Search results

 1. Locci

  Hasira hasara: Amfumania mkewe, amchoma mchepuko kisu na yeye ajichoma, mchepuko umepona yeye kafariki

  Wadau mko poa? Kuna jirani yangu kutoka makao makuu ya nchi juzi kamfumania mkewe na mchepuko kachukua kisu kamchoma jamaa aliyekuwa anamfaidi mkewe naye akajichoma kisu, baada ya mkewe kupiga kelele majirani tukaenda kuwasaidia na haraka tukawafikisha hospitali ya kata hapa karibu. Leo...
 2. Locci

  MUNGU ikumbuke congo

  yaani nawaza tu laiti kama ningwkuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa TANZANIA ningetangaza kuwapa uraia wanawake na watoto wote wa democratic republic of CONGO dah wanatia huruma jamaa wanakata mapanga watoto wasio na hatia..so sad!!
 3. Locci

  'Asiyefanya kazi na asile', kauli hii mnaionaje?

  Kuna mtu nimemsikia akisema eti "asiye fanya kazi na asile" yeye huwa anapenda sana kuitumia hii sentensi na nimemsikia mara nyingi, yeye anasema eti ni maneno matakatifu kutoka kwenye Biblia. Sasa wakuu mimi binafsi hii kauli kwangu nashindwa kuielewa vizuri na nimeitafakari sana, sasa naomba...
 4. Locci

  kushiriki riadha kili marathoni

  habari wakuu!!hope ni wazima wa afya njema... wadau mimi ni mdau wa jogging na mazoezi kwa ujumla nimekuwa nikifanya mazoezi mbalimbali hasa kukimbia sasa juzi hapa nimeangalia hii kili marathon kwa kweli nimehamasika kushiriki sasa naombeni mnijuze ABC za hizi marathon 1.vigezo wanavyohitaji...
 5. Locci

  kunani BBA??

  wadau Nina mda mrefu sijasikia stori yoyote kuhusu hii big brother afrika??itaanza lini??mbona kimya sana??
 6. Locci

  Hatutaki "shikamoo" zenu

  Hii tabia ya kuamkiana "shikamoo" wakati ki-umri tuko sawa muache au ndo mnatunyima mbu.n.y.e zenu kisairensa...utakuta lidemu likuuuubwa ile kulisalimia tu "mrembo mambo???" Utasikia "shikamoooo" aaaaagggghhhrrrr yan sipendiii mi ndo kwanza nina 24 afu demu wa miaka 28 aniamkie...
Top Bottom