Search results

 1. Geeque

  Faini ya Milioni 350 dhidi ya viongozi wa Chadema itumike kuwalipa fidia wazazi wa Akwilina

  Hukumu iliyotolewa na hakimu wa mahakama ya Kisutu jijini Dar Es Salaam ikiwataka viongozi wa Chadema walipe faini ya shilingi milioni 350 itumike kuwalipa fidia wazazi wa marehemu Akwilina Akwiline. Haingii akilini hii pesa kurudi serikalini wakati waathirika wakubwa wa mauaji hayo yaliyofanywa...
 2. Geeque

  Ijue Bongo Radio: Tanzania Best Online Radio

  Kama ulikuwa hujui, Bongo Radio inapatikana kwenye simu yako ya mkononi na Tablets kupitia apps za TuneIn Radio, Nokia Radio, XiiaLive, Streema, ShoutCast na nyingine nyingi. Pia tunapatikana ndani ya streaming devices kama ROKU, Chromecast, Amazon Fire TV via TuneIn Radio na ShoutCast Apps...
 3. Geeque

  Muungano Ukivunjika Leo Nchi Yetu Iendelee Kuitwa Tanzania

  Kwanza napenda kuwapa heshima tele na shikamoo Vibabu na Vibibi vya nchi ya Tanganyika, najua mna kila haki ya kudai nchi yenu ya Tanganyika ambayo ilikuwepo wakati mnazaliwa. Nina uhakika bado mnawakumbuka na kuwatii sana Malkia na Gavana wenu wa Kingereza ambao walikuwa watawala wenu...
 4. Geeque

  Kipima Joto: Kuokoa anguko la Elimu nchini, nini kifanyike?

  Bongo Radio Inakuletea kipindi cha Kipima Joto LIVE kupitia ITV: Mada ya leo inasema: KUOKOA ANGUKO LA ELIMU NCHINI. JE, NINI KIFANYIKE? Tusikilize sasa kupitia http://www.bongoradio.com/128kbps.html Kama unatumia simu za Android au iphone basi download Tunein Radio app na Unaweza kutupata. Pia...
 5. Geeque

  Watanzania Acheni Ukatili wa Kuwachoma Moto Wenzenu: Video Ikionyesha Mauaji

  Hivi Serikali iko wapi ili kuweza kuhakikisha mauaji kama haya hayatokei, lini serikali imeweza kuwachukulia hatua washiriki wa mauaji kama haya? Tunajua iliwachukua muda muda mrefu kwa viongozi wetu kukubali kulikuwa natatizo la mauaji ya albino. WARNING: GRAPHIC VIDEO VIEWERS DISCRETION IS...
 6. Geeque

  TGIF: Ujumbe Kwenu MAFISADI wa CCM

  Sikiliza hii nyimbo ni ujumbe tosha kwa Chama Cha Mafisadi (CCM) na MAFISADI wengine waliopo Bongo. Ni Ujumbe wa Leo Ijumaa. http://www.zilipendwaradio.com/files/b7e456f44ec8a013.mp3
 7. Geeque

  2nd Annual Summer Breeze BBQ In Chicago

  Wote Mnakaribishwa kwenye BBQ ya Nguvu itakayofanyika Montrose Harbor Beach Ndani ya Chicago siku ya Tarehe 8/8/2009. Hafla Hiyo Itafuatiwa na Dance Party ambapo DJ Dennis na DJ Nasser watawarusha watu usiku mzima.
 8. Geeque

  Bongo Radio Inatafuta Watangazaji na DJs

  Habari za leo wanajamii, Kwa niaba ya timu nzima ya Bongo Radio ningependa kuwatangazia wale wote wenye mapenzi ya kuwa watangazaji wa vipindi mbalimbali vya radio na u-DJ kuwa tunawaalika wajiunge nasi ndani ya Bongo Radio. Nafasi hizi ni kwa wale wote ambao wangependa kujiendeleza zaidi na...
 9. Geeque

  Summer Breeze BBQ in Chicago

  Karibuni Wote Hii Saturday 23rd of May (Memorial Weekend) ndani ya Chicago kwenye BBQ ya nguvu na Dance Party. Kama una swali lolote usisite kuwasiliana nami.
 10. Geeque

