Search results

 1. Madam Lucky

  USIHISI YATIMA MUNGU NI BABA WA YATIMA, BURUDIKA NA WIMBO HUU UNAOITWA YATIMA

  Hallow, Kuna watu ambao hawana wazazi/mzazi sasa wao wameishachoka maisha na kukata tamaa kwamba humu dunian hakuna furha kisa wao ni Yatima, hapana yupo Mungu ambae ni baba wa Yatima. Burudika na Wimbo ulioimbwa na Mimi unaitwa Yatima
 2. Madam Lucky

  Kwanini waimbaji wa nyimbo za dini hawafanyi matamasha makubwa?

  Hallow Mimi ni Muimbaji wa nyimbo za injili, nimejiuliza hill swali kwann sisi hatufanyi matamasha makubwa kama tunavyoona wenzetu wakifanya? Shida ni nini? Maana najua tupo waimbaji wengi ambao tupo Tayar kuhudum ata bila malipo. Sisi KAZI yetu ni kuhubili sio biashara hii. Naomba...
 3. Madam Lucky

  Natafuta wadhamini wa nyimbo za injili

  hallow, wapendwa kama nilivyojitambulisha majina yangu pamoja na Kazi yangu, Nina changamoto ya mdhamini wa Kazi yangu ya uimbaji, maana Nina mashairi ya kutosha, natumain nikimpata mdhamini nitafanya Kazi hii kama sins Akili nzuri. Ninakuomba kama Upo tayar nisaidie lakin pia naomba usambaze...
 4. Madam Lucky

  Naitwa Madam Lucky

  Naitwa Madam Lucky, nipo Karagwe ni muimbaji wa gospal, youtube: Madam Lucky, instagram: Madam Lucky, facebook: Luck MamaAtukuzwe, whatsap 0769001974/0784297973. Naomba support yako mpendwa na Mungu atakubariki
Top Bottom