Search results

 1. W. J. Malecela

  RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018

  Kitabu kipya cha "MY AMERICAN EXPERIENCE" kinatazamiwa kuzinduliwa rasmi Ijumaa ya tarehe 31/8/2018 katika Ukumbi wa King Solomon Hall uliopo Namanga pembeni ya Bestbite na kitazinduliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh. Paul Makonda. Uzinduzi huo utakaoanza Saa Kumi na Moja kamili jioni...
 2. W. J. Malecela

  Kitabu changu "MY AMERICAN EXPERIENCE" kipo tayari sasa.

  - "MY AMERICAN EXPERIENCE" kitabu changu kipya ambacho baadhi ya chapters zake zilisomwa sana humu JF, sasa kipo tayari kutakuwa na uzinduzi rasmi mwisho wa mwezi huu, na nitatangaza namna ya kukipata. Karibuni sana ndugu zangu mjipatie copy. ...Call +255 717 618 997 bei haitazidi 15K. ....ni...
 3. W. J. Malecela

  Tuiachie Serikali itoe majibu ya nani anahusika na shambulio la Lissu, msituchanganye wananchi

  EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza .... naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai Mwezi May, Mwaka 1998 Rais hakuwa Magufuli!....Wakati wafuasi wa CUF Pemba wanapigwa...
 4. W. J. Malecela

  Mkuu wa Mkoa wa Dar Makonda awatangazia wananchi wa mkoa wake miguu ya bure

  Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe Paul Makonda amefanikiwa kupata MIGUU YA BANDIA ya Kuhudumia wananchi MIA MBILI (200) itakayoweza kuwasaidia wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam wenye mahitaji. Miguu hiyo yenye thamani ya Shilingi Milion 600 hadi bilioni 1.2 ENDAPO watu wote 200 watahitaji miguu...
 5. W. J. Malecela

  Sababu mojawapo ya Makamanda wa CHADEMA 'kummiss' Kikwete hii hapa

  - Juzi Rais wa zamani JK alipoenda Bungeni inasemekana alishangiliwa zaidi na Makamanda wa Chadema, kuliko hata Wabunge wa CCM tafsiri nyingi sana zimetolewa ku justify kitendo hicho na hii ya kuitwa itwa Ikulu kupata Chai na Juice, inatajwa kuwa ni mojawapo ukizingatia kwamba Rais wa sasa...
 6. W. J. Malecela

  Freeman Mbowe na kupanda na kushuka kwa CHADEMA!

  - Freeman Haikaeli Mbowe au kama tunavyomuita mtaani "MCHAGGA" ni rafiki yangu wa karibu sana sana nimemfahamu toka utotoni na ndio maana mpaka leo ninamuheshimu sana kwani ni mmmoja wa Binadam wachache sana ninaowafahamu Duniani wenye msiamo na walio radhi kupoteza anything kwa ajili ya...
 7. W. J. Malecela

  Kwanini ushindi wa Trump ni faida kubwa kwa Tanzania?

  - Ushindi wa Trump ni ushindi wa Wananchi wa Marekani, baada ya miaka 270 ya Mfumo Dume Wazee wa Kimarekani wanaomalizia Generation ile hawakutaka kuona Rais Mwanamke anachaguliwa under their watch. Donald Trump throughout the campaign alikuwa anaongea lugha ya pure American, ambaye amezaliwa...
 8. W. J. Malecela

  Uuzwaji wa kiwanja block A Manzese, Camel Oil haihusiki na ubabaishaji

  KAMPUNI ya Camel Oil imesema uuzwaji wa kiwanja namba 130 kilichoko Block A, Manzese jijini Dar es Salaam ulizingatia taratibu zote za kisheria na kwamba hakuna sehemu iliyoghushi hati za kiwanja hicho karna inavyodaiwa. Baada ya kuona utitiri wa habari za nia ya kupotosha ukweli, Camel Oil...
 9. W. J. Malecela

  Said Lugumi Kosa lake ni Kuwa Darasa La Saba Au what?

