Search results

 1. Mwanamayu

  Mbinu ya kupunguza misongamano makanisani kipindi cha Pasaka na siku zijazo - salamu zangu za Pasaka

  Baadhi ya viongozi wa dini wamekuwa wazito kufuata maelekezo ya serikali na wataalam wa afya. Mfano, Jumapili ya Matawi, waamini walishona makanisani utafikiri misa haziwezi kuwa televised, streamed and broadcast on radio live. Kenya wanatumia teknolojia, Vatican ndio usiseme, ni tek kwa kwenda...
 2. Mwanamayu

  Tangazo la Waziri Ummy Mwalimu juu ya Coronavirus (COVID-19) lirekebishwe kukidhi mazingira yetu

  Tangazo ni zuri na linatoa taadhari kitaalam, lakini kuna baadhi ya mazoea ya baadhi ya watanzania ambayo yaweza kuzidisha COVID-19 kusambaa yanakosekana. Wana-sosiolojia walitakiwa kushirikishwa katika kuandaa hilo tangazo. Mfano, kuna lile kundi la vijana wavuta sigara kugoneana sigara...
 3. Mwanamayu

  Hivi jana kanisani kwenu waumini walijaa kama kwetu?

  Jana Jumapili ya Matawi waamini walifurika mpaka inatia shaka kuhusu kupambana na coronavirus (COVID-19). Pamoja na kunawa wakati wa kuingia na kutoka na kupuliziwa disinfectant, lakini bado kwa mbanano ule, waweza kuibeba COVID-19 pale mtu ataacha kwenye kiti au benchi nawe kuichukua kabla ya...
 4. Mwanamayu

  Huyu 'Masanja Mkandamizaji' amechemka hapo, kwanza ana vyeti vya shughuli zake?

  Kuna nchi nyingine wanafanya mahojiano na wananchi kwa namna alivyofanya 'Masanja', lakini maudhui yote inawekwa hewani, sasa huyu iweje afanye censorship - kuchagua hasi tu? Kwanza alihoji wangapi? Na wangapi walikuwa hawajui? TCRA wanatakiwa kumhoji pia kwa suala hili. Pia je ana taaluma ya...
 5. Mwanamayu

  Elimu nzuri sana ya namna ya kunawa mikono, ila je watanzania wangapi wanamudu au kufikiwa na mfumo huo wa maji na sabuni haina hiyo?

  Maelekezo ni mengi na mazuri kabisa, na yamekuwepo hata kabla ya Corona mpya kusumbua watu. Namna inayoonyeshwa kwenye video ni nzuri sana, ila je ni watanzania wangapi wanaweza kumudu mfumo huo wa maji? Au ni wangapi wamefikiwa na mfumo huo wa maji? Je, watanzania wangapi wanamudu aina ya...
 6. Mwanamayu

  Mwanaume wa kweli lazima 'asimame' wakati akiangalia hii mechi

  Jinsi hawa akina mama/ dada walivyotinga jezi na aina ya mchezo unavyochezwa, kwa mwanaume 'fit' kutazama hii mechi huku 'amekaa' mwanzo mwisho ni ngumu nionavyo mimi. Wewe mwanaume, je 'umekaa au umesimama?
 7. Mwanamayu

  Kirefu cha CHADEMA kwa mujibu wa afande Mambosasa, ni kuteleza au kutoka moyoni?

  Wakati afande Mambosasa akiwa kwenye press conference, alikuwa na mambo mawili, la kwanza ni lile la wabunge wa CHADEMA na meya kukamatwa kule Segerea, na la pili ni ajali ya gari. Alianza kwa kusema, '... wafuasi wa chama cha maendeleo na wananchi - CHADEMA.' Maswali: hivi kirefu cha Chadema ni...
 8. Mwanamayu

  Mfano wa sura ya mwanamke pale anapopewa taratibu halafu puta na kukanyagiwa mafuta

  Darassa kamshirikisha Sho Madjozi wa South Afrika ambaye ameishi kwa muda Tanzania pia kwenye ngoma 'I like it.' Sura ya mwanadada, Madjozi, inabadilika wakati wa kupelekwa taratibu na then puta na kukanyagiwa mafuta (angalia kati ya around 1:59 na 2:04). Maswali, ili ni somo kwa wanadada namna...
 9. Mwanamayu

  Je, nasi tutafika walipo Uingereza kwa sasa? Jengo la kanisa kuwa ukumbi wa kampeni za uchaguzi!

  Hakuna ubishi kuwa Mr Nigel Farage anafanya kampeni ya uchaguzi mkuu ambao utafanyika kesho - 12/12/2019 ndani ya jengo la kanisa. Architecture ya jengo hilo ni ya kanisa. Wamefikia hapo baada ya wengi kuelimika na tech kupanda na demokrasia kukuwa. Je, nasi tutafika huko na haya makanisa...
 10. Mwanamayu

  Hivi ni nini faida ya milango ya kutembea yenyewe kwenye majengo ya umma?

