Search results

 1. MKONGA

  Wanaotaka wengine walipe kodi hawana biashara, na hawajui uchungu wa kulipa kodi

  Habari zenu wote humu ndani wakuu, nimejaribu kutafakari kwa kina, na kuwaza juu ya ulipaji kodi hapa nchini kwetu, na kubaini wale wafanyakazi karibu wote wa TRA, Na mamlaka nyinginezo za ushuru na kodi. Hawana uzoefu na biashara wanazo toza kodi au mapato. Nimeona niandike ili nao waweze...
 2. MKONGA

  Kuhama kwa waliojivua uanachama CHADEMA na ACT kuna kwenda kuimarisha upinzani waweze kuchua dola 2020

  Nianze kwa kuwasilimu nyote wana jukwaa wa JF. Pili niwatakie kila la kheri vijana walio wahi kuonekana kama vile ni mahiri ktk siasa za kuamini mabadiliko zaidi, na kumbe haikuwa vile tulivyo waona na kuwafikiria. Lau Masha, Protus Katambi, David Kafulila, na Wakili Alberto Nsando. Kwa mtu...
 3. MKONGA

  CCM inapoteza mwelekeo na dira yake kama ilivyozoeleka.

  Ni vizuri kukubaliana na mm kuwa msema kweli ni mpenzi wa mungu kama asemavyo Mh rais, leo naye Mh Lazaro Nyalandu kawa mpenzi wa mungu kwa kueleza umma wa watanzania namna ambavyo chama hichi kilivyopoteza mwelekeo wake. Hoja kubwa zaidi na niliyoilewa ni pale aliposema, namnukuu. 'Ccm...
 4. MKONGA

  Pambano la ndondi kati ya Joshua na huyo anayepigana naye ni lini?

  Ndugu naomba mnifahamishe lile pambano la ndondi la uzito wa juu baina ya joshua ni lini? Kwa anaweza kujua ratiba ya pambano hilo, tarehe pamoja na muda kwa hapa bongo tafadhali atuweke hapa. Na pia wale watabiri watuambie nani atakayeweza kuibuka mshindi?
 5. MKONGA

  Nini dawa ya mwanamke anayekutukana mara kwa mara?

  Naandika hapa nikiwa na hasira sana, ila nimeona bora nimalizie hasira zangu humu labda michango yenu wanajamvi inaweza kuwa na mantiki na ikaniliwaza na kunitoa kwenye hasira niliyo nayo. Asubuhi ya leo, nilihitifiana na mke wangu kwa kuingia na sendozi ndani (nilikuwa na haraka kidogo, lakini...
 6. MKONGA

  Hali ya uchumi ni mbaya, wachumi fanyeni tafiti

  Wakuu nawasilimu nyote; natumaini wengi humu ni wazima kabisa na mnaendelea kuwajibika ktk shughuli za kujenga taifa letu. Ningependa kutoa maoni yangu hapa nn kifanyike ili watalaam wa fedha nchini wajiridhishe kwamba hali ya uchimi ni ngumu na nn...
 7. MKONGA

  Mwanamke unayeishi naye akikwambia anakuchikia toka moyoni kuna haja ya kuendelea naye?

  Ndugu wanajamvi, Nimeona nipate angalau maoni yanayoweza kunifanya nijue njia sahihi ya kuchukua ama nichukue hatua zipi baada ya kupata maoni na ujuzi tofauti kutoka kwenu. Je mwanamke unaeishi naye kwa zaidi ya miaka 7 na mkafanikiwa kuuza mtoto mwenye umri wa miaka minne, ni akikuambia...
 8. MKONGA

  Tetesi: Matamko mengi ya serikali kwa Sasa yanazidisha rushwa.

  Wasalaam Wana jamvi, nimejaribu kufanya utafiti wangu kwenye maagizo, ama matamko mengi yanayo tolewa na viongozi wetu kwa Sasa yamezaa matunda ktk idara nyingi na taasisi nyingi. Kwa mfano, lile agizo la kuzuia viroba, muda wa mwisho kwa bodaboda, kuto kunywa Pombe mchana, abiria wa bodaboda...
 9. MKONGA

  Hali ya soko la mazo Ilala inatisha.

