Search results

 1. Kirikou Wa Kwanza

  Line za Airtel Money, Halopesa, M - Pesa na Tigo Pesa zinapatikana

  Kwa wakazi wa Dar es Salaam, mwenye uhitaji wa line hizo usisite kunipigia simu au kunitumia ujumbe mfupi kwa simu namba 0620686232; muda wowote utajibiwa . . . Karibuni sana!
 2. Kirikou Wa Kwanza

  The Odyssey

  The Odyssey ni episode film iliyotoka mwaka 1997; inayogusa maisha ya kifalme na safari ya mashujaa walioondoka nyumbani kwenda vitani. Wakiwa vitani walipambana kwa juhudi na akili na walifanikiwa kupata ushindi. Kundi la mashujaa hawa waliokuwa njiani kurudi nyumbani wakiwa ndani ya jahazi...
 3. Kirikou Wa Kwanza

  Tecno Spark K7 na Tecno Spark Plus K9

  Guys, kama kichwa cha habari kinavyosema; Tecno Spark ni toleo jipya la simu kutoka kampuni ya Tecno. Hawa jamaa wamekuja tena. Nimepitia baadhi ya maoni kwenye mitandao yanasema, body ya Tecno Spark ni copy ya iPhone 7; na ukiiangalia hii simu ya Tecno Spark kweli inavutia sana kwa muonekano wa...
 4. Kirikou Wa Kwanza

  Huduma ya kwanza kwa mtu aliyeumwa na Tandu

  Assalam Alaykum wana Jamiiforums. Nilikuwa nasikia huyu mdudu Tandu ana sumu kali akikuuma lazima kamasi likutoke kwa uchungu wa maumivu. Leo yamenikuta huyu mdudu ameniuma, lakini nimefanikiwa kumuua. Sasa ninapata maumivu makali mno, nahitaji huduma ya kwanza kwa mtu aliyeumwa na Tandu...
 5. Kirikou Wa Kwanza

  Msaada: Anatafuta kazi

  Ni jinsia ya kike, umri miaka 22. Elimu darasa la saba. Anatafuta kazi za ndani, au kazi ya dukani. Ni muaminifu na mchapakazi yupo Dar es Salaam, kwa mawasiliano piga au tuma ujumbe mfupi kwa +255620686232 utajibiwa. Asanteni!
 6. Kirikou Wa Kwanza

  Hadithi hadithi!

  Hadithi hadithi (hadithi njoo utamu koleaa!) Hapo zamani za kale alitokea Simba na Fisi. Hadithi yangu imeishia hapo!
 7. Kirikou Wa Kwanza

  Kanga wanauzwa bei poa!

  Kwa wakazi wa Dar es Salaam, kanga wanauzwa bei poa! Mwenye kuhitaji ani PM.
 8. Kirikou Wa Kwanza

  Kina kaka na kina dada wa JF . . .

  Njooni tucheze 'kombolela'.
 9. Kirikou Wa Kwanza

  Dream League Soccer 16

  Kama umeli-download hili game, ukalicheza na unaendelea kulicheza utakubaliana na mimi hili siyo game, ila ni game zuri na tamu balaa!!
 10. Kirikou Wa Kwanza

  Tecno Y3+ inauzwa kama spare.

  Imetumika kwa miezi 4; haijawahi kufunguliwa, haisomi line kwa sababu 'iliflashiwa', naiuza kama spare kwa Tsh 25,000/= tu zaki Tanzania, nipo Dar es Salaam.
 11. Kirikou Wa Kwanza

  Nyimbo za siku hizi bana hazieleweki.

  Nipo nyumbani nimefungulia radio kwa sauti kubwa kuna nyimbo nasikiliza hapa wanaimba, umelala huoo umelala huoo, umelala huoo mtarimbo umelala doroo x2 Sasa mimi sielewi huo mtarimbo uliolala niwa nani?
 12. Kirikou Wa Kwanza

  Popobawa.

  Watu wengine bwana eti mimi bingwa wa kukesha kwenye mitandao, mimi ni popo halafu ukiitwa popobawa unaanza kulialia.
 13. Kirikou Wa Kwanza

  Dakika 20 tu!

  Jamaa mmoja bausa alikuwa kapumzika mahali fulani anakula upepo. Mara akatokea dogo mmoja akamuuliza, "Bro, saa ngapi?" Bausa akajibu, "Ondoka hapa usinisumbue!" Dogo akamwambia, "Siondoki mpaka uniambie sasa hivi ni saa ngapi?" Bausa kwa hasira akajibu, "Ni saa 8 na nusu." Dogo akamwambia, "Poa...
 14. Kirikou Wa Kwanza

  Ringtone ya simu.

  Jamaa yupo kwenye msiba wa dada yake, wakati jeneza linatolewa ndani watu wote msibani walikuwa wakilia. Mara simu ya Jamaa ikaita kwa ringtone ya dada huyoo anaolewaa, dada huyoo anaolewaa, mahali kishatolewa, mahali kishatolewaa x5. Jamaa kuzima simu anashindwa maana kabeba jeneza na simu...
 15. Kirikou Wa Kwanza

  Acha ujinga!

  Unanunua simu ya laki tano ili utumie kuchat na wanawake wa JF ... Wanawake wenyewe ukiwatongoza hawakutaki. Sasa hiyo laki tano bora ungefungua genge tu.
 16. Kirikou Wa Kwanza

  Demu kutoka shamba.

  Wakiwa bar wanasubiri mhudumu, Jamaa akamuuliza demu wake, "Baby unatumia Facebook?" Demu kujifanya na yeye ni wa mjini kwa maringo na pozi kibaoo akajibu, "Ndio natumia ila isiwe ya baridi sana." Tehe tehe tehe hii imetokea leo leo!
 17. Kirikou Wa Kwanza

  Tafadhali usicheke!

  Unamtaka mwanaume mzuri mwenye body, mwenye gari na pesa, ni sawa, lakini wewe umejiona ulivyo dada?
 18. Kirikou Wa Kwanza

  Sijaona baiskeli siku nyingi.

  Mzee mmoja mwenye heshima zake alipita mtaa fulani uswahilini akakuta vijana wamejipanga barabarani kwa furaha. Mzee akauliza, "Vijana kuna nini hapa?" Kijana mmoja akamjibu, "Tumeambiwa kuna mwanamke mmoja mzuri atapita hapa akiendesha baiskeli akiwa mtupu kama alivyozaliwa. Mara Mzee akadakia...
 19. Kirikou Wa Kwanza

  Balehe ni shida!

  Kijana mmoja aliyefikia umri wa kubalehe alikuwa analala chumba kimoja na house girl. Chumbani kulikuwa na kitanda cha double decker, kijana analala chini house girl analala juu basi kijana kwa usongo aliokuwanao usiku akapanga kumnyatia house girl ili atimize lengo lake. Usiku wa manane kijana...
 20. Kirikou Wa Kwanza

  'Akina dada acheni dharau.

  Wakati natoka mazoezini nimekutana na dada mmoja nikamsalimia, "Dada habari?" Akanijibu, "Unikome mi mke wa mtu." Nikamwambia, "Sawaa." Nikaondoka zangu hata sijafika mbali nikastuka yule dada kanishika bega eti, "Kaka samahani hujani okotea pochi langu?" Ase kidogo nimchape makofi, lakini...
Top Bottom