Search results

 1. Mr Penal Code

  MSAADA : APPLICATION NZURI YA KUANGALIA MPIRA ONLINE KWA ANDROID PHONES

  Wadau habari za Usiku poleni na majukumu naomba wote turejee kichwa cha habari kama kinavyosema naomba mtu mwenye Application Nzuri ya kuangalizia mpira hasa hasa ligi ya Uingereza na Ligi kuu ya Mabingwa Ulaya (UEFA ) kwa simu zinazotumia system ya Android naomba anisaidie maana mimi nimekuwa...
 2. Mr Penal Code

  Makutano kwa wale waliochaguliwa Open University of Tanzania 2018/2019 intakes zote tukutane hapa

  Habarini wadau poleni na majukumu ya kitaifa na kifamilia. Kama kichwa cha habari hapo kinavyojieleza,lengo la uzi huu ni kutengeneza mazingira rafiki kwa wale wote waliochaguliwa kujiunga na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Open University) kwa mwaka 2018/2019 kwa course yoyote ile na kwa intake...
 3. Mr Penal Code

  Napata huo ujumbe kila ninapowasha pc yangu

  Habarini wadau naombeni msaada wenu wa kitaalamu kama kichwa cha habari kinavyosema napata huo ujumbe kila ninapowasha pc yangu kwamba leseni yangu ya kutumia windows inaisha mda siyo mrefu lakini nikienda kwenye setting nakuta Windows is activated na nilifanikiwa ku activate. naombeni msada...
 4. Mr Penal Code

  Msaada picha zinaharibika (zinaliwa) kwenye simu ya Android

  Habarini wakuu samahanini kuna tatizo linatokea kwenye simu yangu kuhusiana na picha ninazo save kwenye Gallery zinaharibika kama kuliwa na virus ivi yaani unaweza kukuta picha inaonekana nusu .nusu ingine imeliwa au haionekani kabisa inakuwa na kivuli cha rangi nyeupe au rangi nyekundu juu ya...
 5. Mr Penal Code

  MSAADA: SMS za whatsapp zinachelewa kuingia mpaka nifungue App ya Whatsapp

  Wakuu habarini poleni na majukumu..! Nimekutana na Changamoto. Ktk simu ya yangu ya Android ya kutopata notification za whatsapp na baadhi ya Application kama Live score.. Pale ambapo sipo katika Application yaani nikiwa cjafungua Application yaani ikiwa ina run Background nimejaribu ku seat...
 6. Mr Penal Code

  Msaaada Application Nzuri ya Ku hide SMS Calls Photos kwa Android .

  Habarini wadau kama hapo kichwa kinavyojieleza naomba msaada wa kupata Application nzuri ya kuficha SMS calls au photo kwa Android ukitaja jina lake kama ipo play store au link yake ya ku download kama haipo play store nitashukuru sana.
 7. Mr Penal Code

  Msaada bei ya kioo cha HTC Desire 816 Kwa Dar es salaam

  Habarini wana jukwaa poleni na majukumu tafadhali naomba kujua bei ya kioo cha simu aina ya HTC desire 816 Kwa dar mimi nipo morogoro nimetafuta bila mafanikio asanteni sana.
 8. Mr Penal Code

  Msaada Kioo cha Nokia Lumia 820

  Habarini wadau poleni na majukumu Naombeni msaada kama kuna fundi yoyote ambaye ana kioo na simu aina ya nokia Lumia 820 pamoja na housing yake ya nyuma ambayo inafunika betri ajitokeze hapa kwa mawasiliano ili aweze kunisaidia kubadilisha simu yangu imeharibika kwa kupasuka kioo au yoyote...
 9. Mr Penal Code

  Je, msichana anaweza kupoteza usichana wake (bikra) bila kutokwa na damu?

  Habarini wadau, Poleni na majukumu nipo hapa kuuliza je msichana anaweza kupoteza usichana wake bikra bila ya kutokwa na Damu kwa mara ya kwanza baaada ya kufanya mapenzi. Lets assume kwamba hakuna vitendo vyoyote alivyo wahi fanya ambavyo vinaweza kusababisha kupoteza hyo bikra yake kwa...
 10. Mr Penal Code

  Msaada: Kujichua kunanitesa

  Habarini wadau, Mimi ni kijana mwenye miaka 22 tatizo langu nasumbuliwa sana na kutekwa na janga hili la kuangalia picha za ngono na kupiga sana punyeto naweza kwenda hata mara 6 kwa siku na huu mchezo niliuanza toka mwaka 2007 paka sasa.Japo nimejaribu njia nyingi sana ili kulishinda hili...
 11. Mr Penal Code

