Search results

 1. nameless girl

  Riwaya fupi zilizokuwa zinatoka katika Gazeti la Heko

  Nikafumbua macho ili nimtazame vizuri… Ndio kwanza nikagunduaa kuwa nilikuwa kitandani peke yangu, nikiwa nimekumbatia mto ambao ulilowa kwa machozi. Nilikuwa nikiota, ndoto za alinacha. Hali ya huzuni ilijirudia tena baada ya kugundua kuwa ilikuwa ndoto tu. Nilijiuliza mimi "Kitoli" ni nini...
 2. nameless girl

  Riwaya fupi zilizokuwa zinatoka katika Gazeti la Heko

  Nilishamaliza na kufuta muda sasa
 3. nameless girl

  Riwaya fupi zilizokuwa zinatoka katika Gazeti la Heko

  Vipi ndugu zangu? Kumepoa heeee? Kwa kipindi hiki cha hili gonjwa linalotunyima uhuru basi hakuna namna. Inabidi tufanye simulizi fupifupi zailizokuwa zinafanywa kwenye gazeti la Heko. Nitacopy na kupaste ili tufurahi wote. Lakini kwa wale wanaopenda kununua vitabu vya marehemu Mtobwa, bado...
 4. nameless girl

  Majukumu ya mwanamke kwenye ndoa ni yapi?

  Wewe ni Ali Kiba mkuu? Anyway nafikiri ni kuwa msaidizi kwanza sababu unaweza ingia kwenye ndoa msikae sana mume akaumwa yupo kitandani, au mkapata shida ya kupata mtoto na mambo mengi ya duniani lakini usaidizi wa mwanamke kwa mumewe ukasimama kwa kila mahala. Kuuguza, kushauri, kusaidia...
 5. nameless girl

  Kama unampenda mtu kwa dhati usisite kumwambia mapema. Life is too short

  Mkuu mi nimekuzimikia wewe aiseee... Sent using Jamii Forums mobile app
 6. nameless girl

  Nauza maziwa fresh

  Habari za asubuhi wana jf? Nauza maziwa fresh. Lita 5 shilingi 10,000. Ikiwa zaidi ya lita 10 tunaweza kupunguza bei. Maziwa ni mazuri, hatuchanganyi maji hata kidogo na ng'ombe wanatibiwa na kulishwa vizuri. Kwa wakazi wa Bunju maana nami nipo Bunju A hivyo nakuletea hadi mlangoni kwako, kwa...
 7. nameless girl

  Ujio wa kitabu cha mhariri msalabani cha Ben Mtobwa

  20% off mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
 8. nameless girl

  Ujio wa kitabu cha mhariri msalabani cha Ben Mtobwa

  Ni kweli iliwahi kutoka, tumecopy na kupaste kutoa toleo hili jipya lakini tumeongeza historia yake na maisha yake binafsi katika sehemu ya pili Sent using Jamii Forums mobile app
 9. nameless girl

  Ujio wa kitabu cha mhariri msalabani cha Ben Mtobwa

  Kwanza tupeane pole na hili janga lililovamia dunia yetu. Lakini hatuna budi kupambana nalo litoweke hapa duniani kwa kufuata yale ambayo wataalamu wametuambia. Mbali na hapo, ninapenda kuwatangazia vitabu vya nguli marehemu Ben Mtobwa. Sasa kitabu cha Mhariri Msalabani kinapatikana kwa bei ya...
 10. nameless girl

  Nahitaji vifaranga vya bata, Nipo Dar es Salaam

  NIMEPATA KWA HUYOHUYO AMBAYE UMENIPA MAWASILANO YAKE
 11. nameless girl

  Nahitaji vifaranga vya bata, Nipo Dar es Salaam

  AHSANTE NDUGU, NIMEMPATA MTU MWENYE VIFARANGA, SHUKRANI.
 12. nameless girl

  Nahitaji vifaranga vya bata, Nipo Dar es Salaam

  Habari zenu? Kwa yeyote anayeuza vifaranga vya bata aina tofauti tofauti pamoja na kuku tafadhali tuwasiliane. Pia naomba muuzaji ambaye hana limit na idadi niitakayo kwa maana sihitaji wengi. Nipo Dar es Salaam. Sent using Jamii Forums mobile app
 13. nameless girl

  Jinsi mikao ya mtu inavyosaidia kujua tabia yake

  Nafikiri hao kundi B ni watu wanaojiamini na wenye confidence za kutosha. Sent using Jamii Forums mobile app
 14. nameless girl

  I am dilemma in this issue, I need your advice

  We jamaa unaongeza tu ugumu wa maisha. Corona na hii lugha rafiki yangu, unazidi kusambaza ugonjwa kwa njia ya mtandao. Sent using Jamii Forums mobile app
 15. nameless girl

  Phone4Sale Simu inauzwa

  450,000
 16. nameless girl

  Imeshawahi kukutokea hii kutoka kwa mwanaume mwenye mahusiano na Ex-girl wako?

  Unaonekana umefurahi sana baada ya kuambiwa au kusikia hayo toka kwa ex lover wako mpaka umelazimika kutuambia kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
 17. nameless girl

  Phone4Sale Simu inauzwa

  Huo ni mkono wangu wa kulia ule wa kwanza ni wa kushoto mkuu [emoji2957] Sent using Jamii Forums mobile app
 18. nameless girl

  Phone4Sale Simu inauzwa

  Muuzaji utamuweza bei yake? Maana humu mnalia sana njaa [emoji28][emoji28][emoji28] Sent using Jamii Forums mobile app
 19. nameless girl

  Phone4Sale Simu inauzwa

  Nyingine hiyo hapo, nimewamis wateja nimerudi tena Sent using Jamii Forums mobile app
 20. nameless girl

  Phone4Sale Simu inauzwa

  Jamani simu imeuzwa tayari, lakini wateja mlivo wengi nafikiria kuuza hata hii ninayotumia [emoji28][emoji28][emoji28] Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom