• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. poposindege

  Root simu ya android yoyote ukitumia magisk

  Lineage Os inakubali kwa simu yoyote? Na kucheza na Stock inakuaje? Samahani kama nimeuliza maswali ya kitoto nataka kujua mkuu
 2. poposindege

  Root simu ya android yoyote ukitumia magisk

  Mkuu Jury Kwanza asante ka kuweka somo zuri La ku root. Natumia simu ya zamani kidogo Samsung Note 3 Neo SM-750L (Korean Version). Je hii naweza kuiroot kwa njia hiyo? Niliwahi kuiroot siku za nyuma lakini nikakosa custom rom inayoendanda nayo
 3. poposindege

  Ni kweli kubadilisha Windows kunaondoa Virus?

  Ndio. Unapofanya format PC yako Inakuwa umeondoa kila kitu ikiwemo na Virus na unaweka Windows iliyokuwa mpya isiyo na Virus.
 4. poposindege

  Naomba kujua namna ya kufanya Backup kwa Unofficial WhatsApp to Official WhatsApp

  Hallow wadau wa JF Naomba msaada kwa sasa natumia Yowhatsapp nataka kurudi kwenye Official WhatsApp. Lakini nataka kufanya Backup ya meseji na picha ambazo zipo kwenye Yowhatsapp. Yaani nikiweka WhatsApp official niweze kurudisha meseji zangu zote zilizopo YoWhatsapp. Natanguliza shukrani.
 5. poposindege

  Computer 32- bit operating system na computer 64- bit operating sytem

  Je nawezaje kutambua PC yenye 32Bit au 64Bit. Na je PC 32Bit naweza kuweka OS yenye 64Bit na ikafanya kazi vizuri?
 6. poposindege

  Kwa wale wapenda mazoezi ya 'Push up' tukutane hapa!

  pole sana. Mkuu nenda Hospital inatibika hiyo kitu. Ukichelewa matibabu yake yatakuwa opresheni. Kuna dawa za Pilex tablet au pilex cream husaidia kuondoa hilo tatizo. Lakini nakushauri uende Hospital kwanza. Kuna dhana kwamba bawasiri inatibika kienyeji, ni kweli lakini na Hospitalini wanaponyesha.
 7. poposindege

  Matangazo kwa njia ya powerpoint

  Chief-Mkwawa nipe link ya kununua office 365. Na je huwezi kupata office 365 cracked?
 8. poposindege

  Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

  Natumia PC, browser ya Mozilla. Nilishajaribu kwa simu pia ilinikatalia kwa siku za nyuma.
 9. poposindege

  Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

  Kwanza nakushukuru kwa msaada wako wa maelekezo mazuri sana. NImefuata hatua zote na bahati mbaya order niliyoifanya wameicancel kwa sababu kama za awali. Natumia kadi ya BancABC ambayo ina VISA CARD Na kwa kuongezea nimehashajaribu kununua kwa masterCard ya VodaCom nayo nilipata majibu ya...
 10. poposindege

  Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

  Kwa muda mrefu sasa nashindwa kufanya manunuzi katika mtandao wa aliexpress.com, kila ninapojaribu napata meseji hii, "For security reasons this process can not be continued. ISC_RS_5100102051" Mitandao mingine nanunua kama kawaida. Tatizo nini, nishajaribu njia kadhaa sikufanikiwa
 11. poposindege

  Nahitaji msaada, akaunti yangu ya instagram imedukuliwa (hacked)

  Pole sana mkuu. Je uliweka e mail au namba yako ya simu kupata recovery ya akaunti yako? Mdukuaji atakuwa kabadili email yako cha kufanya ingia kwenye email yako utapata meseji itakayokuwa imekutaarifu kuna mtu amebadili passowrd yako kwa hivyo utatakiwa uthibitishe kama ni wewe au sio wewe...
 12. poposindege

  Hatimaye! Unaweza kufanya malipo mtandaoni kwa M-Pesa

  Mkuu tumia hii *150*00# kisha ingia namba 4 LIPA kwa M-Pesa kisha 6 M-Pesa Mastercard, 1. Tengeneza Kadi
 13. poposindege

  Hatimaye! Unaweza kufanya malipo mtandaoni kwa M-Pesa

  Mkuu Mwl.RCT naomba unisaidie suala hili la kushindwa kununua bidhaa kwenye mtandao wa aliexpress. Tambua nishanunua bidhaa kadhaa kwa siku za nyuma. Kila nikijaribu kununua (Kuthibitisha manunuzi kwa kadi yangu) majibu ninayopata ni haya "For security reasons this process can not be continued...
 14. poposindege

  Hatimaye! Unaweza kufanya malipo mtandaoni kwa M-Pesa

  Pengine hakuna aliyejaribu kununua bidhaa kwa kutumia hiyo Master card ya Vodacom. Mimi nimejaribu kununua nikakatwa salio langu nililoweka kwenye master card yangu ya vodacom. Na nikatumiwa ujumbe nisubiri ndani ya saa 24 kuthibitisha manunuzi niliyofanya. Baada ya saa kadhaa ndio nikapata huo...
 15. poposindege

  Hatimaye! Unaweza kufanya malipo mtandaoni kwa M-Pesa

  Nimejaribu kununua kupitia Master card ya voda na haya ndio majibu baada ya masaa kadhaa kupita. Thank you for shopping on AliExpress ! We are sorry to inform you that we have to cancel your order for security reasons. To make sure your transaction is secure, please provide us with...
 16. poposindege

  Kadi yangu inakataa kufanya manunuzi online

  Ni BancABC. Nimenunua kwa Ebay imekubali kama kawaida. Shida ipo aliexpress. Pengine kutakuwa na utaratibu wa kurekebisha tatizo kama hilo. Na mimi binafsi natumia sana Aliexpress kwa sababu wauzaji wake wengi husafirisha TZ pia. Bidhaa nilizonunua Ebay imebidi nitumie Address ya jamaa yangu...
 17. poposindege

  Kadi yangu inakataa kufanya manunuzi online

  nadhani tatizo lipo Aliexpress, nimewasiliana na benki yangu hakuna tatizo lolote.
 18. poposindege

  Kadi yangu inakataa kufanya manunuzi online

  Nimejaribu kununua kupitia App ya aliexpress imekataa na kutoa majibu yale yale
 19. poposindege

  Kadi yangu inakataa kufanya manunuzi online

  Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. kila nikijaribu kununua kitu Online hususani mtandao wa Aliexpress majibu ninayopata ni haya "For security reasons this process can not be continued. ISC_RS_5100102051" tatizo nini na kadi ina pesa na imeshafanya manunuzi kadhaa kwa siku za nyuma.
Top