Search results

 1. E

  Pendekezo: Watumishi wa umma tukatwe mishahara walau asilimia 2 pesa ikasaidie serikali kupambana na korona

  Kwanza niseme wazo kuwa mimi ni muumini wa ahadi za MwanaTANU. Ambapo msisitizo ni uzalendo kwa nchi. Nikiwa Mtumishi wa umma huku nikiiona changamoto ya kupambana na covid-19 napendekeza serikali itukate watumishi wa umma wote walau asilimia mbili za mishahara yetu na pesa iende kusaidia...
 2. E

  Jordan Rugimbana anastaafu lini?

  Huyu jamaa kwa sasa ni Mkuu wa Dodoma. Nimekuwa nikimsikia kuanzia nikita primary. Sasa nakaribia miaka 40. Nimemsoma kwenye vitabu na kumuona Kwenye majiwe ya uzinduzi wa miradi ya mwenge kuanzia nikiwa primary tena madarasa ya chini kabisa(la Kwanza hadi la tatu) . Hivi ni huyu huyu...
 3. E

  Mh Rais Magufuli naomba jibu la swali langu, where is Ben?

  Kwanza nichukue wasaa huu kumpongeza rais Magufuli kuonyesha kuwa ana hofu ya Mungu. Tumeona mazuri mengine. Kwa Mara ya kwanza tumeona rais anayeguswa na umasikini wa watanzania kwa vitendo. Mungu akuongoze ulipo. Serikali hii imeendelea kuwa na majibu ya maswali waliokuwa wanajiuliza...
 4. E

  Kitendo cha kuwa na Agenda moja kimeiua CHADEMA

  Changamoto kubwa amabayo CHADEMA wanayokumbana nayo sasa ni kukosa Agenda. Kukosa agenda kuimeifanya CHADEMA kupoteza imani kubwa kwa wanachama wake. Kwa bahati mbaya kwa muda mrefu Chadema kimekuwa na Agenda moja tu. Kihistoria Chadema ndiyo mwasisi wa Agenda ya ufisadi. Chadema ilikuwa imara...
 5. E

  Kitendo kuwa na Agenda moja kimeiua CHADEMA

  Changamoto kubwa amabayo CHADEMA wanayokumbana nayo sasa ni kukosa Agenda. Kukosa agenda kuimeifanya CHADEMA kupoteza imani kubwa kwa wanachama wake. Kwa bahati mbaya kwa muda mrefu Chadema kimekuwa na Agenda moja tu. Kihistoria Chadema ndiyo mwasisi wa Agenda ya ufisadi. Chadema ilikuwa imara...
 6. E

  Rais Magufuli songa mbele katika kujenga uchumi, tupo nyuma yako

  Rais wangu Magufuli songa mbele. Wengi tunakusasapoti. Tunafahamu ili nchi hii ijengwe tunapaswa tuumie kwanza. Kwa mfano, mwaka huu watu wamechapa kazi kweli. Huko vijijini hata waliokataa kulima miaka ya nyuma mwaka huu wamelima. Maana hukupenda siasa. Umewaambia watu serikali...
 7. E

  Rais Magufuli hatomwacha Makonda

  Magufuli nimfahamuyo mimi ni yule mtenda haki. Pia ni mpenda haki. Magufuli hatomwacha yeyote mwenye cheo chochote ambaye amefoji cheti. Shida niionayo hapa kuwa mada kubwa imekuwa Makonda. Watu wanataka wampangie rais kazi. Tena hoja ya Makonda inaendeshwa kichuki. Swala hapa...
 8. E

  Ni tabia mbaya na isiyo na maadili kukosoa kila jambo linalofanywa/kuanzishwa na serikali.

  Ndugu zangu na watanzania wenzangu tuamke kutoka usingizini. Tuache tabia ya kukosoa kila jambo linalofanywa na serikali. Tuipongeze serikali yetu kwa mazuri inayofanya. Tuwaombee viongozi wetu. Tuwatie moyo na pale panapohitajika kukosoa tukosoe kwa nia kujenga. Tutoe positive...
 9. E

  Wanaotaka kuondoka CCM waondoke watuachie CCM yetu

  Kumekuwa na kelele nyingi sana juu ya watu kutaka kuondoka CCM kwa sababu ya mwenyekiti kumsafisha RC Makonda. Mimi nasema ondokeni tente ikibidi ondokeni haraka. Musee mawaziri ondokeni, muwe wabunge ondokeni. Ondokeni mtuachie CCM yetu. Mimi naunga mkono kauli ya...
 10. E

  Madawa ya kulevya part four: Steringi atoweka ghafla

  Ni ajabu na kweli. Huyu ndugu alituambia kuwa hii filamu itakuwa na sehemu kama nane hivi. Ajabu ni kwamba sasa tuko shehemu ya tatu. Steringi ametoweka. Filamu ndiyo imenoga. Mm siamini Kama hii firamu ndiyo imeishia hapa. Mchezo unaendelea. Bali part four...
 11. E

  Madawa ya Kulevya Part 2: Yanayojiri Central Police, Sirro awatimua wananchi na wanahabari Central

  Wakuu bila shaka mnafahamu kuwa leo ndiyo siku rasmi iliyoamuliwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kwa watuhumiwa wa madawa ya kulevya kuripoti central police station. Nipo eneo la tukio. Kaeni mkao wa kula kwani mtu mzima nipo hapa kuwaletea kila tukio litakalojiri. Update 1 Kuna...
 12. E

  Hivi mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ni Mbowe au Lowassa?

