Search results

 1. N

  Awamu hii tuache kwenda kanisani, msikitini

  Ndio! Acheni kwenda msikitini au makanisani kusali kwani waumini wengi mmejaa unafiki, majungu na mnaleta utani na swala!! Why? Wengi wanasali kila Ijumaa na Jumapili na hata jumamosi lakini matendo yao yanachefua na hawana dhamira ya kuacha dhambi. Yanini kwenda msikitini au kanisani wakati...
 2. N

  Waumini wengi hawatoi sadaka makanisani/misikitini!

  Sadaka ni ile hali ya kujitolea kitu chako cha thamani kubwa, ikiwemo uhai, kwa ajili ya upendo au imani fulani. Tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu watu wamekuwa wakitoa sadaka kwa miungu wao. Mungu wa Israel alipojidhihirisha kwa wanadamu watu walimfanyia sadaka lakini ilisisitizwa sadaka itolewe...
 3. N

  Watoto nje ya ndoa, "wanalipa"

  Ni mara chache sana watoto wa kwanza kwenye familia kuwa 'watu' maishani. Mara nyingi watoto wa katikati na surprisingly nje ya ndoa ndio hutoka. Mifano iko mingi kwenye vitabu vitakatifu lakini mfalme Suleiman ni mfano hai. Huyu alikuwa mtoto ambaye Mfalme Daudi alizaa na mke wa mtu...
 4. N

  Mawasiliano ya Rostam Aziz

  Ndugu zangu naomba namba ya simu ya ndugu Rostam Aziz ili niweze kuwasiliana naye. Nimekuwa nikimtafuta kwa 0754555555 lakini nahisi alibadilisha namba. Kazi njema kwa wote. Thanks in advance
 5. N

  Bajaji na ujinga wa RPC Mbeya

  Natumia neno zuri "ujinga" sio upumbavu. Jana mkubwa wa polisi Mbeya aliitisha mkutano na waendesha bajaji wote. Iliamriwa kwamba waendeshaji wote wasiendelee kusafirisha abiria wakati wote wa kikao na RPC huyo. Inaelezwa kwamba kikao hicho hakikuwa na lolote jipya zaidi ya blabla na...
 6. N

  Baa zenye huduma nzuri Mbeya

  Wadau wapi jijini Mbeya kwenye baa nzuri, yenye huduma nzuri, wahudumu bomba na wenye huduma nzuri?!!! Je Karembu bar bado inawika? Nataka nitoke mishale ya saa 11 nikapunguze stress japo kiasi. Please let me know.
 7. N

  Sipendi! House girls kufanywa robo watu!

  Katika dunia tunayoishi kuna watu wamejaliwa kuwa matajiri na wengine ni masikini. Wengine utajiri was kurithi, wengine wamehangaika wenyewe na baadhi wanajua walivyoiba! Wapo mameneja wengine wahudumu. Huku mfyagizi kule CEO, bosi nk nk. Kuna wakurugenzi na walinzi. Huku makarani kule...
 8. N

  Naomba kujua bei ya bati

  Nauliza ndugu zangu bei ya bati Mbeya mjini ni Sh ngapi? Na je nyumba ya vyumba vitano itahitaji bati ngapi.... Mbao je? Asante
 9. N

  Lazima mke ashuke tu kwa mumewe vinginevyo hakuna ndoa

  Katika miaka ya karibuni kumekuwa na upungufu mkubwa wa wanawake wazuri. Kwa sura, shape au mwonekano hasa mijini. Pengine hii inatokana na mabadiliko ya tabia ya nchi na ukweli kwamba watu siku hizi hawapati lishe bora kama walivyopata wazee wetu. Kupungua kwa idadi ya wanawake wazuri hasa...
 10. N

  Wakristu tupunguze mbwembwe na majivuno jamani

  Vitabu vya dini vinatutaka kuwa wanyenyekevu. Sio kuwa na kiburi na mbwembwe kama walivyo baadhi ya viongozi wa dini wa kizazi hiki. Ni hodari wa kushiriki misiba ya matajiri lakini ya masikini wanaikwepa. Nafarijika kwamba Wakristo na Waislamu wote wanamuabudu Mungu mmoja. Ndiyo kwa namna...
 11. N