  Mkapa na Lowassa Wakamatwa

  Aliyekuwa Rais wa awamu ya tatu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Benjamin William Mkapa na Waziri Mkuu mstaafu katika serikali ya awamu ya nne Mh. Edward Ngoyayi Lowassa wamekamatwa na kufikishwa katika mahakama ya kisutu leo hii asubuhi wakihusishwa na makosa ya kutumia madaraka yao...
 11. Geeque

  Cheki History Channel (USA) Trip ya Pres. Bush Bongo

  History Channel wanazungumziam Air Force One na wanaonyeza zaidi Bush Trip ndani ya Bongo, Iko on hivi sasa.
 12. Geeque

  Sikiliza Bongo Radio Kwenye Gari

  Kama unatumia simu yenye internet hasa yenye unlimited data plan na simu yako ina bluetooth na gari yako ina bluetooth kit basi unaweza kuipata Bongo Radio fresh kabisa ndani ya speakers za gari yako kwa quality ya juu kabisa. Kama ukiwa na swali lolote kuhusiana na hii usisite kuuliza. Mimi...
 13. Geeque

  End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

  Kwa wale wanaofuatilia mambo ya utabiri wa Nostradamus na hata wa watu wa Mayan kule South America wanasema Dunia inaweza kufika kikomo mwaka 2012 karibu na tarehe 21 Dec. Kumekuwa na documentaries nyingi kutoka History channel zikielezea matukio mbalimbali yanayoashiria ujio wa tukio hilo. Je...
 14. Geeque

  Live Ndani Ya Bongo Radio

  Niko LIVE hapa ndani ya Bongo Radio kuanzia hivi sasa saa 12:28 pm CST, Karibuni Wote na Maombi ya Nyimbo yanakaribishwa. Ingia Hapa Bongo Radio--Tanzania Best Radio for Bongo Flava, Zilipendwa, Muziki Wa Dansi and African Music
 15. Geeque

  Ajali

  Nadhani hii ilitokea katika mashindano ya magari kule Zanzibar, Mungu Ailaze Roho ya Marehemu Khalid Mahala Pema Peponi. Click Hapo Chini Kwenye Link. Khalid Bakhresa Died In A Car Accident
 16. Geeque

  TGIF:Zilipendwa Tamu

  Baada ya wiki nzima kukatika na jana Kikwete kuendelea kuwaumiza vichwa watanzania ni bora Ijumaa hii ujiliwaze kwa kujikumbusha na nyimbo za Zilipendwa karibuni sana. DDC Mlimani Park Orchestra - Hasira hapa http://www.eastafricantube.com/media/10015/DDC_Mlimani_Park_Orchestra_-_Hasira/...
 17. Geeque

  TGIF:Jikumbushe na RTD Club Raha Leo Show na Julius Nyaisanga

  Ni miaka ya mwanzo ya 90 wakati huo Radio Tanzania Dar Es Salaama (RTD) ilipokuwa inatawala anga za radio ndani ya Bongo, kulikuwa kuna kipindi kinaitwa Club Raha Leo Show ambapo bendi za Muziki wa Dansi hualikwa pamoja na wafanyakazi wa makampuni mbalimbali. Sikiliza kupitia...
 18. Geeque

  Summer Breeze BBQ in Chicago

  Napenda Kuchukua Nafasi Hii Kuwakaribisha Wote Katika BBQ yetu hapa Chicago, IL ambayo itafanyika siku ya Jumamosi ya tarehe 26/7/2008 na kufuatiwa na Party usiku wake. Angalia Flyer kupitia hiyo attachment hapo chini. KARIBUNI WOTE
 19. Geeque

  Mizengwe ya Kupindishwa

  Nchi yetu ni ya Wadanganyika ambao wanakubali kila kitu kutoka kwa viongozi MAFISADI. Hakuna tumaini lolote nchini Tanzania kwa sasa litakaloletwa na CCM au wanachama wake, tusitegemee chochote kipya kutoka kwa MAFISADI na washirika wao ambao wanapindisha mizengwe na uongo wa kila aina kuwahadaa...
 20. Geeque

  TGIF Tuburudike na Zilipendwa

  Wiki nzima akili yangu na nina uhakika za wengine pia zimekuwa inatibuliwa na habari za MAFISADI wa Bongo, ngoja tuburudike basi. 1)Vijana Jazz Band na Ngapula kwa wale Mabaharia wote FMES, Mkandara na wengine ......http://www.eastafricantube.com/media/9548/Vijana_Jazz_Band_-_Ngapulila/...
Top Bottom