  Wakuu naona Chadema inaendelea kudhoofika. Mwenyekiti wake amekuwa dhaifu sana. Siku hizi kauli ya kwanza inatoka kwa Lowassa na siyo Mbowe tena. Mbowe amekuwa mnyonge. Mpole kabisa. Sijui amelishwa nini. Hata hivyo inaonyesha anamtetemekea na kumuogopa Lowassa. Kauli ya Lowassa ndiyo imekuwa...
 13. E

  Sheikh, Prof, Dr, AlHaj. Jammeh aondoka Gambia

  Kwa taarifa zilizothibitishwa ni kwamba aliyekuwa rais wa Gambia ameondoka kwenda kuishi nchini Guinea. Chanzo kinaeleza kuwa rais huyo mstafu mwenye wasifu mwingi kushinda rais mwingine yeyote duniani ataendeleaa kukaa huko mpaka hapo badaye ambapo ataruhusiwa kurejea. Chini hapa ni maelezo...
 14. E

  Naona Nimekusahau sana.

  Hakika naona ndugu zangu mmejisahau sana. Wakati majukwaa mengine wakiendelea kupiga kelele kuombwa jeshi la police wamwachie mkurugenzi mtendaji wa Jf, hapa watu wanaendelea kukomaa na ishu za kimapenzi tu. Naona mmejisahau sana. Mnaendelea na yale mambo yenu ya ninatafuta wanaume...
 15. E

  Utabiri: Julius Mtatiro kutua CHADEMA soon, ACT wazalendo kubeba wanachama lukuki wa CUF

  Ni wazi kuwa hali CUF siyo swali. Lipumba anaungwa mkono na serikali ya ccm na wanachama wengi zaidi bara. Ni wazi kuwa mlango pekee wa mtatiro kukimbilia ni Chadema. Hivyo natabiri Julius Mtatiro ataikimbia CUF soon. Natabiri CUF ya Lipumba itakuwa haina mvuto tena hivyo kupoteza mwelekeo.a...
 16. E

  Gambia imetoa somo Tanzania iinge.

  Nachukulia wasaa huu kumpongeza rais wa Gambia. Pamoja na mambo yake ya ajabu ajabu aliyoyafanya mganga yule wa kienyeji ametoa mfano. Naomba nikumbushe maneno yake. Anasema anakubali kushindwa. Wananchi wa Gambia wameaumua. Anajua kuwa Mungu ameona wakati wake umefikia mwisho na...
 17. E

  Maajabu na vituko nilivyovishuhudia katika siasa mwaka huu 2016

  1.Professa Lipumba kutaka kurudi tena katika nafasi yake ya uenyekiti baada ya kujihudhuru. 2 .Wanachama wengi wa CUF bara kumuunga mkono Prof. Lipumba kama vile walimtuma au chama hakina mtu mwingine. 3. Lema kuoteshwa ndoto ya kitoto na ya ajabu kuwa rais Magufuli...
 18. E

  Haileti maana kwa sisi waafrika kuendelea kumshangilia Trump.

  Sioni kama ni sahihi kwa sisi waafrika tunafanya kitu sahihi kumshangilia DonaldTrump. Hakuna maneno yake mengi yamejaa chuki na hayana uhalisia. Ebu tuangalie mfano huu. Trump anasema sisi waafrika ni wazuri kwenye sex na yeye mwenye ameshaoa na kuacha mara tatu anatafuta nini...
 19. E

  Haileti maana kwa sisi waafrika kuendelea kumshangilia Trump.

  Sioni kama ni sahihi kwa sisi waafrika tunafanya kitu sahihi kumshangilia DonaldTrump. Hakuna maneno yake mengi yamejaa chuki na hayana uhalisia. Ebu tuangalie mfano huu. Trump anasema sisi waafrika ni wazuri kwenye sex na yeye mwenye ameshaoa na kuacha mara tatu anatafuta nini...
 20. E

  Haileti maana kwa sisi waafrika kuendelea kumshangilia Trump.

  Sioni kama ni sahihi kwa sisi waafrika tunafanya kitu sahihi kumshangilia DonaldTrump. Hakuna maneno yake mengi yamejaa chuki na hayana uhalisia. Ebu tuangalie mfano huu. Trump anasema sisi waafrika ni wazuri kwenye sex na yeye mwenye ameshaoa na kuacha mara tatu anatafuta nini...
Top Bottom