Search results

 1. Geeque

  Pascal Mayalla: Waandishi wa habari ni waoga nimewaalika tujadili hotuba ya Rais Magufuli wamepiga chenga na kuingia mitini

  Kwani ni lazima kualika waandishi wa habari wanaoishi Tanzania pekee? Ungeweza hata kualika waandishi wa kigeni wenye uelewa wa mambo ya Tanzania au hata waandishi wa Kitanzania wanaoishi nje ya Tanzania. Pia ungeweza hata kutoa nafasi kwa watanzania wa diaspora ambao wangeweza kuchangia mada...
 2. Geeque

  Serikali ya Magufuli ilikopa zaidi ya tril 6, na kuifanya siri waomba radhi WB ili waitambue na wakopeshwe tena kuinua uchumi

  Tanzania ingekuwa nchi inayofuata haki, sheria na utawala bora, skendo kama hii ilitakiwa hivi sasa wahusika wote wawe wameshajiuzulu kwenye nafasi zao.
 3. Geeque

  Wakili Ishabakaki: Idris Sultan anahojiwa kwa kuicheka picha ya Rais

  Yaani tunapoteza rasilimali kufuatilia vitu vidogo na vya kipumbavu kabisa wakati kuna mambo muhimu sana ya kufuatilia. Yaani hii inaonyesha ni jinsi gani vyombo vya usalama na hata serikali ilivyo na vipaumbele kwenye mambo ya kijinga na yasio na tija kwenye kulipeleka taifa mbele kiuchumi au...
 4. Geeque

  Korona: Watanzania Tujilinde, Serikali inajali Uchumi kuliko Uhai wenu - Zitto

  Inatia faraja sana kuona ndani ya Tanzania bado tuna baadhi ya viongozi wachache ambao wanaweza kuja na makala ya uchambuzi iliyosheheni hoja zenye fikra pevu huku zikisindikizwa na mifano ya ukweli iliyowasilishwa kwa upeo wa hali ya juu. Zitto unaitendea haki elimu yako, sio kama wale...
 5. Geeque

  What Magufuli Sees Sitting Down WHO and Others Have to Climb Trees Days Later to See

  Nilivyoona mmoja wa watu waliokuwa quoted kwenye hii article ni Alex Jones of InfoWars.com nikajua karibia yote yaliyoandikwa ni upumbavu mithili ya fikra tapishi inukayo ujinga. Hivi mnamjua huyu jamaa? Kwanza ni mtu mshenzi na racist vibaya sana, ni conspiracy theorist ambaye mpaka leo bado...
 6. Geeque

  Rais Magufuli: Madaktari kukutana na Wagonjwa wa Corona ndiyo wajibu wao

  Kama takwimu za ukweli tu za maambukizi na vifo vya wagonjwa wa Corona hamtaki kuzitoa, tutegemee mtautangazia uma madaktari na wauguzi walioambukizwa na Corona? Si umejionea madaktari wanavyoogopa hata kutibia wagonjwa wengine kutokana na ukosefu wa PPE mpaka Waziri akaingilia kati. Mamilioni...
 7. Geeque

  Rais Magufuli: Madaktari kukutana na Wagonjwa wa Corona ndiyo wajibu wao

  Mmeshindwa kuwapatia vifaa vya kujikinga dhidi ya maambukizi halafu mnataka kulazimisha madaktari wakahatarishe maisha yao kutibia wagonjwa wa Corona huku wakijua ni ugonjwa wa kuambukiza kwa njia ya hewa au hata kugusana. Hata wanajeshi vitani hupewa nyenzo ili wapigane na usitegemee...
 8. Geeque

  Hivi ni nani anawadanganya watanzania kuwa lockdown haifanyi kazi? Hata kama tumeigomea, tuache kupotoshana!

