Search results

 1. Consultant

  Air Tanzania na huduma mbovu ya usafirishaji wa Parcels/ Mizigo

  Nilitumiwa parcel moja kutoka Dodoma kuja Dar last month. Suprisingly, akapewa mtu mwingine anayeishi Chanika. Yaani ilichukua zaidi ya masaa 28 kuipata ile parcel na ilinilazimu mimi kudrive kumfuata alipo. Nimetuma box dogo tu lenye documents kwenda Bukoba tangu tarehe 30 December. Cha ajabu...
 2. Consultant

  Kiwanja kinatafutwa Dodoma

  Kuna dalali yeyote wa viwanja humu aliyepo Dodoma? Nina shida ya viwanja. Tuwasiliane PM
 3. Consultant

  Ukopaji fedha na jinsi unavyoua Urafiki

  Rafiki yangu mmoja nilimkopa Laki Sita May 2017. Alikuwa nje ya mji na mkewe akapata emergency, akihitaji hiyo pesa. Kwa kuthamini urafiki wetu, nilimtumia fasta, na elfu kumi juu ya ''kutolea''. Huyu hajalipa mpaka leo. Mwingine alikuwa staff member na akaomba nimkope Laki Nane kwa kuwa alikuwa...
 4. Consultant

  RAV 4 Inahitajika

  Wakuu, Kuna mtu anahitaji gari - RAV4, AUTOMATIC Transmission, 3 or 5 doors. Rangi yoyote isipokuwa Nyeupe. Hana mpunga wa kutosha kwenda Showroom. Aliye na mpango wa kuuza la kwake anicheck PM
 5. Consultant

  Traffic jam ili wanene wapite

  Tupo kwenye foleni...two hours sasa. Foleni imeanzia Kibaha na huu mnyororo unaweza kuwa umefika mpaka Ubungo. Nimemuuliza traffic na anasema wanaandaa mazingira maana mzee anarudi kwake leo kutokea Dom. Unaweza kukuta hata Chalinze hajafika. Tutapumua siku wote wakihamia Dodoma.
 6. Consultant

  Gambia: A lesson for African dictators

  ''The clear lesson for opposition parties and the citizenry in countries with authoritarian leaders is that not only should they forge unity during elections, but also prepare to work with regional and international bodies for a negotiated exit guaranteeing peaceful transfer of power'' Gambia...
 7. Consultant

  Bank tellers na "udokozi"

  Jumamosi nilienda KCB branch moja Posta na kuchukua 4.5M. Yule teller akanipa zile bundles za buku tanotano. Sikumtilia shaka kutaka azipitishe kwenye mashine maana alionekana kama "muungwana na mstarabu" flani hivi na nilikuwa na haraka kidogo. Jana nazihesabu na kukukuta kumbe alinipiga jumla...
 8. Consultant

  IST inatafutwa - cost isizidi 5M

  Kuna mtu kanipa kazi ya kumtafutia IST. Auto au Manual kwake sawa tu. Budget yake haizidi milioni 5 Anyone? Nicheki PM
 9. Consultant

  KCB mnawaibia wateja wenye USD Account

  Imekuwa kero sasa. Hii ni wiki ya pili kila ukienda kwenye matawi ya benki ya Kenya Commercial (KCB), unaambiwa dola hakuna. Ukitaka uchukue Tshs instead, wanakupa kwa ile rate yao ya kinyonyaji (1 USD = Tshs 2,050). Mtaani exchange rate ipo kwa angalau 2150. Hii ina maana kwamba ukikubali rate...
 10. Consultant

  Elections 2015 Magufuli anatukwepa - BBC Swahili

  Leo kwenye taarifa ya habari ya BBC Swahili saa tatu usiku, imeripotiwa kuwa John Magufuli amekuwa akikwepa kila BBC wanapotaka kumfanyia mahojiano. Matumaini yao ilikuwa iwe jana, finally, cha ajabu, jamaa akasepa dakika za mwisho. Kwa maswali yale aliyopigwa Lowassa, no wonder Magufuli...
 11. Consultant

  Watu wanne wahukumiwa Kifo kwa kumuua Albino

  Four people have been sentenced to death in Tanzania after being found guilty of murdering an albino woman. The four had killed the woman in 2008 because they believed her body parts had special powers, according to the judge in north-western town of Geita. The 22-year-old victim, Zawadi...
 12. Consultant

  Mtaalamu wa HEC-HMS anatafutwa

  Namtafuta mtu anayejua vizuri sana program ya HEC-HMS. Please, PM
 13. Consultant

  Msaada - jinsi ya kucopy information kutoka Google Books

  Wataalam, naomba msaada wa namna ya kucopy certain sections kutoka Google Books. Kuna materials nahitaji kucopy/kuprint, na hii kitu nimeiona Google Books tu.
 14. Consultant

  NAPE: Rais Kikwete hashinikizwi kufanya maamuzi juu ya ESCROW

  My take: Hivi inawezekana kweli akina Werema, Muhongo na Maswi wakapeta maana Kikwete anaweza asiufuate ushauri wa Bunge? Sasa inaonekana akina NAPE wametumwa kufanya ''utafiti'' na kupima upepo; na sasa wanadiriki kusema kwamba wananchi hawalifuatilii tena suala la Escrow....Upepo...
 15. Consultant

  Mtaalamu wa kudesign na kutengeneza garden anatafutwa

  Wakuu, Natafuta mtaalamu wa kudesign na kutengeneza garden. Kama ni wewe au unamfahamu mtu, naomba tukutane PM
 16. Consultant

  Environmental health specialists for Ebola response - Needed URGENTLY

  Dear Consultant, Hope you are doing well. As part of the coordinated response to the Ebola outbreak in West Africa, CANADEM is seeking qualified environmental health specialist to join the fight against Ebola. Selected applicants will be deployed to a International Rescue Committee (IRC) Ebola...
 17. Consultant

  Can you take two antibiotics at the same time?

  Nilikuwa natatizwa sana na jambo hili, na sikuwahi kupata daktari aliyenipa jibu la uhakika. Nimesoma article hii hapa chini na nafikiri nimepata mwanga kidooogo. Can you take two antibiotics at the same time An antibiotic is the drug, which slows or kills the growth of the bacteria...
 18. Consultant

  Nikasome wapi Monitoring and Evaluation kwa njia ya distance learning

  Wakuu, nahitaji kufahamishwa chuo kizuri kinachofundisha kozi ya Project Planning, monitoring and Evaluation kwa njia ya distance learning. Iwe certificate; diploma au advanced diploma. Ndani au nje ya Tanzania Shukrani
 19. Consultant

  Kaspersky Anti-virus VS Norton??

  Nimetumia Kaspersky ya 2012 kwa mwaka mmoja. Nafikiria kubadirisha na kutumia Norton sasa maana Kaspersky naona ipo slow sana, hasa pale ninapowasha computer. Any experience with Norton? nisije nikawa nakimbia mkojo na kukanyaga kitu kingine....
 20. Consultant

  Kupatwa na MVI kabla ya kufikisha miaka 35

  Msaada wakuu. Mdogo wangu ameanza kupata mvi (zimechachamaa zaidi kidevuni) wakati hata miaka 30 hajafikisha. Mimi ninamzidi umri ila sina hata punje ya mvi. Inawezekana hii ni upungufu/ukosefu wa kitu chochote mwilini? au ndo ''busara'' kama wenyewe wanavyodai?
Top Bottom