Search results

 1. Pascal Mayalla

  Vyombo vya Habari vya Kimataifa vinapata faida gani kuzusha uongo kuihusu Tanzania na Rais Magufuli ?!. Angalia uongo/uzushi wa The Guardian la UK!

  Wanabodi, Wanabodi, kila nipatapo fursa huwa ninawaletea makala ndefu za Kwa Maslahi ya Taifa, hivyo leo nimepata fursa tena naendelea na zile makala zangu za kuhamasisha uzalendo kwa jina la "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinaendeshwa kwa mfumo wa maswali, leo nazungumzia media za kimataifa...
 2. Pascal Mayalla

  Je, ni kweli baada ya $ 100m ya advance ya 'K.U' cha Barrick, sasa balance kulipwa kwa mikupuo 2 ya $ 100m badala ya mikupuo 5 ya $ 40m kwa miaka 5?

  Wanabodi, Kwanza niungane na Watanzania wenzangu kumpongeza rais Magufuli na timu ya majadiliano kwa malipo ya Advance ya Dola $ milioni 100 ikiwa ni sehemu za yale malipo ya fedha zilizoitwa Kishika Uchumba cha Dola milioni 300 za Barrick. Pongezi hizi nazitoa kwa dhati kwanza kwasababu ni...
 3. Pascal Mayalla

  Live from EA Radio Super Breakfast: Mtangaza Nia Urais wa JMT Kupitia Chadema, Dr. Mayrose Majinge Yuko Live, Mubashara

  Wanabodi, Wenye access fuatilieni hii Wanabodi, kiukweli huwa nasikiza Radio asubuhi mara chache sana, niwapo njiani kwenye gari, na station ninayosikilizaga sio EA Radio, lakini leo nimeamua kuisikiliza hii Redio Redio baada tuu ya kuona hili tangazo ili nimsikie huyu dada. Watangazaji...
 4. Pascal Mayalla

  Elections 2020 Mwanamke ajitokeza kuwania Urais kupitia CHADEMA. Ni Msomi, Mwanamke wa Shoka, Ana uwezo na Jembe Kweli, ila...

  Wanabodi, Baada ya kutulia kwa tishio ugonjwa wa Corona, sasa watu hawana uoga tena, hivyo sasa Vuguvugu la kugombea urais wa JMT uchaguzi Mkuu wa October, limeanza kupanda joto, kwa moto wa urais kuwashwa na mwanadada, msomi wa Ph.D, Dr. Mayrose Majinge, amekuwa ndie mwanamke wa kwanza...
 5. Pascal Mayalla

  Habari Njema Kutoka Barrick Gold kwa Watanzania, Tunaanza Kufaidi Rasilimali Zetu, Donge Nono la Dola Milioni 100 zalipwa

  Wanabodi, Hatimaye Tanzania sasa tunaanza kufaidi rasilimali zetu za madini, ambapo leo, donge nono la dola za Marekani milioni 100, zimelipwa kwenye kile kibubu chetu pale kwenye ule mfuko Mkuu wa hazina ya serikali kama advance payment ya kile kishika Uchumba cha dola milioni 300, ambacho...
 6. Pascal Mayalla

  Corona ni Mtihani, Jee Ummy Mwalimu Amepasi Mtihani?. Mnaonaje Ampokee Majaaliwa as PM, na Majaliwa Ampokee Magufuli?.

  Wanabodi, Nmemsikiliza Waziri Ummy Mwalimu akizungumzia changamoto za uwaziri wake kwenye Janga la Corona. Kwanza naomba kukiri, kwa vile Waziri huyu ni mwanamke, na jinsi alivyo, muonekano wake wa sura, shape, macho yale, kaumbo portable fulani, ukijumlisha ni Tanga line, hivyo mwanzo...
 7. Pascal Mayalla

  Je, wajua kuwa hatma ya CHADEMA ipo mikononi kwa Lwakatare?. Baada ya CHADEMA kumwaga ugali, Lwaka akiamua kumwaga mboga, CHADEMA Kwishney!

  Wanabodi, Kuna vitu mimi huwa navisema humu na watu wanavichukulia poa, ila vikija kutokea ndipo wenye uelewa wanaanza kuelewa nilikuwa nazungumzia nini. Hivi ni baadhi ya vitu nilivyovisema na kweli vikaja kutokea Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli -...
 8. Pascal Mayalla

  Hii si ajabu kuruhusu mikusanyiko ya ibada na kuzuia watu kuwazika wapendwa wao!, Hawajui kuwa mazishi pia ni ibada? RIP Fili Karashani, tumekuzika!