  STRAIGHT TALK:- Kwa wiki nzima sasa Wananchi wa Tanzania tumekuwa tukipokea taarifa mbali mbali za Media na Wanasiasa kuhusiana linaloitwa sakata la Mkataba wa Polisi na Mfanyabiashara maarufu hapa nchini Said Lugumi,kilichomtokea Said ni kama yaliyowatokea Mkurugenzi wa zamani wa NSSF Ramadhani...
 10. W. J. Malecela

  Semina ya "Kuzaliwa masikini sio adhabu ya kifo"

  - Napenda kuwafahamisha my people here kwamba as a part of Celebrations ya my Social Media Company kutimiza miaka 3, tutakuwa na Semina maalum ya "KUZALIWA MASIKINI SIO ADHABU YA KIFO" ambayo nitawaita Vijana Matajiri na Viongozi wa Taifa, kuja kuzungumza na Vijana 300 wanaopigana na maisha sasa...
 11. W. J. Malecela

  Tukutane at Vodacom Tanzania Facebook Page Ongea Saa 1 Bure Deilee!!

  - Tukutane Saa Tisa Kamili leo at the Vodacom Tanzania Facebook Page na Ongea Saa 1 Bure Deilee I am humbled U know lets go guys!! le Mutuz
 12. W. J. Malecela

  Gazeti la jana Mawio liliandika uongo wa Instagram (kuhusu DC Makonda), ombeni radhi now!

  - Gazeti la Mawio jana liliandika habari ya KUTUNGA na ya UONGO likiwa na nia ya kumdhalilisha Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Makonda kwamba alipewa Ukuu wa Wilaya kwa sababu aliwahi kumfunga kamba za viatu Mtoto wa Rais wa zamani Dr. JK huku likionyesha picha ambayo Mtoto huyo wa Rais wa...
 13. W. J. Malecela

  Mtanzania aingia fainali ya kuwa balozi wa jet magazine anahitaji kura 5,000 tu tumpigie please!!

  @ GUYS SISTER NI MBONGO MWENZETU ANASHIDANIA KUWA BALOZI WA JET MAGAZINE ANAHITAJI KURA 5,000 BY KESHO PLEASE GO HERE:- .......https://miss.jetsetmag.com/vote-for/aicha-mosha .....SELECT STEP 1 then go to STEP 3 'I AM NOT A ROBOT' ......guys please lets go and vote for her!! na MUNGU AIBARIKI...
 14. W. J. Malecela

  CHADEMA na Maajabu ya Musa Leo Bungeni!!

  Lowassa aliingia CHADEMA saa mbili kamili Asubuhi, ilipofika saa mbili na dakika tano akawa mgombea Urais wa# CHADEMA..... ,Babu Duni aliingia chadema saa sita na saa sita na nusu alikua mgombea Mwenza na Wote waliingia CHADEMA Wiki Moja kabla ya Kampeni kuanza, - Leo CHADEMA wanamuuliza...
 15. W. J. Malecela

  CCM Tusifanye Makosa Tunatakiwa kuwa na Naibu Spika Msomi Hakuna Namna!

  - Well, leo Asubuhi CCM imemchagua Mh. Job Ndugai kuwa Mgombea pekee wa chama hicho kwenye nafasi ya Uspika na sasa inabaki nafasi ya Naibu Spika. Kwanza ni muhimu sana Wabunge wetu wakazingatia jinsia kwa maana ya kwamba kwa vile Spika atakuwa ni Mwanaume basi ni muhimu sana Naibu Spika awe...
 16. W. J. Malecela

  Kwanini viongozi wote wanaotoka CCM hawajiungi na CHADEMA moja kwa moja?

  Mzee Kingunge naachana na CCM siendi chama chochote, Mh Frederick Sumaye naondoka CCM ila sijasema nitajiunga chama gani, Mh Lowassa ni zuio la kikatiba la kuwa ili uwe mgombea sharti uwe na chama basi naye angesema anahama CCM ila hajiungi na chama chochote Maana nyingine hivyo vyama Vya...
 17. W. J. Malecela

  Sababu 10 tu kwanini Magufuli ana nafasi kubwa ya kushinda uchaguzi 2015

  Sababu 10 kwa nini John Magufuli atashinda uchaguzi Mkuu wa Urais 2015 1. Tanzania bara na visiwani yako majimbo ya uchaguzi 266, CCM imesimamisha wagombea Ubunge katika majimbo yote 266 huku Chadema na washirika wake wa Ukawa wakiwa wamesimamisha wagombea katika majimbo 211 (138 toka...
 18. W. J. Malecela

  Ni Nini Hatma ya Ndoa ya Gwajima + Lowassa na UKAWA kwa Taifa Letu?

  MCHUNGAJI wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima sasa amejipapambunua hadharani msimamo wake, jambo ambalo ni tofauti kabisa na viongozi wengine wote wa Dini nchini akiwa sanjari na swahiba wake Edward Lowassa anayempa mbinu za kufufua mizimu, ili wapate wafuasi. Viongozi ni binadamu...
Top Bottom