• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. chaliko

  Utu uko wapi?

  " Ndugu zangu tufanye Kazi huku tukimtanguliza MUNGU na kuchukua tahadhari dhidi ya Ugonjwa huu wa .....". Sauti ya mtu mmoja hivi ilisikika. Hee... kabla ya hapo Baba mwenye Nyumba si alisikia kuna nanihi... kwenye ile Nyumba anayokaa kule nanihi.... Siku chache tu akatoka nduki..... Hadi...
 2. chaliko

  Tundu Lissu amponza Kangi Lugola

  Salaam wote, Hii ni nyuma ya Pazia Siku za hivi karibuni kwenye Mitandao ya Kijamii zimeonekana picha mbalimbali za Wakili Msomi Tundu Lissu akiwa pamoja na baadhi ya Wanachama wa CHADEMA. Picha hizi zimepigwa kwenye Mazingira halisi ya Tanzania na ni Picha za Majuzi tu baada ya Mh. Tundu...
 3. chaliko

  Baraza la mtihani Tanzania (NECTA) hapa mmenichanganya

  Habari ndugu zangu wa Jf, Leo katika kuperuzi kwangu mitandaoni nikaona ngoja nipitie na Website ya NECTA ili na mimi niwe na taarifa za motomoto kutoka huko. Nilifanikiwa kuperuzi hapa na pale na pia kupata maarifa kidogo. Pia nikaona ngoja nisome kwa mara nyingine VISION na MISSION ya BARAZA...
 4. chaliko

  Trafiki Polisi hili mnaliwezaje?

  Habari members wote wa JF. Samahani naomba kuuliza hivi Jeshi la Polisi halina kitengo cha IT? Zamani ulikuwa ukitaka kujua kama Chombo Cha Moto kinadaiwa unabonyeza tu, *152*75# halafu unapata taarifa ya Chombo Cha Moto baada ya kufanya hatua kadhaa. Lakini siku za hivi karibuni (Ni Muda...
 5. chaliko

  Siasa za Kamanda Muroto na Kifo cha Sheikh Rashid Bura

  Amani iwe ndugu zangu wa Jamii Forum. Nimeisikiliza kwa Makini taarifa ya RPC wa Dodoma Ndugu Muroto juu ya Kifo cha Ndugu yetu Mpendwa Marehemu Sheikh Rashid Bura ambaye pia alikuwa Mkurugenzi wa The Dalai Islamic Centre. Awali ya yote napenda Jamii ifahamu kuwa; a/ Sheikh Rashid Bura...
 6. chaliko

  Rais Magufuli alizwa ujenzi wa ukuta Mirerani

  Ninawaslimu Members wote humu Kabla ya kujikita kwenye mada naomba nirejee kumbukumbu chache juu ya ujenzi wa UKUTA WA MERERANI DONDOO Ukuta huo una urefu wa kilomita 24.5 Ukuta huo un urefu wa mita tatu kwenda juu Umegharamia karibu bilioni 6 za Kitanzania NB: Billion 6 ni sawa na Km 24...
 7. chaliko

  Nimeamua kuwa mla rushwa ukijipendekeza nakula kichwa

  Naomba kuwasalimu wote. Binafsi kuanzia leo nImeamua kuwa MLA RUSHWA (Ya aina zote). Yaani yeyote atakaye jipendekeza kwangu nakula kichwa. Japo nitakuwa makini Sana juu ya mazingira ya kuchukulia Rushwa. Mbona wakubwa WANACHUKUA RUSHWA na wahasumbuliwi. Mfano; ✓ Hivi mnadhani DAB anapata...
 8. chaliko

  Nimekumbuka jinsi ambayo tulikuwa tukifanya udanganyifu kwenye mitihani ili tufaulu

  Nina wasalimu nyote... Wandugu leo nimekumbuka jinsi ambayo tulikuwa tukifanya UDANGANYIFU kwenye Mitihani ili tufaulu. Yaani tulikuwa mtu kama 4 hivi. Mbinu tulizotumia: 1. Zamani kabla Computer hazijaanza kutumika Kuchapa Mitihani, Shule nyinyi zilikuwa zinatumia TYPE WRITER. Sasa kwenye...
 9. chaliko

