Search results

 1. Kirikou Wa Kwanza

  Madereva 21 kutoka Kenya na 1 kutoka Uganda wakutwa na COVID19 baada ya kupimwa na Tanzania mpakani Namanga, Arusha

  Una hoja, lakini haina mashiko. Kile wanachokitumia Wakenya kuwapima Watanzania, ndicho kinachotumika kuwapima wao kwa sasa.
 2. Kirikou Wa Kwanza

  Nimetukanwa na mama mkwe, kisa nimempiga mtoto wake

  Mama mkwe ni kabila gani, Mzaramo?
 3. Kirikou Wa Kwanza

  Lijualikali: CHADEMA iliiba kura za Urais baadhi ya Majimbo 2015

  Lijuakali ni jasiri sana! Sugu ama Lema hawawezi kusema ukweli kama huu hata siku moja.
 4. Kirikou Wa Kwanza

  Madereva 21 kutoka Kenya na 1 kutoka Uganda wakutwa na COVID19 baada ya kupimwa na Tanzania mpakani Namanga, Arusha

  Wakifanya wao, sawa. Tukifanya sisi, siasa. Hapa ndiyo utajua akili ya mtu mzima na mwendawazimu haziwezi kuwa sawa!
 5. Kirikou Wa Kwanza

  Mheshimiwa Rais, kabla ya watoto kurudi shule, wewe toka kwanza nyumbani kwako Chato rudi ofisini Ikulu

  Rais akiwa Chato, inamaana wewe unaumia sana kiasi hata kwenda chooni kutoa haja zako inakuwa shida.
 6. Kirikou Wa Kwanza

  Mchungaji Msigwa akiri kumsingizia Kinana ujangili, amwangukia na kumwomba radhi

  Andunje, bado anatakiwa atuambie hizo taarifa fake alipewa na nani?
 7. Kirikou Wa Kwanza

  Uchaga na ukabila hautusaidii, tujifunze sisi watu wa Kanda ya ziwa

  Hakuna kabila la wa watu wa hovyo kama wachaga.
 8. Kirikou Wa Kwanza

  Wazee wenzangu wa kuweka mzigo (Kubet) - karibuni tubashiri mechi za leo!

  Man United vs Spurs, Man United win. Weka mtaji wako wote tukutane baadae...
 9. Kirikou Wa Kwanza

  Wazee wenzangu wa kuweka mzigo (Kubet) - karibuni tubashiri mechi za leo!

  Bila kujali uwezo wao kwa sasa, hata bookies hawakuweza kuwaamini Leicester direct kwa game ya leo mpaka halftime shot on target ni 2 kwa 1, kwa kasi kubwa game ilikuwa inaenda kuwa draw, ila mambo yakabadilika na ndio mpira ulivyo. Tumsubiri Barca...
 10. Kirikou Wa Kwanza

  Wazee wenzangu wa kuweka mzigo (Kubet) - karibuni tubashiri mechi za leo!

  Biashara haikuwa rahisi, vipi kama draw ingepatikana ungeweza kuniquote? Odds ziliongea Arsenal wabovu, lakini Leicester hakuaminiwa moja kwa moja. DC kwangu ilikuwa ni best bet kwa game hii, harufu ya draw ilikuwa inanukia mwisho dk 90 zimeamua, hongera kwa ushindi.
 11. Kirikou Wa Kwanza

  Wazee wenzangu wa kuweka mzigo (Kubet) - karibuni tubashiri mechi za leo!

  Unawapeleka wenzio chaka, Leicester hashindi hiyo game. Best Bet - Arsenal win or draw x2 tukutane hapa hapa.
 12. Kirikou Wa Kwanza

  Kwanini Watanzania wengi wanaonekana hawana hamasa ya kupiga kura uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019?

  Acha kupiga mayowe kama Mbweha, umesusia Uchaguzi wewe na nani? Wenzako wamepanga foleni hapa wanaitafuta demokrasia ya kweli.
 13. Kirikou Wa Kwanza

  Wazee wenzangu wa kuweka mzigo (Kubet) - karibuni tubashiri mechi za leo!

  Luuk De Jong thank you, mavi yalikuwa yanagonga chupi.
 14. Kirikou Wa Kwanza

  Tundu Lissu: Sitarudi tena Tanzania hadi nihakikishiwe Usalama wangu

  Akipona Mabeberu wampe kazi ya kubeba box sasa.
Top Bottom