  Laptop Lenovo G 510 inauzwa i5 Hard disk space GB 1000 Ram 4GB

  Habarini wadau nauza laptop yangu ni lenovo G 510 specifications zake ni i5 RAM 4GB HARD DISK SPACE 1000GB imetumika miezi 6 tu so still bado ina warranty yake na kila kitu chake kipo na ipo kwenye hali nzuri Sababu ya kuiuza nimepata shida ya ghafla so nahitaji pesa kwa haraka Bei ni laki sita...
 12. Mr Penal Code

  Msaada mstari wa blue kwenye kioo cha laptop.

  Habarini wadau naomba msaada wenu kuna mstari wa Blue unatokea kwenye kioo cha laptop yangu japo haijafikisha hata mwaka toka inunuliwe lkn unatokea mara chache chache sana kama baada ya miezi 3 ndo unatokea tena paka now umetokea mara mbili tuu tatizo linaweza likawa nini...??? Asante.
 13. Mr Penal Code

  Nawezaje ku download latest nigerian movies

  Habarini.wadau naomba msaada nawezaje ku download Nigerian movies ambazo ni latest nimejaribu kutumia you tube ku download lkn zinakuwa hazipo in format nzuri kwa mfano kipande cha party one kinakuwa kwenye party two au unakuta.movie moja ina majina. Mawili ili uwezi kuangali yote lazima u...
 14. Mr Penal Code

  Hp pc notebook 2000 inauzwa imetumika mwezi 1 tu

  HABARINI WADAU NAUZA LAPTOP AINA YA HP NOTEBOOK 2000 IMETUMIKA MWEZI 1 SABABU YA KUIUZA NIMEPATA SHIDA YA GHAFLA SIFA ZAKE RAM 4GB HARD DISK 500 PROCESSORS 2.40 INTEL CORE i3 BADO INA WARRANT YA MIEZI 9 BEI TSH 550000 PAKA 500000 MWISHO KILA KITU CHAKE KIPO KWA SASA NIPO MBEYA MJINI MAENEO...
 15. Mr Penal Code

  Msaada Jinsi ya ku Activate windows 8 kwa mara ya pili

  Habarini wadau naomba msaada kwa hili swala nilifanikiwa kuweka windows 8 pro kwenye pc yangu kama mwezi umepita na nilifanikiwa kui active permanent LAKINI juzi nilipokea updates za Windows zika ji install automatic baada ya kumaliza kuna ujumbe ukaniambia kwamba my pc itajerestant baada ya...
 16. Mr Penal Code

  Nifanyaje tatizo la sms 1 kujirudia zaidi mara 6 ?

  Habarini wadau msaada wenu jamani natumia mtandao wa Tigo tatizo linakuja pale ninapopokea Sms moja inajirudia hata mara 6 kwa mfano nimetumiwa Mamboo sms hiyo moja inajirudia mara 6 lkn inaingia mda tofauti nimejaribu ku disabled Broadcast sms lkn still tatizo bado Msaada!!!!:rolleyes::what::what:
 17. Mr Penal Code

  Msaada wa kupata FIFA PC game or Pes 2012, 2013 au 2014

  Habarini wadau nilikuwa naomba mwenye hayo ma game hapo juu Anisaidie nipo Dodoma Mjini Asanteni sana
 18. Mr Penal Code

  Je naweza kuformat huaweii y 530 ambazo zinauzwa na tigo na kutumia line za mitandao mengine

  Habarini wadau poleni na majukumu naomba kuuliza je naweza kuzi format hizi simu zinazouzwa na Tigo HUAWEII Y 530 na kama inawezekana ni wapi naweza pata Huduma hii na Malipo yake yakoje asanteni sana:D:D:D
 19. Mr Penal Code

  Unfortunately google play store has stopped working Msaaada!!!

  Habarini wakuuu naomba msaaada maaana kila ninapowasha simu yangu ya Android zikipita dk 5 napata ujumbe huu "unfortunately google play store has stopped working" nimejaribu njia tofauti za kusolve tatizo kama ku clear cache na data za kwenye application ya google play store na ku reboot simu...
 20. Mr Penal Code

  Msaada wa smart phone ya kununua

  Habarini wadau naomba mnishauri simu ipi ambayo ni smart phone nzuri kwa matumizi Bajeti yangu ni Laki 2 asanteni sana
Top Bottom