Search results

 1. S

  camera360

  vipi wadau hii camera wameindoa nini..naitafuta lakini sijaipata,nakuta nyingine ambayo imefanana nayo ambayo ubora wake haiko poa
 2. S

  msaada

  simu yangu huawei ascend y300,mwanga wake hauongezeki,yaani hata ukiindoa energy server bado mwanga haungozeki..swali; hili ni tatizo la setting au simu ni mbovu?
 3. S

  kuondoa damu chafu(chuku)

  Kuondoa damu chafuNi tiba na kinga mzuri sana mzuri sana kwa maradhi mengi,hufanywa kila tarehe za mwisho wa mwezi,lmefundishwa vizuri sana katika mafundisho ya kiislam na mtume wao..kwa wenye kufahamu vizuri naomba elimu zaidi..mzizi mkavu njoo utupe darasa tafadhari
Top Bottom