  STOCKHOLM (Reuters) - More Swedes died in April than in any one month since 1993, figures from the Statistics Office showed on Monday, as the outbreak of the novel coronavirus pushed the death toll higher. Sweden, which has stopped short of the strict lockdown measures enforced by many...
 9. Geeque

  CHADEMA kikao cha Kamati Kuu sawa ila Bungeni hapana tunaogopa Corona

  Ziko software za video conferencing nyingi sana na nyingine ambazo ni bure kutumia. Kuna ambazo ni popular kama Zoom Meetings, GoToMeeting, Microsoft Teams, Cisco Webex Meetings. Unaweza kucheki hii link The Best Video Conferencing Software for 2020.
 10. Geeque

  Kigwangalla: Hali ya utalii ni mbaya, tutapoteza 75% ya mapato ya utalii sababu ya Corona

  Soko la sekta ya Utalii kwa mwaka huu ndio limeshaanguka vibaya sana na hata mwakani linaweza kuathirika kwa kiasi fulani. Hata haya makisio ya Waziri nina wasiwasi hayatofikiwa kwani yako juu ukilinganisha na hali halisi. Watalii wengi sana wameshafanya cancellation ya safari zao. Miezi ya high...
 11. Geeque

  CNN, Sky news, Aljezeera, BBC, New York Times, Daily Mail, CBS, DW, Finacial Times vyaunga mkono hotuba ya Magufuli kuhusu Test kits

  Upumbavu, ujinga na ugoigoi ni sifa kuu ya wengi ndani ya CCM, ni wachache sana kati yao ndio wenye uelewa na upeo wenye fikra pevu.
 12. Geeque

  Hatimaye takwimu za waliopimwa COVID 19 Tanzania zatoka hadharani, wamepimwa watu 652 tu kwa muda wote!

  Hivi unaelewa methodology inayotumiwa kupima Covid-19? Unadhani kupimwa joto la mwili ndio kupima uwepo wa SARS-CoV-2 mwilini? Nyinyi hapo kazini kwenu mna rapid test kits za kupima SARS-CoV-2 zinazoweza kupima watu 1000? Wakati mwingine kabla ya kukurupuka kujibu hoja jipe muda ujitafakari je...
 13. Geeque

  Hatimaye takwimu za waliopimwa COVID 19 Tanzania zatoka hadharani, wamepimwa watu 652 tu kwa muda wote!

  Hivi unajua kuna asilimia kubwa ya watu walioambukizwa Covid-19 ni asymptomatic? Hii inamaanisha kama hujapima watu wengi au kutoa fursa kwa watu wengi kupimwa basi hutojua wangapi wana ugonjwa huo ambao hawana dalili zozote za kuumwa, na hawa watu ndio huambukiza wengi. Akili za wasomi wengi wa...
 14. Geeque

  Nyota ya Dr Nyambura Moremi itang'aa Kimataifa

  Ni kweli kabisa wanatafuta mtu wa kumtoa kafara, wanafanya kila njia kuleta propaganda na shutuma za kijinga kwenye taaluma za watu. Mara test kits zina fault, mara matokeo yote ya tests ni positive, mara kuna hujuma zinafanywa maabara, mara mabeberu wanaihujumu Tanzania. Yaani wanatumia kila...
 15. Geeque

  Nyota ya Dr Nyambura Moremi itang'aa Kimataifa

  Bora umeweka wasifu wake hapa kwa sababu kulikuwa na baadhi ya wapumbavu wa CCM hapa walishaanza kuzusha kuhusu uraia na asili yake.
 16. Geeque

  Kuhusu Sample, Mheshimiwa alitumia Formula ya GIGO

  Hivi ana uhakika gani baadhi ya sample zake kutoka serikalini hazikuwa contaminated? Je walituma sample feki kiasi gani na kutoka vyanzo vingapi tofauti ili kupata randomness ya samples?
 17. Geeque

  Elections 2020 Kura yangu 2020

  Kura yako ni haki yako huku pia ikiwa ni silaha yako dhidi ya wanasiasa waongo, matapeli na mafisadi ambao hutoa ahadi nyingi za uongo, lakini usitegemee uchaguzi huru na wa haki kutoka kwa majambazi wa CCM.
 18. Geeque

  Kusepa kwa Jonijo Wasafi; Je, Lil Ommy anachangia?

  Kwani mishahara yao ina range kiasi gani kwa mwezi? Au tuseme kwa wastani mishara ya watangazaji wengi wa radio kwa Tanzania mi kiasi gani?
Top Bottom