Search results

 1. MKONGA

  Ndugu wa Aquilina Akwilini wakabidhi bajeti ya TZS 80m kwa Serikali shughuli ya mazishi

  Ni mara ya kwanza kuona mtu akishikuru ndugu yake kuuwawa bila kulipwa fidia yoyote ama aliyemua kuchukuliwa hatua za kisheria.
 2. MKONGA

  Wanaotaka wengine walipe kodi hawana biashara, na hawajui uchungu wa kulipa kodi

  Hapo ni kweli kabisa; umenena. Kwa hali ya sasa kazi ama biashara ya kujiajiri yenye uhakika wa kesho hakuna, hata hiyo kulima yenyewe mazingira ya hali ya hewa si ya uhakika kabisa.
 3. MKONGA

  Wanaotaka wengine walipe kodi hawana biashara, na hawajui uchungu wa kulipa kodi

  Pia kodi kulingana na faida itokanayo na biashara mkuu. Hatukai kulipa kodi, bali iangaliwe upya manufaa ya pande zote mbili.
 4. MKONGA

  Wanaotaka wengine walipe kodi hawana biashara, na hawajui uchungu wa kulipa kodi

  Kweli kabisa ajira za hakika ni njia bora ya kuimarisha uchumi kwa nchi yoyote ile duniani.
 5. MKONGA

  Wanaotaka wengine walipe kodi hawana biashara, na hawajui uchungu wa kulipa kodi

  Masharti tunafuata; kodi kwa wafanyakazi ina afadhali kubwa kuliko wafanyabiashara. Na mfanyakazi yoyote ana uhakika wa kudaka mwisho wa mwezi, tofauti na biashara unapotoka asubuhi; hujui kama biashara itafanyika ama la. Inakuwa bahatisha ndulute.
 6. MKONGA

  Wanaotaka wengine walipe kodi hawana biashara, na hawajui uchungu wa kulipa kodi

  Tunarudishaje ambacho hamjakinunua? Nunueni kwa faida tulipe tukiwa kama mawakala wa ukusanyaji kodi. Nauli unayolipa kwenye chombo chochote cha usafiri hatujakuwekeni gharama za vipuri; gaharama za faini n.k. Kama endapo mpo tayari nauli kipanda itapendeza zaidi ili tuweze kukusanya kodi...
 7. MKONGA

  Wanaotaka wengine walipe kodi hawana biashara, na hawajui uchungu wa kulipa kodi

  Si kwa Tz; mlaji wa mwisho hamkadirii bali wakala mkusanyaji ambaye ni mfanyabiasha. Hawana kuangalia kipato cha mwenye biashara anachoingiza. Wanachanja hadi mtaji na si faida itokanayo na biashara.
 8. MKONGA

  Wanaotaka wengine walipe kodi hawana biashara, na hawajui uchungu wa kulipa kodi

  Mm nahisi kwa kuwa hawana biashara yoyote; ama wale wafanyakazi wao kutokuwa wafanyabiashara, kunachangia wao kutokujua vyema ugumu wa biashara zenyewe. Ni sawa na mtu anaye fanya jambo kwa nadharia na si vitendo.
 9. MKONGA

  Wanaotaka wengine walipe kodi hawana biashara, na hawajui uchungu wa kulipa kodi

  Habari zenu wote humu ndani wakuu, nimejaribu kutafakari kwa kina, na kuwaza juu ya ulipaji kodi hapa nchini kwetu, na kubaini wale wafanyakazi karibu wote wa TRA, Na mamlaka nyinginezo za ushuru na kodi. Hawana uzoefu na biashara wanazo toza kodi au mapato. Nimeona niandike ili nao waweze...
 10. MKONGA

  CCM ndio iliyoleta umaskini Tanzania

  Kweli kabisa, na inazidi kuleta umaskini
 11. MKONGA

  Bunge na Serikali msikubali kumhudumia mtu aliyejifanya hahitaji msaada wenu

  Una roho ya kigaidi na kishetani; pesa hiyo yako ni halali yake. Hata kama itachelewa kupelekwa atakuja ipata tu. Nyambafuuu
 12. MKONGA

  TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

  Ilaumiwe serekali; na si Tanesco, wao Tanesco hawafanyi manunuzi ya mitambo bali serekali. Pia umeme ni mgawo ila wamenyimwa kutangaza kwamba ni mgawo.
 13. MKONGA

  Nyalandu kuhamia CHADEMA ameisababashia kupata mpasuko mkubwa na humo ndani ni fataki na mtifuano tu

  Mgogoro utaibuka ccm, mtaipata pata. Subirini muone. Kwa CDM walio ondoka, walisha jitambua hawewezi kupata vyeo kule kwa kuwa watu makini CDM ni wengi.
 14. MKONGA

  Mwanamke unayeishi naye akikwambia anakuchikia toka moyoni kuna haja ya kuendelea naye?

  Mkuu hajaridhika kabisa, yaani ndiyo kwanza kaliamsha. Nahisi anayempagaisha anamtumia matumizi tofauti na mm.
 15. MKONGA

  CCM inapoteza mwelekeo na dira yake kama ilivyozoeleka.

  ile kuongeza idadi ya tembo tu ni kazi kibwa.
 16. MKONGA

  CCM inapoteza mwelekeo na dira yake kama ilivyozoeleka.

  Mbona wakoshaondoka ndipo mnawaita mafisadi? Kabla kuondoka huonekana ni wasafi?
 17. MKONGA

  Mali zaidi za Tanzania kukamatwa ughaibuni kufidia madeni, serikali yatuma watu Marekani kujinasua

  Wakamate zote na ikiwezekana wawakamate watanzania wafidie deni. Ndicho tulichokichagua.
Top Bottom