Search results

 1. Primitive

  Msaada Samsung Galaxy S4- GTI 9500

  Nimenunua na kutumia kwa wiki moja na nusu tu. sasa hai detect simcard yoyote, vile vile ukijaribu IMEI inatoa null/null ni kama haina IMEI namba. tafadhali kwa anaejua tatizo.
 2. Primitive

  Hii kitu imenishinda kabisa naomba Msaada

  Nataka kubadilisha ID, nimejaribu nimeshindwa na kurejista ID nyingine naona si vizuri! ID nayotumia imejulikana! Msaada please!
 3. Primitive

  Sumu ya mapenzi!!

  chokoraa!! big up kwa kipande hiki! "navumiliaa na navumiliaa lakin ipo siku nitachokaa, nafsi itakinaii,. moyo nitapiga konde!! manyanga "nitayabwaga!!!" x 2!! "bora niwe bahchela" x2!! eeh,, siwezi nenepesha shetanii wakati kiti anakonda!!! haya mapenzi ganii!!? ya kuniumiza moja kwa moja...
 4. Primitive

  JF doctors tafadhali naomba kujua ukweli kuhusu hili

  Kila ninapoamka na hangover nikinywa maziwa fresh naarisha sana! nilishaambiwa kuwa maziwa huwa yanatoa sumu mwilini na vilevile naelewa ya kuwa pombe (alcohol) ni sumu! je ni kweli kuwa kuarisha kunakonitokea ndo natoa sumu ya pombe?? naomba kujuzwa na wataalam tafadhali!
 5. Primitive

  Natafuta mwanamke wa kuzaa nae!

  Kwa alie serious tu!! Age kuanzia 24!! nipo very reliable! (namaanisha kwa malezi ya mtoto)
 6. Primitive

  Mambo?

  Naombeni mnipokee tafadhali
Top Bottom