Search results

 1. L

  Gharama za kwenda Mtwara kufuata korosho ni kubwa kuliko bei ya 1000 kwa kilo

  Rafiki yangu ambae pia ni afisa wa jeshi kwa ngazi ya kanali pale kwa kambi ya Abdallah Twalipo, temeke (sabasaba) amenijuza hivi punde kwamba, wametoa magari 75 ambapo kila gari moja lina uwezo wa kubeba tani 20. Kanijuza zaidi kwamba, kila trip moja ya magari how 75, itasomba tani 1500...
 2. L

  Mwandishi wa habari mkoani Simiyu awekwa ndani, baada ya kupost Polisi akiwa bar

  Updates: Jeshi la polisi mkoa wa Simiyu limemwachia kwa dhamana Mwandishi wa habari wa gazeti la Uhuru mkoani Simiyu,Costantine Mathias waliokuwa wamemshikilia tangu asubuhi kwa madai ya kusambaza mitandaoni picha ya askari wa jeshi kituo cha Mwamapalala akionekana akinywa bia huku amevaa...
 3. L

  Taarifa kwa form 6 jinsi ya kuhamia chuo cha MUM 2016/2017

  Chuo kikuu MUM kimetangaza nafasi kwa wanafunzi wanaotaka kuhamia chuoni hapo,hii inawahusu wanafunzi wote waliochaguliwa kozi mbalimbali za undergraduate vyuo vyote Tanzania 2016/2017.
 4. L

  Majina ya wanafunzi waliopata Mkopo Chuo kikuu MUM 2016/2017

  Hatimae chuo kikuu MUM kimetangaza majina ya wanafunzi walioomba mkopo kwa ajili ya masomo yao chuoni hapo,kwa awamu ya kwanza. Dropbox - APPLICANTS WHO ARE CONSIDERED TO RECEIVE MUM LOAN.pdf
 5. L

  Wanafunzi wa UDOM ambao watashindwa kulipa ada watarudishwa nyumbani

  PAYMENT OF TUITION FEES AND DIRECT COSTS: ALL STUDENTS ARE REQUIRED TO PAY THEIR BALANCE OF TUITION FEES BEFORE COMMENCEMENT OF THE SECOND SEMESTER. STUDENTS WHO WILL FAIL TO COMPLY WITH THIS NOTICE WILL NOT BE ALLOWED TO CONTINUE WITH THEIR STUDIES. ALSO, THOSE STUDENTS WHO HAVE MANEUVERED TO...
 6. L

  jipatie activate adsense account bei sawa na bure

  je,wewe ni muhitaji wa account ya adsense alikini umekuwa kila ukifanya aaplication unakataliwa,tafadhali ninauza account ambazo zipo tayari unachukua na kauanza kupiga pesa. pia tunauza blogspot,tuna design na kuifanya blog yako i index kwenye search engines kwa uharaka zaidi. tafadhali...
 7. L

  Video: Ajali mbaya ya Noah yaua watu 8 Jijini Mwanza

  Watu nane wafariki dunia na wengine wane kujeruhiwa katika ajali ya gari aina ya Noah iliyokuwa ikitokea Shinyanga kuelekea Mwanza. Ajali hiyo imetokea jana jioni Wilayani Misungwi Mkoani Mwanza ambapo mashuhuda wa ajali hiyo wamedai chanzo chake ni mwendo kasi wa...
 8. L

  Updates kutoka Zanzibar: Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA

  Habari yenu, Leo tena siku nyingine karibuni katika mkutano mkubwa utakaofanyika mji wa Zanzbar wa kumtambulisha mgombea urais kwa tiketi ya UKAWA. Karibuni sana. Jamii ya Kimasai inayoishi katika kisiwa cha Zanzibar wakiwa tayari kumpokea mgombea urais wa UKAWA Mh. Edward Lowassa na...
 9. L

  Nanunua used pikipiki

  kama unayo tafadhali weka na bei yake hapa
 10. L

  Video & audio :download and listen magufuli akiwa dar jana

  .DOWNLOAD HAPA VIDEO NA AUDIO HIYO
 11. L

  Audio: Dada kafunga safari hadi Dar kumfuata Aslay, walikutana Facebook

  U Heard leo Soudy Brown kampata msichana ambae ametoka Mkoani kuja Dar kwa ajili ya kukutana na Aslay wa Yamoto Band.. Msichana huyo anadai ametoka Geita kuja Dar kukutana na Aslay. Dada mwenyewe amesema walikuwa wakiwasiliana na Aslay kupitia Facebook wakabadilishana namba za simu, baadae...
 12. L

  Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

  Habari yenu, Serikali kupitia wizara ya elimu na mafuzo ya ufundi imefanya selection ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu special diploma UDOM ambao hawajachaguliwa kidato cha tano 2015 Soma zaidi: http://41.93.31.135:8080/Selections_ODSEPE/
 13. L

  Serikali yatangaza majina ya kidato cha nne ambao hawajachaguliwa form 5 kujiunga ualimu UDOM

  Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa wamefanya uchaguzi wa wanafunzi kwenye mafunzo ya Ualimu kwa kozi za Stashahada ya Kawaida ya Elimu ya Msingi na Stashahada ya Kawaida ya...
 14. L

  Ushauri: Nini cha kufanya kwa waliokosa nafasi za kujiunga Kidato cha Tano

  Habari zenu wadau, Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuiona siku hii ya leo tena. Mada ambayo napenda kuiongelea hapa ni kuhusu vijana wote waliokosa nafasi za kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano July 2015, lakini wana sifa za kujiunga na kidato cha tano,Basi kama wewe au ndugu yako ni...
 15. L

  Geita Buseresere: Usafiri unaotumika kusafirisha abiria ni hatarishi!

  Gari Aina ya Pro Box ikiwa tayari kusafirisha abiria Wakazi wa mkoa wa Geita maeneo ya Buseresere na Katoro, wapo katika hatari kubwa ya maisha yao kutokana na usafiri wanaoutumia kutoka eneo moja kwenda jingine. Mwakilishi wa kikundi cha Usalama Barabarani, Fungo Agustus, ametutumia...
 16. L

  Nchi hii inaweza kuendeshwa bila serikali ya CCM

  Kumbe inawezekana nchi kujiendesha bila serikali? SERIKALI YOTE YA CHAMA CHA MAPINDUZI HAWAPO KAZINI WAPO BUSY NA KUGOMBEA URAISI!!!! RAISI YUPO ULAYA ANAAGA Kamkabidhi ofisi Makamu wa Raisi!! MAKAMU naye yupo busy anatafuta wadhamini mikoani. WAZIRI MKUU yupo busy anatafuta wadhamini mikoani...
 17. L

  Kwanini wanawake wengi wanakosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa?

  Natumaini utakuwa umzima wa afya kabisa. Kwa wiki kama nne mfululizo tumekuwa tukiangalia juu ya tatizo la wanawake wengi kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa. Tumeangalia sababu za tatizo hilo na tukaangalia athari zake na wiki iliyopita na kujifunza njia za kutatua tatizo hilo. Kama...
Top Bottom