Search results

 1. Madam Lucky

  Kwanini waimbaji wa nyimbo za dini hawafanyi matamasha makubwa?

  Ndio ila sasa hakuna matamasha
 2. Madam Lucky

  Natafuta wadhamini wa nyimbo za injili

  Ni kwel, ubarikiwe sana
 3. Madam Lucky

  USIHISI YATIMA MUNGU NI BABA WA YATIMA, BURUDIKA NA WIMBO HUU UNAOITWA YATIMA

  Hallow, Kuna watu ambao hawana wazazi/mzazi sasa wao wameishachoka maisha na kukata tamaa kwamba humu dunian hakuna furha kisa wao ni Yatima, hapana yupo Mungu ambae ni baba wa Yatima. Burudika na Wimbo ulioimbwa na Mimi unaitwa Yatima
 4. Madam Lucky

  Wapenzi wa gospel songs tukutane hapa

  Yeah ni kweli ila nyimbo zipo nying sana Joel_sitabaki kama nilivyo Madam Lucky_ Yatima
 5. Madam Lucky

  Natafuta wadhamini wa nyimbo za injili

  Asante sana. Na nitajitaid ili nifanye vizur zaid maana ndo naingia
 6. Madam Lucky

  Natafuta wadhamini wa nyimbo za injili

  Amina najua ntafanya ivo maana hii ni album yangu ya kwanza
 7. Madam Lucky

  Kwanini waimbaji wa nyimbo za dini hawafanyi matamasha makubwa?

  Umeongea jambo la maana sana, ila sasa Nani aanzishe? Ndo ivo wenye maono hayo hatujiwezi, ni Nani atasaidia hili tatzo? Tunakufa na vipawa vyetu jaman
 8. Madam Lucky

  Makosa 10 aliyotenda Mungu

  Nitafanya maombi ya toba kwa ajili yako. Vinginevyo ni hatar, unajua nimekubali kwamba matatzo tunayopata hapa dunian sababu Kubwa ni watu kama nyie, hii ni kufuru
 9. Madam Lucky

  Kwanini waimbaji wa nyimbo za dini hawafanyi matamasha makubwa?

  Hallow Mimi ni Muimbaji wa nyimbo za injili, nimejiuliza hill swali kwann sisi hatufanyi matamasha makubwa kama tunavyoona wenzetu wakifanya? Shida ni nini? Maana najua tupo waimbaji wengi ambao tupo Tayar kuhudum ata bila malipo. Sisi KAZI yetu ni kuhubili sio biashara hii. Naomba...
 10. Madam Lucky

  TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

  Kazi yenu ni nzur sana but karagwe Tanesco imekuwa ya shida sana Kila wakati ni umeme umekatika,bila ata taarifa
 11. Madam Lucky

  Natafuta mjuzi, mwaminifu na mtiifu mwenye utaalamu wa kuandika tenda

  Mtafute MTU huyu 0621335356 Atajitolea ni MTU ambae hana makuu atakufanyia KAZI yako vizur.
 12. Madam Lucky

  Naitwa Madam Lucky

  Haha kwa mbaaali
 13. Madam Lucky

  Naitwa Madam Lucky

  Asante mpendwaa
 14. Madam Lucky

  Naitwa Madam Lucky

  Hahahahaha
 15. Madam Lucky

  Natafuta wadhamini wa nyimbo za injili

  Hahahaaha jamanUOTE="kalagabaho, post: 28493757, member: 30674"]Kuna mahali umekatika kama Yondo sister na sehemu nyingine umedokoa ukatazama juu ukashuka chini af ukang'ata kidole kama Aurlus Mabele au kanda bongo man!! daah.. mi nimekukubali sana Hahahaa
Top Bottom