Search results

 1. the ultimatum

  Supabets Tanzania (Una deposit tu, ku withdraw haiwezekani kwa takribani wiki sasa

  Habari wanamichezo hususani wapenda michezo ya kubahatisha. Kuna changamoto imetokea Supabets nimeshindwa ku withdraw pesa nilizoshinda siku ya pili sasa. Nimefuatilia wameniambia tatizo lipo kwa takribani wiki sasa. Wameshindwa kulitatua mpaka sasa. Napenda kuwashauri wanamichezo hususani...
 2. the ultimatum

  TABORA: Mtu mmoja afariki baada ya kupokonywa hirizi zake

  Amepigwa huyo hakuna cha hirizi wala nini
 3. the ultimatum

  Kusitishwa Mradi wa Bagamoyo SEZ kumedhihirisha udhaifu wa Rais Magufuli kwenye Uchumi na Diplomasia

  Nakusikitia kuwa, aidha umesoma tu kichwa cha habari lakini kilichomo hujakisoma, au umesoma ukaishia kati. Laiti kama ungeisoma kama nilivyoisoma mimi usingeleta ushabiki hapa, usingeweka hizo shombo ulizoandika hapa.
 4. the ultimatum

  Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

  Ukombozi umefika na saa hii wote waliokuhukumu ni lazima walipe. Popote pale ulipo mungu akusimamie Ben Sent using Jamii Forums mobile app
 5. the ultimatum

  Kuhujumiwa kwa DAWASCO

  Na hata nilichoandika ni cha kipuuzi pia! Sent using Jamii Forums mobile app
 6. the ultimatum

  Kuhujumiwa kwa DAWASCO

  Wanachofanya ni kukata mipira ya wateja waliounganishwa tayari na kuelekeza maji kwenye ma tank yao, halafu wakishamaliza hiyo shughuri wanarejesha kwa kuunganisha mpira. Inapotokea wameshindwa kuunganisha huacha mipira ikitiririsha maji Sent using Jamii Forums mobile app
 7. the ultimatum

  Kuhujumiwa kwa DAWASCO

  Napenda kutoa taarifa za kuhujumiwa kwa DAWASCO maeneo ya Mwananyamala Mchangani, mtaa wa Juhudi. Mimi ni raia mwema nimeamua kutoa taarifa kwa mamlaka zinazohusika kuhusu kijana maarufu kwa jina la Mudi Chavi ambaye kwa muda mrefu sasa amekuwa akijishughurisha na uuzaji maji maeneo ya...
 8. the ultimatum

  Injinia Alphonse Augustino Cherehani: Asimulia vipi alivyopatikana hai siku 3 baada ya kuzama MV Nyerere?

  Nimegundua kitu, mnaosoma kwa app hampati mtiririko mzuri!! Hii habari nimeikopi kama ilivyo nikaishea kwa kutumia Mac, so ukija kwenye app kila sehemu ambayo kulikuwa na picha na maelezo ya picha yanatokea kama muendelezo wa stori na kuchanganya wasomaji. Anyway ni mambo ya technolojia hayo...
 9. the ultimatum

  Injinia Alphonse Augustino Cherehani: Asimulia vipi alivyopatikana hai siku 3 baada ya kuzama MV Nyerere?

  Sasa ndugu unataka ni edit maandiko ya watu, maana yake si natengeneza yakwangu?? Go blame BBC Swahili
 10. the ultimatum

  Injinia Alphonse Augustino Cherehani: Asimulia vipi alivyopatikana hai siku 3 baada ya kuzama MV Nyerere?

  Copy and paste hiyo BBC Swahili, nimeshare nanyi ndugu zangu. Kama unaona useless piga kimya au report kwa Mods waitoe
 11. the ultimatum

  Injinia Alphonse Augustino Cherehani: Asimulia vipi alivyopatikana hai siku 3 baada ya kuzama MV Nyerere?

  Ndugu hiyo ni copy and paste, nijifunze for what and after all story writing is not my career
 12. the ultimatum

  Injinia Alphonse Augustino Cherehani: Asimulia vipi alivyopatikana hai siku 3 baada ya kuzama MV Nyerere?

