Search results

 1. Mzee Dogo

  Ulishawahi kula tunda kimasihara?

  Legendary.. Sent from my Nokia 5.1 using JamiiForums mobile app
 2. Mzee Dogo

  Kwa Wapenzi Wote Wa Smartphone: Kwanini Ulinunua Simu Unayotumia Sasa Hivi?

  1. Kukaa na charge 2. Simple 3. RAM yake 4. Inanifaa zaidi kwa site. (Locus, Google earth, n.k) 5. Affordability
 3. Mzee Dogo

  Vifurushi vya internet 'visivyo rasmi' kwa makampuni ya simu

  Kiongozi hii yapatikanaje?
 4. Mzee Dogo

  Vifurushi vya internet 'visivyo rasmi' kwa makampuni ya simu

  Ni kweli kuwa ni mwezi mzima, lakini per day unapewa MB 500 pekee na huwezi kuzidi hapo,
 5. Mzee Dogo

  Vifurushi vya internet 'visivyo rasmi' kwa makampuni ya simu

  Hamia halotel hutajutia, may be huko mbele wazingue..
 6. Mzee Dogo

  Mimi na MB ndo basi tena, nimepata mkombozi

  Sawa itakuwa line ya chuo I think
 7. Mzee Dogo

  Waliochaguliwa Arusha technical College ATC 2017/2018 tukutane hapa

  Karibu chuo cha Wahandisi wanaofanya mambo ya ukweli kimya kimya.. Chuo kiko poa sana.
 8. Mzee Dogo

  Rais Magufuli anatarajiwa kuwasili mkoani Arusha kesho kwa ziara ya siku tatu

  Hivi alishafika? Endeleeni kutupa mrejesho basi..
 9. Mzee Dogo

  Special thread: Kwa waombaji wote wa mikopo 2017/2018 (HESLB)

  Wadau naombeni msaada kila nikijaribu ku_login naambiwa hivi..
 10. Mzee Dogo

  Kuna under 30 anayemiliki gari na nyumba?

  Nimekuwa nikitumia zaidi mikopo ya kazini na kibiashara changu kidogo cha kuku wa kisasa nilichoanzisha
 11. Mzee Dogo

  Kuna under 30 anayemiliki gari na nyumba?

  Inawezekana kabisa, binafsi nilianza kazi 2008 when I was 22, at 25 nilimaliza kumjengea mother house, married at 28 na kumaliza ujenzi wa nyumba yangu the same year, 29 I was already driving!
 12. Mzee Dogo

  Wote wanaomshabikia Cristiano Ronaldo hawajui mpira na ni Wakengeukaji

  Ni kweli usemacho, lakini angekuwa bora zaidi messi angeweza kusaidia taifa lake kuchukua kombe la dunia na club yake kuchukua uefa japo kwa mwaka huu.. Ronaldo have done that recently..
 13. Mzee Dogo

  Hatua za ukuaji wa mtoto katika miezi miwili ya mwanzo

  Asante kwa elimu hii maana wengine ni uzazi wa kwanza na unakuta hata yule anayemsaidia hajui mambo haya
 14. Mzee Dogo

  Awamu ya viwanda - Tanzania yaanza kuunda ndege zisizo na rubani

  Bora hata asiwepo rubani maana huyo atakayeingia humo ndani atarajie majanga
 15. Mzee Dogo

  Raisi wangu Magufuli kakosea sana ila hakukumbuka naomba upate huu ujumbe

  Kwanza huna adabu, kamshukuru huyo babayako japo kwa kuiba ili uweze hata kwenda shule, nadhani asingeiba ungekuwaga chokoraa kwa jinsi unavyojionesha.. Pumbafu kabisa..
 16. Mzee Dogo

  Kupotea kwa Roma na dhana ya kuachiwa kwa Nay wa mitego

  The country of endless dramaz.. Najivunia kuwa mwana wa nchi katika Tanganyika hii. Nakuona umemrudisha Roma
Top Bottom