Search results

 1. Pascal Mayalla

  Hamahama: Kikwete akamwambia, "Si ulisema ninafanana na mama yangu?"

  Mkuu USSR, asante sana kwa simulizi hii, ni kweli baada ya uchaguzi Tambwe Hiza na mwenzake Salum Msabah, waliunda kitengo cha Propaganda ambacho kilikuwa sehemu ya uenezi. Baadaye kitengo hicho kilivunjwa. Mara ya mwisho kuonana na Tambwe Hiza na Salum Maabara ni hapa From Karimjee Hall...
 2. Pascal Mayalla

  Wazanzibari wapenda mabadiliko kutoka utawala wa dhulma kuelekea katika uongozi wa haki na heshima, tutoke tupambane, muda ni sasa!

  Kama unadhani sababu za viongozi wa uamsho kushikiliwa ni kuusema vibaya muungano, pole!. Naomba niishie hapa. P
 3. Pascal Mayalla

  Utabiri: Samia Suluhu kuwa Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania

  Mkuu Chabuso, kusema ukweli, elimu ya uraia inahitajika sana, hizo sio sababu, huna haja ya kutumia maneno makali kama ufedhuli, wala sababu ya rais wa Zanzibar kuondolewa umakamo wa rais sio ilifanywa kwa madhumuni ya kupunguza nguvu za Zanzibar katika Muungano bali kuulinda muungano. Sababu...
 4. Pascal Mayalla

  Utabiri: Samia Suluhu kuwa Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania

  Japo ni kweli ki protokali VP ni mkubwa kuliko rais wa Zanzibar, ila kimamlaka, VP ni just a ceremonial position as a standby, in case something happens to the president, lakini hana mamlaka yoyote, hana powers zozote za kufanya chochote na hata akikaumu urais hawezi kusaini chochote, zaidi ya...
 5. Pascal Mayalla

  Nimestushwa na Bunge La Tanzania

  Duh...!, kumbe!. P
 6. Pascal Mayalla

  RC Mwanza tafadhali Corona haipo Rock city, halafu soko la Dampo Haipo chukua hatua kupitia mamlaka ulizo nazo

  Karibu sana kwetu ule sato wakubwa, wazuri, watamu, bila kusahau kuhudumiwa zile huduma!. Tanzania tuna makabila mengi, na wana tabia tofauti tofauti, moja ya makabila haya ni watu wabishi mpaka basi!. Kiukweli kabila hili linaongoza kwa ubishi, naomba nisilitaje, ila Mungu bariki, kabila...
 7. Pascal Mayalla

  Askofu Bagonza: CAG vs TAKUKURU

  Asante, nitaifanyia mchakato. P
 8. Pascal Mayalla

  Askofu Bagonza: CAG vs TAKUKURU

  Asante, nitaifanyia mchakato. P
 9. Pascal Mayalla

  Wazanzibari wapenda mabadiliko kutoka utawala wa dhulma kuelekea katika uongozi wa haki na heshima, tutoke tupambane, muda ni sasa!

  Hili la Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yalikuwa na baraka za UK, US na Israel, mimi siliafiki, kwasababu Mapinduzi Matukufu yale yalikuwa ni surprise, na yamefanywa kwa ambush, Waingereza wakaleta manowari zao mbio mbio, lakini kabla hazijafika Zanzibar, tukaungana, hivyo zikaishia Mombasa. Why...
 10. Pascal Mayalla

  Utabiri: Samia Suluhu kuwa Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania

  Kiukweli hiyo ni ndoto mzuri na very logical Ratiba ya uchukuaji fomu za urais wa Zanzibar kwa CCM Zanzibar yatoka, Huku baadhi ya majina na ellectability percentage zao zikitajwa na Binti mmoja wa Kizanzibari. USIWE WA MWISHO KUWAJUA WATARAJIWA WAGOMBEA URAIS ZANZIBAR 1. Dk. Hussein Mwinyi...
 11. Pascal Mayalla

  CCM ikicheza na Waitara jimbo linaweza kurudi CHADEMA

  Mkuu Chipesi Namisuku, asante sana kwa hii, ni very good analysis yenye good insight. P
 12. Pascal Mayalla

  Hakuna sababu ya kumchukia Waitara, ameonesha uzalendo wa hali ya juu

  Duh...!. JF hatari!, kumbe hadi kuna watu wanafanya sensa ya threads zote za Chadema na ku keep tracks za wanao comment!. Duh...!. Itabidi... P
 13. Pascal Mayalla

  Vyombo vya Habari vya Kimataifa vinapata faida gani kuzusha uongo kuihusu Tanzania na Rais Magufuli ?!. Angalia uongo/uzushi wa The Guardian la UK!

  Mkuu Swelana, moja ya faida kubwa ya jf ni kuelimishana na kusaidiana, hivyo sasa nakusaidia. JF ni user generated Forum, members wako huru kuanzisha mada yoyote, na members wako huru kuchangia, hivyo hakuna anayelazimishwa kusoma bandiko lolote au kuchangia bandiko lolote. Unapokereka na...
 14. Pascal Mayalla

  Ushauri: Tanzania iwafukuze mabalozi wa Marekani na Uingereza kwa kuingilia mambo ya ndani ya nchi yetu

  Naunga mkono hoja. Nami hili niliwahi kushauri Rais Magufuli, please don't bow down kwa hawa mabeberu wa US na EU, waeleze Tanzania ni nchi, a sovereign state - JamiiForums US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo...
 15. Pascal Mayalla

  Vyombo vya Habari vya Kimataifa vinapata faida gani kuzusha uongo kuihusu Tanzania na Rais Magufuli ?!. Angalia uongo/uzushi wa The Guardian la UK!

  Wanabodi, Wanabodi, kila nipatapo fursa huwa ninawaletea makala ndefu za Kwa Maslahi ya Taifa, hivyo leo nimepata fursa tena naendelea na zile makala zangu za kuhamasisha uzalendo kwa jina la "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinaendeshwa kwa mfumo wa maswali, leo nazungumzia media za kimataifa...
Top Bottom