  PPF/PSSSF sasa ni utata mubashara

  Kinachofanywa sasa na PSSSF pamoja na dada yake nssf ni uhuni. Sasa kuna ujinga mwingine. eti PPF hawalipi wale waliokuwa 'professionals'. Yaani hata kama mtu alikuwa karani tu unahesabika ni professional!! Huu ni utata mkuuubwa kwani wa LAPF wote wanalipwa. It's not fair. Ni upuuzi kumwambia...
 12. N

  PSSSF ni majambazi wa kizazi kipya

  Kinachofanywa sasa na PSSSF pamoja na dada yake nssf ni uhuni. Jamaa hawa sasa wame embark into delaying tactics. Njoo baada ya miezi2 zimezidi. Kama hawana fedha za kulipa mafao ya ex-employees si easement wazi? Social Security scheme is a nuisance to workers in Tz. Kusema wafanyazi...
 13. N

  Ajira hizi ni kufunga ndoa na ufukara!

  Jamii sasa imebadilika sana na milango ya ajira imepanuliwa kiasi cha kutosha. Hivi sasa ajira nyingi zilizoitwa uhuni miaka ya nyuma ndizo zinazolipa. Sana. Ajira rasmi za Serikali heshima yake inazidi kushuka kwani malipo yake ni kiduchu sana. Hatujafikia hatua ya ku legalise ukahaba, lakini...
 14. N

  Wapi katika jiji la Mbeya ninaweza kupata Viwanja na mashamba

  Ndugu zangu wapi katika jiji la Mbeya naweza kupata shamba au kiwanja. Nina mil. 3. Nataka kulima na kujenga na pia kufuga. Viwanja vya bei poa.
 15. N

  Tujihadhari na marafiki wanafikinafiki, cowards

  Ndio baadhi ya marafiki zetu ni wanafiki. Wengi hawana ujasiri wa kuwa wawazi kwa wenzao badala yakewanakuchimba pembeni. Wanatuficha ukweli. Wengi sio sincere wala honest. Majibu yao mengi yapo usoni ingawa hilo hatuligundui. Anaweza kukujibu kwa kukunja uso, kuvimba pua au kurefusha domo...
 16. N

  Sipendi house girls kufanywa binadamu daraja la chini

  Tofauti hazikwepeki katika maisha. Hawa wamepewa na wale wamenyimwa. Lakini binadamu tusinyanyasane wala kutishana kwa ajili ya tofauti hizo alizoweka Rabana. Katika dunia tunayoishi kuna watu wamejaliwa kuwa matajiri na wengine ni masikini. Wapo mameneja wengine wahudumu. Huku mfyagizi kule...
 17. N

  PPF/PSSSF tukutane kuzimu!

  Kusema wafanyazi wanaichukia NSSF na PSSSF ni understatement! In fact hawa wangekuwa ni watu hai basi wangepigwa risasi, kuchomwa moto au kuwa skinned alive. Hawa na shangazi yao SSRA ni wauaji, chinjachinja nyonya damu. Hawana tofauti na mauti haki yao ni kutupwa kwenye kaburi la sahau. Nani...
 18. N

  PSSSF ni kama dude la kishetanishetani hivi

  PSSSF ni kizungumkuti. Ati Sheria mpya inaanza rasmi kuuma August 1. Nini fate ya wale walioachishwa kazi before July, 2018 kushuka chini huko? Watu wanasubiri muda mrefu. Mambo yanayoelezwa hayaingii akilini hata kidogo. The crazy kanuni labla ni applicable elsewhere lakini sio bongo. Swali...
 19. N

  PSSF, NSSF pasua kichwa, moyo, maini na mikono

  Irene Isaka wa SSRA ame trend wiki hii na blabla zake kuhusu kanuni adui kwa wastaafu. Ukweli ni kwamba dada huyu anatumika kutaka kuwaibia wafanyazi. Mambo yanayoelezwa hayaingii akilini hata kidogo. The crazy kanuni labla ni applicable elsewhere lakini sio bongo. Swali kuu ni kwamba why are...
 20. N

  Tabia ya viserikali na viongozi wasiojiamini

  Kuna msemo usemao ukiona Serikali inawaogopa wananchi ujue kuna uhuru au liberty. Kama wananchi wanaiogopa Serikali ujue kuna udikteta!! Ukiona wananchi wanaumia ujue kuna unafiki, ubabaishaji, uonevu na uropokaji. Viserikali kama hivi ni bingwa wa kulalamikia uhaba wa fedha lakini kwenye...
Top Bottom