  Na BBC Swahili MV Nyerere: Familia yangu iliandaa mazishi yangu Jina la Injinia Augustine Cherehani lilianza kuvuma katika vyombo vya habari vya ndani na nje ya Tanzania siku tatu baada ya kuzama kwa kivuko cha Mv Nyerere kilichokuwa kikifanya safari zake katika ziwa Victoria kati ya kisiwa...
 13. the ultimatum

  Utapeli unaofanywa na M-bet kupitia odds; Wamejibu na kusema ni shida ya kimtandao

  Nilizungumza nao kwa simu jana wakaniambia kwenye system yao pesa inaonyesha kama ilivyokuwa ya awali hivyo wamenihakikishia nitalipwa kama ilivyokuwa yaani 2,345,000 badala ya 1,700,000. Niliwakumbusha tu kuhusu mabadiliko ya odds kutozigusa tickets zilizolipwa tayari. Picha hii hapa...
 14. the ultimatum

  Utapeli unaofanywa na M-bet kupitia odds; Wamejibu na kusema ni shida ya kimtandao

  Wapendwa nawasalimu, Naomba awali ya yote nieleweke kuwa sababu ya kuandika uzi huu siyo ya kuharibia kampuni ya M-BET kibiashara bali ni kueleza suala lililotokea kwangu na labda kwa wengine pia ambao ni watumiaji wa michezo ya kubahatisha ya mpira wa miguu kupitia kampuni ya M-BET. Kitendo...
 15. the ultimatum

  Piga Kura: Mkuu wa Mkoa Bora 2018

  Kabla sijapiga kura naomba nihakikishiwe usalama was mawakala wangu, pia muwape hati za viapo
 16. the ultimatum

  Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

  Natafuta wimbo wa kusema sema kubaya umeimbwa na Chuchu sound, nimeutafuta sana bila mafanikio tafadhali mwenye nao naomba anisaidie kunipatia nitamshukuru sana kwakweli. Ndani ya wimbo yupo Omary Mkali na Mao Santiago
 17. the ultimatum

  Old School:Karibuni tukumbushie Makundi ya zamani ya Hip Hop/Bongo Fleva na Hits songs za zamani tu

  Wadau natafuta wimbo ulioimbwa Na chuchu sound, unaitwa kusema sema kubaya. Nimeutafuta bila mafanikio naomba mwenye nao anisaidie. Ndani ya wimbo yupo Omary Mkali na Mao Santiago. Tafadhali naomba mwenye nao plz plz!
 18. the ultimatum

  Rais Trump awataka viongozi wa dunia kuitenga Iran

  Kumbuka Natenyahu na Israel yake wanaiona Iran kama adui wao mkuu katika mipango yao mbalimbali mashariki ya kati pamoja na Syria, na kumbuka Marekani ya Trump iliapa kuilinda Israel kwa gharama yoyote ile. Nachojaribu kuona hapa Marekani anatafuta uungwaji mkono juu ya mipango yake ovu kwa...
 19. the ultimatum

  Zitto, kama umeshindwa kumheshimu Rais Magufuli kwa dhamana yake basi mheshimu kwa umri wake

  Nadhani ungeanza kukosoa hiko kifungu cha sheria kwanza kabla ya kumkosoa Zitto, maana waliokiweka hiko kifungu walijua hali hiyo huweza kutokea kwa mtu yeyote yule.
 20. the ultimatum

  Gazeti la Tanzanite: CHADEMA, yajiandaa kwenda Ujerumani na Marekani mwishoni mwa mwaka: Lengo ni kuomba msaada wa kupambana na Serikali

  Tangu nasoma taarifa za hili gazeti hasa zinazohusu shutuma za wapinzani hakuna hata siku moja mwandishi amewapata kwenye simu kujibu shutuma hizo. Ona hapa alivyomaliza habari yake kwenye paragraph ya mwisho......"Tanzanite lilifanya jitihada za kumtafuta Dkt. Mashinji na Mbowe ili waweze kutoa...
Top Bottom