  Wanajamvi napenda kuwasilisha hali ya iliyopo ktk soko la mazao pale ilala haswa kipindi hiki cha masika. Kwa kweli pale mchicha unapouziwa ni kama bomu la maradhi mbalimbali linatengenezewa pale. Nimejaribu kujiuliuza kazi ya mabwana afya wa wilaya, kata na manispaa ile ni ipi? Nashauri...
 10. MKONGA

  Samatta alienda nchi sahihi

 11. MKONGA

  Nilipita Bar Wanaonyesha Taarifa Ya Habari Ni Utamaduni Mzuri

  Jana nikitokea zangu mjini,Nikapita Uhuru Peak Bar kinondoni nikaona sio mbaya nikipata moja ya baridi na kongoro ili foleni nayo ivute vute. Nilistaajabu ilipotimu saa mbili kamili walizima muziki na kuweka taarifa ya habari. Nilivutiwa sana na ule utaratibu wa kupata newz za kutwa mezani...
 12. MKONGA

  Ccm wamesahau kuwa walisapoti katiba yao na si ya wananchi

  Ccm wameishiwa Sera Leo hii mgombea wao anasema atapunguza baraza la mawaziri kwa kuiba sera ya ukawa. Hebu tujiulize kwa jinsi walivyo kuwa na utamaduni wa kulindana na kupeana madaraka hilo kwao litawezekana? Kwa mtazamo wangu hiyo ni danganya toto ili kupata kura. Na kama ni hivyo, Ina maana...
 13. MKONGA

  Baadhi ya wa ccm wafurahia ukawa kuwepo.

  Wanachama wengi wa ccm wametambua umuhimu wa kuwepo na upinzani Tanzania na wameona faida zake. Kwa maoni ya walio wengi wanao ni vizuri kwa sababu tayari kuna vyombo vinavyo ikosoa serekali na pia inapotokea uzembe kwa ccm au uonevu sehemu ya kukimbilia na kukemea.
 14. MKONGA

  Mwaka 1906 Wangoni walipigwa picha na Mjerumani

  Katika pita pita zangu, nimekutana na picha ya black & white. Ni ya machifu wa Kingoni walionyongwa na Wajerumani mwaka 1906 kwenye vita ya majimaji. Nimejiuliza swali kwenye picha ile majibu kidogo yakaniwia magumu nikaona nije hapa sintokosa majibu mahusisi kwa maswali yangu. 1.Hivi mwaka...
 15. MKONGA

  Ukiwa Mzee na UKAWA Mwongo unachukiza sana

  Ukiwa mtu mzima na mvi ukianza kusema uongo huwa unachukiza sana. Ilo nimelidhiirisha baada ya Mkuchika kuanza kuchangia bungeni na kusema uongo mwanzo mpaka mwisho. Eti"Katibu mkuu kiongozi hakusafisha watu..Dah kitu dunia imeshudia huyu babu anadanganya wajukuu aibu!
 16. MKONGA

  BAWACHA wafanyiwa fujo mkutanoni Tanga

  Vijana wanaoaminika kutumwa na ccm leo wamevamia mkutano wa Bawacha CDM huko tanga na kufanya vurugu zilizopelekea baadhi ya watu kujeruhiwa Hata hivyo mkutano huo uliokuwa na vibali vyote na baraka za RPC na OCD tanga haukuwa na ulinzi wala polisi hawakuonekana wakati wa fujo...
 17. MKONGA

  Mmiliki wa Radio iliyotumiwa kufanya mapinduzi akimbia Burundi

  Mkurugenzi wa kituo cha RPA cha nchini Burundi, Bob Rugurika ambacho Gen Niyombare alitangaza kufanya mapinduzi,amekimbia nchi yake.
 18. MKONGA

  Afande Sele: Wabunge wengi wa Tanzania wanavuta mmea

  Afande Sele kafunguka kupitia ‪#‎YouHeard‬ ya Power Breakfast Clouds Fm na kusema kuwa wabunge wengi wa Tanzania wanamfuata na kumuomba 'Mmea' wakidhania kuwa yeye bado anavuta. "Mimi huwa nawaelekeza kwa washikaji zangu nnaowajua kisha wao wanaenda kuchukua" Pia amedai kuwa...
 19. MKONGA

  Mgahawa Unauza nyama ya Binadamu Nigeria!

  Nyama ikiandaliwa kwa matumizi Mgahawa mmoja nchini Nigeria katika jimbo la Anambra umefungwa kufuatia viongozi wenye mamlaka nchini humo kung'amua kwamba moja ya vyakula vinavyouzwa mgahawani humo ni nyama ya binaadamu. Polisi walipoitwa mgahawani hapo waliona vichwa...
Top Bottom