Search results

 1. Consultant

  Elections 2020 Kamati Kuu CCM kuteua wagombea watatu (03) ambao watapigiwa kura wajumbe wa jimbo husika

  Zamani ilikuwa watu wanapigiwa kura ila Kamati kuu inarudisha hata mtu aliyekuwa nambari 7. Bora hata hii mpya japo wanaweza kuwaengua mapema wale waziuri ila wasio chaguo la Jiwe na genge lake
 2. Consultant

  Tunamdanganya nani kwamba Corona imeisha? Angalia huyu mwanamke aliyetoka nchini kukutwa na Corona huko Namibia

  Covid haijaisha. Now that mipaka imefunguliwa na kila “mtalii” yupo huru kuzunguka atakavyo mara tu baada ya kutua, tujiandae. Tangu mwanzo ilikuwa obvious kwamba kila mtu ameachwa ajipiganie
 3. Consultant

  Marekani: Maandamano ya kifo cha George Floyd yafika White House, mabomu ya machozi yatumika. Rais Trump ajificha

  Kitu ya namna hii HAITOKAA ITOKEE kwenye Ikulu ya Marekani. Hizi ni ndoto za mchana. Baada ya 9/11 huwezi kuingia White House kindezi hivi. Mtauawa kama nzige na wala hakutakuwa na kesi. Those Protesters are not that stupid kurisk maisha yao.
 4. Consultant

  Mbunge wa viti maalumu CHADEMA, Sabriana Sungura ahamia CUF

  Huu ni muendelezo wa "uninafsi na umimi". Kama ni mtu serious na sio msaka tonge angeondoka kitambo baada tu ya kuanza kununiwa. Siasa sasa ni ajira
 5. Consultant

  Haya si maandamano ya amani, hizi ni vurugu sasa

  Kama wangewakamata wale Askari watatu immediately baada ya kuwafuta kazi huenda haya yanayotokea leo yasingetokea. I hope the message is loud enough na wahusika wanachukua notes.
 6. Consultant

  Nisaidieni wana CIA huyu mwanafunzi namba yangu kaitoa wapi

  Suala la wapi kapata namba yako sio muhimu. Kama wewe ni mwalimu uliyepikwa ukapikika vyema unajua nini cha kufanya. Unaweza kumwambia asikutumie msg tena na namba yako aifute tu. Otherwise utakuja kujuta huko mbele ya safari. Mwanafunzi akipata mimba au tatizo lolote, utakuwa prime suspect
 7. Consultant

  Kipanya

  Badala ya kuwapelekea barabara ya lami, anawapelekea ndala🙂
 8. Consultant

  Corona: Baada ya kushinda vita hakuna hata wa kutupongeza?

  Chukulia kama COVID “tumemshinda” ila endelea tu kuexercise high hygiene standards kwa kunawa mikono na sabuni kila mara na kuepuka misongamano isiyo ya lazima. Hii itakusaidia kuwazuia hawa hapa: gastroenteritis, trachoma, skin infections, cholera, ebola etc COVID bado ipo na haiondolewi kwa...
 9. Consultant

  Naomba kufahamishwa wasifu wa Dkt. Wilson Mahera, Mkurugenzi mpya wa Tume ya Taifa ya uchaguzi ( NEC )

  Alitufundisha Math post-graduate UDSM. Topics hata nne kwa kipindi kimoja. Hesabu anaifundisha sawa na DS huku akijitapa “we have covered a loooot today”
 10. Consultant

  Nimetapeliwa na wauza iPhone wa Instagram

  I see. Polisi ukienda wanaweza hata kukuchapa makofi.
 11. Consultant

  MIAKA 10 YA UTUMISHI WA UMMA: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

  It is never too late to start over especially when you realize you are in the wrong path. Hongera umeshtuka at age 32. Wengine wapo at 58 ila hawajashtuka bado
 12. Consultant

  ‘Motivational Speakers’ wanaweza kuharibu maisha ya waajiriwa

  Motivational speaking ndio “biashara” yao. Wanawakusanya kwa kiingilio say cha 15,000/- na mkiwa mia tu, keshapiga hela ndefu. Mtu unaweza kuwa “motivated” but without moving your ass and actually do something, hakuna kufanikiwa. Mimi hata siwasikilizi hao watu wanaopiga porojo tu wala kusoma...
 13. Consultant

  Idris Sultan afikishwa katika Mahakama ya Kisutu. Ashtakiwa kwa kumiliki laini ya simu isiyo na jina lake. Aachiwa kwa dhamana

  Yaani wametumia siku nane kuna na hili kosa?? Police wa TZ ni vilaza wa kutupwa
 14. Consultant

  Idris Sultan afikishwa katika Mahakama ya Kisutu. Ashtakiwa kwa kumiliki laini ya simu isiyo na jina lake. Aachiwa kwa dhamana

  Anaweza akakana kwamba hakujua kama yule ndio huyuhuyu John Pombe Joseph wa sasa Anaweza akasema alikuwa anasmile kwa furaha baada ya kuona lile koti XXXXXXXL na kujiuliza vijana wa sasa wanawezaje kujibana na “slim fit”😎 Bahati nzuri ile clip haikuwa na maneno wala caption yoyote!
 15. Consultant

  Idris Sultan atimiza siku 7 Rumande

  Bahati mbaya sana Tanzania na Marekani kwenye issues za freedom of speech/expression na mambo mengine mengi tu hatupo sawa. Sisi sio comedians tu, hata ile mihimili mingine (Bunge na Mahakama) inapokea order kutoka kwa Jiwe. Jiwe akimwambia Waziri wa Afya vua mask, anavua haraka etc etc...
 16. Consultant

  Idris Sultan atimiza siku 7 Rumande

  Ile picha kila mtu aliyeiona alikuwa akiicheka kimyakimya, chumbani kwake. Idriss went too far ukichukulia pia alishaingia matatani kabla. Japo anaweza asifungwe kwa kuwa watashindwa kusema wanamshtaki kwa kosa gani haswa, ila watamtesa sana na huenda wakamharibia hata deals zake nyingine
 17. Consultant

  Baada ya kutoa mabandiko kuhusu hali ya Corona nchini, Kaimu Balozi wa Marekani aitwa Serikali kutoa ufafanuzi

  Sisi tutaishia kutoa “masikitiko yetu” tu na ubalozi wataendelea kutoa travel advisory kwa raia wao ambazo kama Nchi hatuna mamlaka ya kuwazuia. Ukitaka kuepusha speculations, weka data hadharani
 18. Consultant

  Kwanini watoto wanawatunza mama zao kuliko baba zao?

  Inabidi kuanza kujisort mapema wakati nguvu bado zipo. Hii ipo sana. Mtoto anaenda home kutembea ila wakati wa kutoka mzee anapewa 10 ya bia huku mother anakunjiwa hata kilo kwenye kiganja. Wanaume hatuaminiki. Ukipewa nyingi hukawii kwenda kuhonga kwa vibinti...
Top Bottom