  Ndugu Pena, unoko wako utakuponza

  Habari Ndugu zanga wa JF? Nadhani wote tunafahamu kuwa Ndugu PENA hivi majuzi tu alikuwa na Mazungumzo na Mzee Meko. Dhana ya Mazungumzo ni kuomba Msamaha ( Wengi tulijulishwa Hilo). Lakini kabla ya Ndugu PENA Kuna wengine pia walienda kuomba Msamaha. Njia ya kuomba msamaha kwa Ndugu PENA...
 10. chaliko

  Je, tenda ya ujenzi wa Uwanja wa ndege wa kimataifa Msalato imeshatangazwa?

  Nawasalimu wote, Kwanza naomba niweke kumbukumbu hapa chini. "Rais Dkt John Magufuli ametoa maelekezo kwa Mkurugenzi Mkuu wakala wa barabara wa nchini TANROADS pamoja na Wizara ya ujenzi uchukuzi na mawasiliano kutangaza tenda ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa kimataifa wa msalato Mkoani Dodoma...
 11. chaliko

  Swali fikirishi kuhusu Biblia Takatifu na Quran Tukufu.

  Habari Ndugu, Jamaa na Marafiki ya JF? Leo naomba niulize jambo ambalo huwa linanitatiza. "VITABU HIVI VYA BIBLIA TAKATIFU na QURAN TUKUFU, VINAPOCHAKAA HUWA VINAPELEKWA WAPI au VINAFANYWAJE?" Msaada wa maarifa tafadhali.
 12. chaliko

  Ajali ya Morogoro ni kafara?

  Salama JF members, Pole kwa wale waliopata msiba na majeruhi katika ajali ya Morogoro. Mola awajalie marehemu wote Pumziko la Amani AMINA. Naomba niende kwenye Mada husika, Binafsi najiuliza kama ajali ya Morogoro ni KAFARA au SIYO KAFARA. Naomba kuainisha sababu zangu Kuu 2. 1. Eneo la...
 13. chaliko

  Tuendako Magaidi watashangiliwa

  Naomba niwasalimu Ndugu zangu. Pia naomba niwape pole wale wote ambao Familia zao zimepoteza Ndugu kwa sababu ya matukio ya Kigaidi kule Mtwara. "MUNGU AZILAZE ROHO ZAO MAREHRMU MAHALI PEMA PEPONI. AMINA" Naomba sasa nijikite kwenye mada husika. Nimefikiri kwa kina na Kujiridhisha ya kuwa...
 14. chaliko

  Ahadi ya Herode ilivyomponza JPM

  Ninawasalimu wandugu wote wa JF. Naomba nirejee kwenye Biblia Takatifu Kitabu cha Muinjili Marko 6 : 21 - 27 [ 21 Baadaye Herodia alipata nafasi aliyokuwa akiitafuta. Wakati wa sikukuu ya kuzaliwa kwa mfalme Herode, mfalme alifanya sherehe kubwa, akawaalika viongozi wakuu wa ikulu, makamanda...
 15. chaliko

  Ni wakati wa Kanisa Katoliki kusimama na kukemea,Askofu Shoo ameonesha njia.Waumini wana manung'uniko

  Kwanza ndugu zangu wa JF naomba niwasalimu wote. Pili naomba niseme ukweli wangu kutoka moyoni ya kuwa Leo katika Ibada ya Mazishi ya DR. MENGI, nimefurahishwa sana na kile alichosema ASKOFU DR. SHOO. Sababu kubwa ni hizi; i.Amesema ukweli bila kuogopa kama muhusika yupo au la. ii.Amewasemea...
 16. chaliko

  WANA-YANGA KARIBUNI, WATANI ZETU MTUSAIDIE MAWAZO.

  Naomba niwasalimu wana JF wote. Nasikitika kuona Yanga wakichangishana Mara kwa Mara ili kupata FEDHA ya kuendeshea timu. Naomba nilete njia mbadala ya kuondokana na hali hii kwa WANAYANGA. Naomba nitoe Somo kidogo kwa YANGA. i.Yanga inahitaji kubadili mfumo wa uongozi na uendeshaji timu...
Top