  Wanabodi, Niko mitaa ya Kinondoni Makaburini, nimekuja kumzika Nguli Mzee Fili Karashani, ila wakati mwili wanazikwa kule kaburini, wengi wetu tunazikia huku umekaa viti vya juu hapa Break Point, sio kwa kupenda, bali tumelazimika... Tangu kuanza kwa hili janga la Corona, leo nimekutana na...
 9. Pascal Mayalla

  Corona: "Media tunakufa kizungu na tai shingoni!", asante Waziri Mwakyembe kutambua mchango wetu. Serikali/jamii please do something, tutakwisha

  Wanabodi, Hili ni bandiko la kuizindua serikali na Jamii, kuikoa sekta ya media, katika hii vita ya janga la Corona, japo sisi waandishi wa habari ni wadau muhimu sana katika vita hii kama ilivyo kwa madakari, manesi na wauguzi, lakini kiukweli sisi waandishi wa habari, haswa ma freelances, na...
 10. Pascal Mayalla

  Una swali lolote kwa Waziri wa Habari, Dk. Harrison Mwakyembe? Atakuwa live Star TV kuzungumzia Sekta ya Habari na janga la Corona, uliza hochote

  Wanabodi, Je, una swali lolote la kihabari, kwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania, Dk. Harrison Mwakyembe? Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Tanzania, Dk. Harrison Mwakyembe, kesho asubuhi, kuanzia saa 1:30-3:00 atakuwa live kujibu maswali yako...
 11. Pascal Mayalla

  Vita Janga la Corona, Rais Magufuli Aanza Kusifiwa Duniani!, Jarida la The Economist 'Lamsifu' JPM Kumtegemea Mungu!, Ni Uamuzi Sahihi?, Utatuokoa?

  Wanabodi, Asubuhi ya leo, nimepata tena fursa, kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo ni makala za kuhamasisha uzalendo na huendeshwa kwa mtindo wa maswali, yakifuatiwa na hoja, kisha majibu uyatoe wewe msomaji mwenyewe. Mada ya leo ni kuhusu hatua mbalimbali...
 12. Pascal Mayalla

  Magufuli aistua Dunia kuhusu vipimo fake vya Corona!, Mombasa wagomea kupima Corona, wamtaja Magufuli amesaidia kustuka, wathibisha JPM is Right!

  Wanabodi, Yule Bingwa wa Kemia aliyeshutukia Fumigation haiwezi kuua virusi vya Corona na badala yake akashauri watu wajifukize, hali iliyopelekea vifo nchini Tanzania kuanzia Jumatano ya wiki iliyopita kubakia ni vifo 16 tuu. Sasa Bingwa huyu wa Kemia Ameishangaza Dunia na kuwa talk of town...
 13. Pascal Mayalla

  Je, Corona ni vita?. Watanzania, Serikali yetu, CCM, Wapinzani bila umoja na mshikamano wa nguvu moja, lengo moja no sauti moja, tutaweza kushinda?

  Wanabodi, Kama kawaida, kila nikipata fursa ya kuandika, huwa naandika mfululizo wa makala hizi ziitwazwa "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye lengo la kuhamasisha uzalendo miongoni mwa Watanzania, ambazo huandikwa kwa mfumo wa maswali na huchapishwa katika gazeti la Habari Leo, kila siku za Jumatano...
 14. Pascal Mayalla

  Don't Worry, Don't Care, Don't Give a Dam!. Just let then say, Whatever They Say!, Watasema Mchana, Usiku Watalala

  Wanabodi, Kuna watu wanasema sema sana kumhusu Rais wetu Magufuli na hatua Tanzania tunazochukua dhidi ya janga la Corona. Hii ni Makala ya Gazeti la The East Africa We Should Tame Tanzania Before She Tames Us With COVID-19 Coronavirus has continued to sweep across the African continent...
 15. Pascal Mayalla

  Hoja ya kuficha idadi vifo tuzipuuze, tuiaminie Serikali yetu. Idadi ya 16 waliokufa kwa Corona ni idadi ya ukweli na halisi, ila...

  Wanabodi, Kila nipatapo nafasi, huja na hoja za " Kwa Maslahi ya Taifa" zenye lengo la kuhamasisha uzalendo kwa nchi yetu, Mada ya leo, naizungumzia idadi ya kweli ya waliokufa kwa Corona Tanzania mpaka hapa ninapo andika bandiko hili, Tanzania wamekufa watu 16 tuu kwa ugonjwa wa Corona...
 16. Pascal Mayalla

  Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

  Wanabodi, Kwa wale wenye nafasi, ifika saa 4:15 asubuhi hii, tujiunge na TBC kuangalia matangazo ya moja kwa moja ya live mubashara kutokea ikulu ya Chato. Taarifa hii ni kwa mujibu wa Tweet ya Gerson Msigwa. Pia leo ni siku ya kimataifa ya kuadhimisha siku ya uhuru wa habari, huku Tanzania...
 17. Pascal Mayalla

  Mhe. Mbowe, hongera sana! You are the best. Ila acha uongo, uzushi na uchochezi. Kati yako na serikali, nani mkweli? Vifo ni 16 tu

  Wanabodi, Miongoni mwa udhaifu mkubwa kabisa wa mainstream media zetu zote za Tanzania, si TV, Redio, wala Magazeti, hatuna kitu kinachoitwa "News Analysis", yaani uchambuzi wa habari, viongozi wetu wakihutubia, media inaripoti wamesema nini, the story ends there! Hakuna any news analysis ya...
 18. Pascal Mayalla

  Tukidhani ni Binadamu wenzetu, kumbe ni mashetani! Mtu unaombeaje mwenzako afe kwa Corona? Can't believe this wickedness! Huu sio utu, ni ushetani!

  Wanabodi, Mtu unachokiandika, ndicho unacho kiwaza!, kuna watu, tunaishi nao, tunakula nao, tunalala nao, tukidhani ni binaadamu wenzetu, kumbe ni machoni tuu ndio kama watu, lakini mioyoni ni mashetani wakubwa!. Mtu unaombeaje binaadamu mwenzako afe kwa Corona?!. Can't believe this wickedness...
Top Bottom