Search results

 1. Rejao

  Faida za kuwa mtoto wa Kigogo!

  Hello wana Chit chat, Nipo mapumzikoni na nimeona nipumzike kidogo na nipo kistarehe zaidi. Nafikiri hapa ndipo kwenye jukwaa halisi la kupata burudani ya kila aina. Nilikuwa nafikiria kwa sauti faida mtu anazipata akiwa mtoto wa kigogo. Aisee nimeshangaa najifurahia mwenyewe! Mzazi wako...
 2. Rejao

  Majirani...

  Nimekuwa nikijaribu kufikiria maisha ya nyuma niliyoyaishi na ya sasa na naona kama kwa sasa nipo kwenye ulimwengu tofauti kabisa. Nimezaliwa na kukulia katika mazingira ya kawaida, ambapo nilikuwa na interactions sana na majirani. Nilikuwa nikicheza, kula na hata siku nyingine kulala kwa...
 3. Rejao

  Happy Birthday Cantalisia!!

  Cantalisia, you look more beautiful today than the day I first met you. My love for you grows and grows with each passing year. Growing old with you is one of my favorite things to do. Every year with you is sweeter than the last. I am so lucky to have a wife like you. Happy Birthday Honey...
 4. Rejao

  Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni

  Kwa taarifa tulizonazo na wanachi wengi wanavyofahamu, tayari hili gari V8 limekwisharudishwa na Mh. Freeman Mbowe. Lakini cha kushangaza bado huyu mkuu analitumia. Nashindwa kuwaelewa hawa CDM, kelele zote wanazopiga ni kutuhadaa tu wananchi? Kama kwa hili dogo huyu Mh. kashindwa kulitekeleza...
 5. Rejao

  Nitoke vipi baada ya ban!

  Devi kamwona mwenzie waliesoma nae siku nyingi akiwa amejiinamia kwa masikitiko kwenye baa. Akamsogelea, Devi: Aise Abuu, habari za siku nyingi? Abuu: Safi japo si safi sana, nina mawazo sana, maisha yamekuwa magumu sana ndugu yangu. Devi: Nini tatizo unaonekana uko hovyo sana Abuu: Niko...
 6. Rejao

  Sherehe za miaka 48 ya Muungano 2012

  Karibuni ndugu zangu tusheherekee miaka 48 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam
 7. Rejao

  Kibonzo cha siasa!!

  Mtu akiwa ndani ya CCM anaonekana Fisadi.... Mtu huyo huyo anayeonekana Fisadi akiwa ndani ya CCM akihamia CDM anaonekana msafi... :bange::A S-coffee::A S-confused1:
 8. Rejao

  Mvua Dar es Salaam

  Kuna mvua kubwa inaendelea kunyesha hapa jijini... Wataalamu tujuzeni kunani cuz hizi radi zinaweza kutuangusha tulio magorofani...
 9. Rejao

  Next Generation...

  Have your say...
 10. Rejao

  Ngwabi wa kandiaku menyuki!

  Ndwete maka zawenau! Mimi atojina nyekwe ronying'anyaki! deeps ni muhimu kwa lihi! Niburika udawa!
 11. Rejao

  Indian Brains

  Japanese : Impossible! American : The question ' s all wrong! British : It ' s not found on the Internet And the Indian: F(IV)E This is the reason Indians are everywhere in the world: in finance, business, medicine, engineering.... anything to do with using both sides of the brain.
 12. Rejao

  Nimeipenda hii...Samahani ikikukwaza!!!

  A christian guy asked a muslim guy: 'Why do your females cover up their body and hair?'The muslim guy smiled and took out 2 sweets, he opened one and kept the other one wrapped. He threw them both on the dusty floor and asked the christian: 'Now if I ask you to take one of these sweets which one...
 13. Rejao

  Nimeipenda hii joke...Samahani ikikukwaza!!!

  A christian guy asked a muslim guy: 'Why do your females cover up their body and hair?'The muslim guy smiled and took out 2 sweets, he opened one and kept the other one wrapped. He threw them both on the dusty floor and asked the christian: 'Now if I ask you to take one of these sweets which one...
 14. Rejao

  Tunaoenda Moshi leo Tar 24

  Tuko blocked karibu na Mlandizi. Kuna foleni ya kufa mtu. Hatujui kama ni Ajali au nini. Kuna foleni ya gari ndogo zaidi ya kilometa 2
 15. Rejao

  Mzee David Mosha wa INTERCONSULT afariki kwa ajali

  kuna Taarifa kuwa David Mosha aliyekuwa mkurugenzi wa Inter consult amefariki dunia kwa ajali leo mchana
 16. Rejao

  Mtihani Darasa la Saba

  Nawatakia Mtihani mwema.. Nakumbuka miaka hiyo furaha niliyokuwa naiwazia baada ya kumaliza shule ya msingi. Wishing You All The Best!
 17. Rejao

  Maana ya neno "MASABURI"

  Kuna msamiati ambao umepanda chati sana hapa JamiiForum. Inanitatiza kujua maana yake... most of the comments watu wanatumia hili neno! Hivi lina maana gani? Naombeni kujua ili tuwe tunaenda wote sambamba.
 18. Rejao

  GBP Sinza hapafai

  Napita maeneo ya sinza na kuna kituo kimoja tu cha mafuta ndicho kinaonekana kuuza mafuta! Foleni ni kubwa sana, gari hazitembei! Trafiki mko wapi? Hali hapa GBP ni mbaya
 19. Rejao

  Jamani Pandeni Dala dala...kuna raha yake

  Jana mida ya jioni nilipanda dala dala kutoka maeneo ya Mwenge nikielekea Mbagala. Kama tunavyojua, kuna umbali mrefu kati ya maeneo haya! Nimezoea kuona Shutuma nyingi sana dhidi ya serikali hapa jamvini lakini hizi zilikuwa kiboko! Hapa jamvini watu tumekuwa tukiilaumu serikali na maisha...
 20. Rejao

  Mh. Zitto vs Mh. Mbilinyi mmmh!

  Nimekuwa nikisiliza Radio Clouds fm. Kwa takribani wiki mbili sasa kumekuwa na Tangazo ambapo inasikika sauti ya Mh. Zitto Kabwe akihamasisha wananchi washiriki kwa wingi katika Fiesta. Wiki chache zilizopita, tulisikia kutoka kwa Mh. Mbilinyi akipinga vikali uwepo wa Fiesta na hata kufikia...
Top Bottom