Search results

 1. M

  Kati ya Salmon na Nile Perch (Sangara) yupi ana Omega 3 fatty acids kuliko mwenzie?

  Ni swali na wale wenye uelewa mpana naomba msaada. Nimejaribu kusoma various articles kuhusu hawa samaki wawili, Salmon anayepatikani baharini na Nile perch yupo ana high concentration ya Omega 3 fatty acids? Kuna wengine wana sema salmon kuna wengine wana sema Nile perch. Kwa wale wenye uelewa...
 2. M

  Ushauri: Serikali ya awamu ya 5 ijifunze kutumia lugha ya kidiplomasia!! Ubabe haujengi, unabomoa

  Kwa muda sasa tangu serikali ya awamu ya Tano ilipoingia madarakani, kumekuwa matumizi ya lugha ambayo inaakisi uelewa mdogo wa diplomasia ya kimataifa na diplomasia ya kiuchumi ukilingamisha na utawala wa Mzee Jakaya. Viongozi mbalimbali wa chama na serikali wamekuwa wakitumia maneno yasiyofaa...
 3. M

  Ushauri: Kampuni ya Twiga ijenge jengo la Makao Makuu Jiji Mwanza waliite Madini House

  Serikali na kampuni ya barrick wameunda kampuni inayoitwa TWIGA ambayo ni ya ubia kati ya hizo pande mbili. Ushauri wangu kampuni ya TWIGA badala ya kukodi jengo LA kufanyia shughuli zao, ingekuwa vyema wangejenga jengo la kudumu na kuliita MADINI House kama kumbukumbu ya makubaliano hayo!
 4. M

  Tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana waliohitimu vyuo vikuu limefika kileleni. Serikali ichukue hatuna kuepusha matatizo ya kisiasa na kijamii

  Hili ni kwa serikali na watunga Sera wa Taifa hili. Kuna tafiti moja nilikuwa nasoma imefanywa na Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, nimeshangaa kuona hili tatizo lilipofikia. Sio kwamba nilikuwa sijui bali tatizo ni kubwa na vijana waliohitimu vyuo vya elimu ya juu kwa maelfu hawana...
 5. M

  Bila wanasiasa kubadili fikra ni ngumu sana kuondokana na umasikini

  Leo ningependa kugusia a very dominant premise ya wanasiasa wetu, "Tuzaliane tuongezeke ili uchumi wetu ukue, au tukuze uchumi" kwa ufupi they believe there's a strong correlation between population increase/growth and economic development/growth. Binafsi siamini suala kuongeza idadi ya watu...
 6. M

  Uhamiaji Badilikeni: Acheni kufanya kazi kwa mazoea

  Kati ya taasisi za serikali inayonishangaza katika utendaji wake ni uhamiaji. Especially linapokuja suala la international passport, acheni bureaucracy. Jana nilienda na rafiki yangu ambayo wote tulikuwa na sababu zetu, mmoja akitaka kurenew passport apate ya electronic, mwingine ndio anataka...
 7. M

  Mh. Rais sitisha ujenzi wa stendi za mabasi ya Nyamhongoro na Nyegezi Jijini Mwanza

  Mh. Rais, serikali yako imetenga mabillion ya pesa kwa ujenzi wa stendi za mabasi katika maeneo ya Nyamhongoro na Nyegezi jijini Mwanza, hili ni jambo zuri la kupongezwa katika juhudi za kuboresha miundombinu ya miji yetu, Mh Rais najua unalifahamu vizuri jiji la mwanza ndio maana naandika haya...
 8. M

  Magufuli, ajaye ataweza wewe ukijenga taasisi imara za kisheria na kikatiba

  Mh. Rais pole na majukumu na pole kwa kazi kubwa unayoifanya iliyo ngumu na nzito ya kuliletea taifa hili maendeleo. Mh nimekusikia ukilalamika kwa kazi nzito unayokumbana nayo kama kiongozi wa nchi. Naomba kutumia uelewa wangu kwenye masuala ya utawala na sheria kukushauri jambo ili uache...
 9. M

  Kesi ya Zombe na Kauli ya Rais: Tusisahau wafanyabiashara wa wahenge

  Mh. Rais kauli yako kuhusu majambazi tumeisikia, lakini Mh. Ningependa kukumbusha kuhusu wafanyabiashara wa mahenge waliosemekana majambazi wakapigwa risasi na kuuwawa. Naamini kipindi hicho ulikuwa waziri wa ujenzi na hawa wafanyabiashara walikuwa wamekuja Dar es Salaam wakiwa na madini yao...
 10. M

  Mshauri wa Rais kutoka mtaani: JPM zingatia haya utatufikisha mbali

  Shikamoo Rais Wangu Mpendwa, Nimejipa cheo kisicho rasmi kama mshauri wako na kama mpiga kura wako niliekaa kwa zaidi ya masaa 5 nasubiri kukupigia kura na wajibu na haki ya kukushauri. Kawasifu kangu sio kamaana sana lakini nimepata bahati ya kusoma sayansi ya siasa udsm so i would confidently...
 11. M

  Kuelekea 2020! Je ni makundi ya kisiasa yenye maslahi au wananchi waliomchoka JPM?