  Nimesikia bwana mkubwa akipiga panga bajeti ya kuweka milango ya kutembea yenyewe (automatic door) kwenye majengo ya watu wengi endapo mtu anaukaribia. Ameelekeza kuwekwa milango ya manual - kusukumwa kwa mikono. Swali hiyo teknolojia ya 'automatic door' ina faida gani na zaidi ya ile ya...
 11. Mwanamayu

  Je, kweli hawa ni wahaini wa 1968 ndani ya Tanganyika?

  Mwananchi wamekuja na hii makala 'miaka 20 bila Nyerere: wahaini wa 1968 walivyoadhibiwa' sehemu ya 7. Swali, je kweli hao walikuwa wahaini? Sio kuwa walihoji mambo kama iweje mgombea Urais ashindanishwe na 'kivuli'? Kivuli anapigaje kampeni? Kivuli angeshinda angeongozaje nchi? Na kivuli...
 12. Mwanamayu

  Hapo kwenye 'makalio' (bottom) ya huyo female music celeb ni nini hiyo imechomoza?

  Muziki mzuri, ila sina uhakika kama hawa ni music celebs. Ukiangalia kwa umakini kwenye muda kati 0.19 na 0.20 utaona kitu kirefu kidogo mithili ya slim cylinder/ cord kimetokeza kwenye bottom ya huyo female music celeb. Je, hiyo ni nini? Je, huko ni kuwa producer kakosa umakini?
 13. Mwanamayu

  Ukristo kuongeza Tanzania (28m in 2010-94m in 2050), je sababu ni zipi?

  Ziara ya Papa Francis, kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani' kule Msumbiji na kwingineko kusini mwa jangwa la Sahara imepelekea mjadala juu ya ukuaji wa ukatoliki Africa wakati huohuo ukishuka katika baadhi ya nchi za Ulaya. Sababu mojawapo ni 'ugumu wa maisha' kwani makanisa hasa kanisa...
 14. Mwanamayu

  VIDEO: Huyu ndiye mkulima aliyeenda kortini kupinga ukomo wa urais (by Mwananchi)

  Bwana Patrick D. Mgoya afungua kesi mahakamani kutaka ukomo wa Urais (vipindi viwili) kuondolewa, na kuwaachia wapiga kura kuweka ukomo. Ila amenishangaza anaposema ukomo wa ugombea Urais uondolewe kwenye katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ila ubaki kwenye katiba za vyama vya siasa...
 15. Mwanamayu

  Je, utashuka mara ngapi kuondoa ukungu kwenye kioo cha mbele (windscreen) cha gari lako mida ya asubuhi au kwenye hali ya ukungu?

  Leo alfajiri wakati natoka kwangu kuelekea kibaruani niliona Benz aina ya saloon lime-park pembeni huku dereva akifuta ukungu uliokuwepo kwenye windscreen. Yawezekana aliamua kufanya hivyo kwa sababu alimaliza maji ya wiping au mfumo wa AC na heating haufanyi kazi. Gari lolote lenye air...
 16. Mwanamayu

  Mpiga picha anaanguka akitafuta focus nzuri- sio kwamba wanaihitaji protective material

  Hii sio mchezo, pale mpiga picha anapoanguka wakati akitafuta focus nzuri huku mpigwa picha anakwepa 'mtutu' wa kamera. 'Mtutu' wa kamera ni zoom na focus rings/ mount lens. Hivi sio vyema sasa wapiga picha wavae kofia ngumu na sponge-like suruali na mashati au vulana kama wacheza golf au clicket?
 17. Mwanamayu

  Amkata mumewe uume kudai unyumba

  Beatrice Acen kutoka wilayani Apac nchini Uganda, Moses Okot (46) anauguza jeraha baada ya mkewe kumkata uume kwa madai ya kukosa unyumba. Ingekuwa ndio mimi nimekatwa 'uume', lazima ningekata kiungo chake kilichotokeza kama 'uume' kwa muda ambao nitachagua mwenyewe. Sasa unakata uume kwa...
 18. Mwanamayu

  Hii kitu inaingia pia Tanzania?

  Hii taarifa inasema taka upelekwa kwenye nchi zenye maendeleo ya chini (dump site) kutoka kwenye zile zenye maendeleo ya juu. Hivi hizi taka haziji kweli Bongo kufuatia kuwa ni moj ya nchi zinazoendelea? Kama ndio, mikataba yake ipoje?
 19. Mwanamayu

  Duh! haya maji yanabubujika au yanamwagika?

  Huu mti unatoa maji katikati mithili ya maji ya uzima.
 20. Mwanamayu

  Hivi watu hawajaanza tu 'kulimia meno' kwa muijibu wa masihara ya Mhe. President?

  Kwa video hii kabla ya kuwa Rais, Mhe. anasikika akisema akiwa Rais watu watalimia meno kwa namna fulani ya masihara. Kuna msemo 'masihara na ukweli.' Pia kulimia meno ni lugha ya picha ikimaanisha 'maisha magumu' au ''kupata kipato kwa 'mbinde' haswa.'' Je, haya masihara yamekaaje kwa mtazamo...
Top Bottom