu gani kurudisha uwezo wangu?

  Habari za saa hizi wakuu? Jamani mficha maradhi kifo humuumbua. Mimi nina mke na mtoto mmoja. Kipindi cha nyuma nilikuwa vizuri sana bed, nilikuwa nikipanda kiunoni mwa mwanamke ni mpaka mwenyewe alikuwa anaomba poo. Miezi ya hivi karibuni nimejikuta ufanisi wangu wa bed umeshuka sana, inaweza...
 6. K

  Tuliosoma elimu ya chuo kikuu tukiwa na umri mkubwa tukutane hapa

  Habari ndugu zangu, Hata kwenye vitabu vitakatifu imeandikwa kamwe usimuache elimu aende zake. Huo ni msemo ambao ulikuwa una-sound mara kwa mara akilini mwangu. Kwa kifupi, mimi ni mwanaume wa miaka 30 kwa sasa, nilimaliza kidato cha sita mwaka 2009 nikiwa na umri wa miaka 19, niseme tu...
 7. K

  Nyie Wachaga hii ni sifa sasa

  Wakuu kwema? Nimepata safari ya ghafla ya kwenda Moshi ambapo nilitakiwa kuhudhururia shughuli fulani huko kesho kutwa, cha ajabu nimeenda hapo Ubungo nimekuta mabasi yote yamejaa mpaka tarehe 24 mwezi huu. Nikajipa matumaini ngoja nikakate ticket ya train, napo nimekuta train iko fully mpaka...
 8. K

  Sikutegemea kama nitakuja kumpiga mke wangu hata siku moja, lakini jana nimelazimika kufanya hivyo

  Habari watu wa humu, Ebwana ndugu zangu katika haya maisha mtu unaweza ukawa umejiwekea principles zako zitakazokuwa kama mwongozo wa maisha yako but ikatokea siku moja ukaenda kinyume na matarajio. Binafsi nilishajiwekea katika maisha yangu sitokaa nimpige mke wangu hata kofi, lakini kwa hali...
 9. K

  Hivi hawa Coca-Cola kwanza Mbeya wanalipa fresh?

  Habari wakuu wa hili jukwaa. Kuna my cousin kaitwa interview huko, alipenda kujua range ya salary zao iko vipi. Asanteni.
 10. K

  Mpenzi wangu kaniambia niache uroho wa papuchi

  kuna binti mmoja nilikua namfukuzia,sasa kaingia kingi tayari,mimi nikaona nisipoteze muda mwingi na mapenzi ya tamthilia ya sijui umekula,umeota nini,kupelekeana maua na ujinga mwingine unaofanana na huo,me nikajikita zaidi kwenye malengo ya kumtongoza ambayo ni kumgegeda tu,cha kushangaza jana...
 11. K

  Hivi ni kwanini wanawake wanaokuwa single muda mrefu huwa ni wavivu sana wa kunyoa nywele za ikulu?

  Wajameni habari zenu? kuna suala linanitatiza sana kuhusu tabia ya hawa dada zetu wanaokua single muda mrefu bila kuwa na wanaume, mostly hawapendi kabisa kunyoa nywele za sehemu zao za siri.nimewahi kutoka na wanawake kadhaa ambao wamekaa single muda mrefu na karibia wote nimewakuta wana mavuzi...
 12. K

  Takribani wanafunzi 1,129 wame-disco UDSM na wengine zaidi ya 7,000 wanatakiwa kurudia mitihani yao

  Habari zenu waheshimiwa? Katika hali isiyokuwa ya kawaida na iliyotuacha midomo wazi sisi wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam campus kuu ya Mlimani ni habari za kuwapoteza wenzetu takribani 1129 waliodisco kuendelea na masomo katika chuo hiki kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo...
 13. K

  Mama Ntilie wa Dar punguzeni mchinjo

  Jamani nyie mama ntilie wa Dar hebu kuweni na huruma kidogo, kiukweli mnaweka msosi kidogo sana mpaka kwa wateja wenu, binafsi toka nije Dar sijawahi kushiba. Hebu waigeni mama ntilie wenzenu wa Mwanza aisee, kule wanaweka msosi mtu unakula mpaka unahisi umelitendea tumbo lako haki.
 14. K

  kwa nyie mliooa,mmewezaje kuachana na wanawake wenu wa zamani?

  wakuu shikamoon? hivi, nyie mliioa, mmewezaje wezaje kuachana complete na wanawake wenu wengine wa zamani?maana napata wakati mgumu sana kuanza kuwapotezea wanawake wangu wa zamani.
 15. K

  BEST BUSINESS SCHOOL IN AFRICA.

  https://r.search.yahoo.com/_ylt=AwrJ6yjpfMVchNwAxltXNyoA;_ylu=X3oDMTEyZHRib2l2BGNvbG8DYmYxBHBvcwMyBHZ0aWQDQjY2MzJfMQRzZWMDc3I-/RV=2/RE=1556475241/RO=10/RU=https%3a%2f%2fwww.africanexponent.com%2fpost%2f9070-the-best-business-schools-in-africa/RK=2/RS=h1WE_EqZUqFj9odJHIcEYGcn31M-
 16. K

  Bcom in accounting udsm vs BAF mzumbe, ipi ina soko huko mtaan?i

  Tuko kwenye vimbweta vya chuo hapa tunapiga story mbili tatu, mara ubishi ukazuka, na ubishi wenyewe ulikua ni kati ya bcom in accounting ya udsm na BAF ya Mzumbe ipi iko poa sana katika job market, kila mmoja wetu alikua anavutia kamba kwake, so hatukupata muafaka, nikaona ngoja niwaulize nyie...
 17. K

  UDSM mnaharibu future za wadogo zetu.

  Check haya matokeo ya course works za hawa vijana wa mwaka wa kwanza pale udbs uone jinsi hiki chuo kikongwe kinavyotumika kuharibu future za wadogo zetu.hizi ni course works za accounting na finance tu. https://www.jamiiforums.com/attachments/ac_100_cw_2019-1-pdf.1026109/
 18. K

  Interview TIB development Bank

  habari za wakati huu ndugu watanzania wenzangu? mimi ni mmoja wa wasailiwa tulioitwa kwenye usaili wa nafasi ya Business Development officer katika bank tajwa hapo juu siku ya jumamosi katika chuo cha ifm. Nililikua nauliza hawa jamaa aptitude test zao ziko vipi, na vipi kuhusu mishahara yao iko...
Top Bottom