  Nimekaa nikitafakari mwelekeo wa siasa ya nchi yetu kuelekea uchaguzi mkuu 2020, bila shaka kuna kundi au makundi ndani na nje ya ccm yakitaka JPM asiendee tena baada ya 2020, tuhuma na kurushiana maneno kupitia mitandao ya kijamaii na magazeti ikiwamo gazeti la "Tanzanite " lililoshusha tuhuma...
 12. M

  Rais Magufuli niteuwe nikusaidie kukata miti

  Mh. Rais naamini hizi taarifa zitakufikia sehemu yoyote ile ulipo. Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu number moja hapa Tanzania mwenye shahada ya uzamili na ninaamini binafsi ni uwezo mkubwa wa kulitumikia taifa langu. Nimeona kwenye ziara yako Mkoani mara ukilalamika kuwa na viongozi wasiochukuwa...
 13. M

  Je, ujenzi holela mijini ni kipimo cha akili ya Mwafrika?

  Nimebaharika kufika baadhi ya miji mbalimbali duniani, ikiwamo baadhi ya miji africa na Tanzania karibu yote! Kitu nachoona ni tofauti kabisa na sisi, ni jinsi wenzetu wanavyothamini suala zima la makazi, Ukiangalia makazi yetu hasa kwenye miji mikubwa kama vile Dar es salaam, Mwanza, Mbeya etc...
 14. M

  Tatizo la maji katika baadhi ya maeneo ya jiji la Mwanza ni aibu kwa Mwauwasa!

  Jiji la Mwanza limebarikiwa kuwa na chazo kikuu cha maji, Ziwa Victoria, baadhi ya mikoa ya jirani kama Shinyanga na Tabora yanapata maji kutoka ziwa victoria lakini inashangaza maeneo ya jiji kama vile kiseke, Buswelu, Mahina, Nyamongoro etc, yamekuwa yakipata maji kwa mgao kwa muda mrefu huku...
 15. M

  Ushauri: Billion 700 za Barrick, Kiasi Kikajenge Daraja la Kigongo-Busisi Kama kumbukumbu

  Kwa unyonywaji uliofanywa na makampuni ya madini, nashauri kiasi cha fedha zitakazolipwa kitumike kujenga daraja la kigongo-busisi kama kumbukumbu ya unyonyaji uliofanywa na makampuni ya madini, daraja hili linaonganisha migodi ya madini na jiji la mwanza ambao imeshauriwa kuwekwa makao makuu ya...
 16. M

  Al badil haijatoa majibu hadi sasa, wanaohusishwa kupigwa risasi Lissu ni siasa?

  Kulingana na imani ya dini ya kiislam Al Badil husomwa na madhara huwapata wahusika wa tukio fulani. Mh. Paul Makonda amekuwa akituhumiwa kwenye mitandao ya kijamii bila ushahidi kama muhusika. Hadi sasa hatuoni matokeo ya Al Badil, je ilikuwa siasa?
 17. M

  Muelekeo wa utawala wa Magufuli: Ulazima wa katiba mpya na Rasilimali za Taifa

  Taifa lolote lile ili liendelee ni lazima liwe na viongozi wenye maono ya kuliongoza taifa hilo kwenye kilele cha mafanikio. Ukisoma kitabu kinachoitwa “DENG XIAOPING AND THE TRANSFORMATION OF CHINA” by Ezra Vogel, utaelewa kwanini kuna umuhimu wa kupata kiongozi jasiri anaeweza kulipeleka taifa...
 18. M

  Uhuru usiokuwa na mipaka ni uhayawani

  Kati ya vitu binadamu alipewa na mwenyezi Mungu ni ubongo. Kazi kubwa ya ubongo ni kufikili na kutoa maamuzi sahihi yenye tija katika jamii. Asilimia kubwa ya watanzania ni masikini hali yao ya kiuchumi ni ngumu. Siasa za Chadema kwa miaka mingi especially katika utawala wa JK zimekuwa ni...
 19. M

  Uchumi kanda ya ziwa waongezeka kwa asilimia 13

  Uchumi wa mikoa ya kanda ya ziwa umeongezeka kwa asilimia 13, kutoka Sh20.6 trillion 2014/15 mpaka trillion 23.4 2015/16. Sekta zilizochangia ukuaji huo ni madini, biashara, utalii na fedha. Watu waliotembelea mbuga za wanyama wamechangia pato kwa asilimia 21.3. ======== Uchumi wa mikoa ya...
 20. M

  Sera na Maamuzi ya serikali vinarudisha nyuma maendeleo ya kilimo Tanzania

  Nimetafakari kwa muda sana baada ya mimi binafsi kuamua kujiingiza kwenye kilimo kama mkakati wa kujiajiri na kuajiri watu wengine. Kama kijana wenye uelewa na nilipata elimu nzuri na kupambana na tatizo la ajira, kilimo ingekuwa njia nzuri ya kunikomboa, bahati mbaya sana naona maamuzi ya...
Top Bottom