Search results

 1. Duduwasha

  Israel yaendeleza mkong'otoo Kwa Syria na Iran

  Baada ya masaa 24 tu Baada ya kutembeza kichapo huko Syria Israel imepiga tena na kuharibu maghara ya silaha ya maadui zake na at least mtu mmoja kauwawa katika uwanja wa ndege mjini Homs. Israeli strike hits airbase in Syria’s homs File photo of missiles flying into the sky near Syria’s...
 2. Duduwasha

  Israel yaua Wairan tena Syria

  Jeshi la anga la Israel limefanya shambulizi la kulipa kisasi katika kambi ya Jeshi la Syria na inasemekana wanajeshi watatu wa Syria na wanajeshi wa kigeni zaidi ya saba wameuawa kambi hiyo yasemekana ilirusha makombora mawili kuelekea upande wa Israel ambapo kombora moja liliangukia upande wa...
 3. Duduwasha

  Syria yadai kuzuia makombora ya Israel

  Jeshi la anga la Syria limedai kuzuoa makombora yote yanayohisiwa kurushwa na ndege za Israel hapo Jana usiku.. Chombo cha habari cha syria Sana kiliripoti. Mashuhuda walisema wameona miale ya moto angani ikielekea mji Wa kiswah mingine ikiripuka angani... Israel haikuweza kutoa comments yoyote...
 4. Duduwasha

  Mkamua juice ya miwa anaswa na Machine yake

  Katika maeneo ya parking za zamani za billicanas bills mkamua miwa kwa machine special amepatwa na janga kiganja chake cha mkono kuvutwa na kunasa kama pichani hapo inavyoonyesha.. tarehe 12th August 2017.. Tuwe makini na vijana tunaowaajiri sio kuwatoa shamba na kuwaleta town tu na kuwapa kazi...
 5. Duduwasha

  Azam TV sports muwe makini maandishi yenu

 6. Duduwasha

  Ajali ya Basi la Mwendokasi

  Mida ya saa nane nimekuta ajali ya bus la Mwendokasi likiwa limemtandika pikipiki, dereva wa pikipiki alionekana mzima tu sijui alichomokaje pale, ilikuwa ni njia panda ya barabara ya morogoro na Bibi Titi Mohamed.. bahati nzuri hakuna majeruhi Bus limekwanguka bamba kidogo na vipande vidogo vya...
 7. Duduwasha

  Balozi wa Tanzania nchini Israel abadili Dini?

  surprises president with Hebrew prayer Job Daudi Masima, Tanzania's first ambassador to Israel, dons kippah, greets Israeli President Reuven Rivlin with Hebrew prayer. Arutz Sheva Staff, 15/06/17 20:03 Video Player 00:02 | 00:44 President Reuven Rivlin welcomed four new diplomats to Israel...
 8. Duduwasha

  Kama hujawahi muona Samaki nchanga tizama alivyo

  Watu wa kusini wa Natafuna sana hii kitu pia nasikia ni tamu na bei poa kabisa... Che nkapa ati utamu wake hadi kisogoni
 9. Duduwasha

  Israel yashambulia tena Syria stoo ya silaha yateketezwa

  Kwa Mara nyingine tena vyombo vya habari vya kiarabu vimesema milipuko mikubwa mitano ilitikisa jiji zima na miale mikubwa ya moto kuonekana kila kona ya mji mashuhuda wamasema waliona moto na vishindo vya sauti ya milipuko njia ya luelekea uwanja Wa ndege Wa kimataifa Wa Damascus majira ya...
 10. Duduwasha

  CNN Live National player service Sheikh Kanisani

  Muslim waiombea America Trump akishuhudia kanisani Live CNN. Prayer at National Cathedral Washington. Nadhani kilio cha Waislam kimesikika.
 11. Duduwasha

  Mtanzania, Alphonce Simbu ashinda Medali ya Dhahabu Mumbai, India

  Nimetizama news France 24 wakimuonesha Mtanzania akivishwa medal baada ya kushinda mbio huko India but sikufanikiwa kufahamu jina lake na mbio za umbali gani nimejaribu kugoogle sijapata mafanikio wadau wa mbio tukuzeni wabeba bendera wetu...
 12. Duduwasha

  Uchaguzi Kenya: Wapinzani waungana tena

  Kenya raha jamani tuache utani wapinzani wana raha wanaongea swafi hadi stress zao zinaisha wana sema Jubilee imeiba pesa kuliko serikali zote zilizowaji ongoza Kenya ufisadi wizi miradi hewa. Gharama za rail mpya kutoka mombasa to Nairobi ni kubwa sana ambapo Morocco same amount wamejenga...
 13. Duduwasha

  Majambazi yapora usiku huu

  Nimekutana na gari zinakimbizana kwa speed Kali sana nimefika eneo la DTV kuna umati wakiwepo police Wa Bank yasemekana mwezi wakiwa na gari Toyota Carina wezi waliwaona wanawake nadhani ni Wa kifiripino wamevalia mavazi meupe wakashuka na kumpora mmoja wao kwa kuuvuta mkoba wake kwa kasi ya...
 14. Duduwasha

  Uhakiki wa kura za uraisi tokea 1995, 2000, 2005, 2010 & 2015

  Ni wakati wa kwenda na hali; Mrema vs Mkapa Mbowe vs Mkapa Slaa vs JK Magufuli vs Lowassa Comando vs Maalim Karume vs Maalim Karume vs Maalim Maalim vs Shein Si tunataka uhakiki wa kila kitu? Jeshini kimya haswa matumizi yakifanyika haya nitaamini Mungu yupo. La sivyo tunaambiwa tuwaombee dua...
 15. Duduwasha

  Ebola:Muda muafaka wa madaktari wauguzi idara nzima ya afya kudai maslahi mazuri

  Jana nimetizama tv huko Liberia ni sawa na Tanzania idara ya afya imekuwa ikidharauliwa kimaslai ndio maana wagonjwa wengi wamepoteza maisha kwa kukosa huduma bora za kiafya na imesababisha sana kuenezwa kwa huu ugonjwa wa hatari. Raisi helen kaomba msamaha kwa idara nzima ya afya na kuahidi...
 16. Duduwasha

  Wanandugu wa Palestina wakutana Iran, Tanzania haimo, Membe wapi?

  Tanzania hatuna udugu na palestina waarabu wanatambua hili sisi ndugu zetu ni Israel wametujengea soko la kariakoo, Chuo kikuu DSM, Walituanzishia Jeshi la kuleta uzalendo Jkt hivi vyote bado vipo na ni Nation icon. Na tunajivunia navyo.. wale wa boycot Israel waweke list na Tanzania...
 17. Duduwasha

  SARANDA kuku warefu

  Hapa wenye kwa wale wasafiri wa Treni ya kati hawawezi kupasahau kuna Kuku wenye mapaja marefu kuliko maelezo
 18. Duduwasha

  EATV 5 Mawenge Sana!

  Wana bodi naomba kuuliza hii Channel five eatv ni kwangu tu ndio inaonekana kama ipo slowmotion na sauti na picha haziendani yaani ni Mawenge sana je ni kwa wote? nakumbuka enzi za analojia ilikuwa poa sana hata ze comedy ilikuwa inaonekana fresh ila baada ya kuingia hizi decoder channel five...
 19. Duduwasha

  Video ya Fundi Aliyenusurika kwenye ghorofa lililoanguka

 20. Duduwasha

  Pengo awa PAPA mpya wa Kwanza wa Kiafrika

  Tuone kama itawezekana subirini matokeo Rasmi... na kama akiwa Papa ataukana uraia wa Tanzania!
Top Bottom