• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. K

  Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

  Dr lulu mahai, Dr maro ,tage biswalo mmarekani mungu akupe maisha marefu
 2. K

  Wazee wa ndago tukutane hapa!

  Kauzi katamu balaaa nasikia mwingine alipewa sharti la kuwa anajisaidia nyumbani kwake hapo ndo patamu
 3. K

  Kweli maisha connection

  Hata kufa Kuna connection bila connection Israel mtoa roho utamsikia mbali
 4. K

  Ukweli Mchungu: Kanda ya Kaskazini Magharibi ina wakazi zaidi ya million 150

  Write your reply...digrii yako ya kusifia ccm huwa haikusadii chochote
 5. K

  Wadau nipeni uzoefu na ujanja wa kukwepa chuma ulete

  Write your reply...chukua mfupa wa mbwa aliyejifia au aliyegongwa uchanganye kwenye pesa zako au ulizia mfupa wa nguruwe pori pesa zako hazitakimbia
 6. K

  Je unaamini katika uchawi na ulozi? utajiri wa kichawi?

  Write your reply...tupo wengi hapa ila wengi watajifanya wafia dini balaa ila wengi tunatumia mzizi
 7. K

  DC Bukoba apiga marufuku uvunaji wa senene usiku kwenye makazi ya watu

  Write your reply...hatari kweli kweli huyo dc hana maisha marefu ya utenguzi
 8. K

  Ajira kwa misingi ya vyama italivuruga Taifa

  Write your reply...hiyo ni kweli kuna rafiki t aliniambia nipeleke cv yangu kwa kiongozi wa uvccm nikakataa naona ni upuuzi tu katika maisha yangu mambo ya kusifu na kuabudu siyawezi
 9. K

  Kwanini watawala wetu hawaogopi kuiingiza nchi yetu katika machafuko?

  Wewe naona ndo umechipukia kuitetea ccm
 10. K

  Ukiona kila mnapomaliza anaenda kunawa/kuoga, huyo ni baharia wa nchi kavu

  Si anajisafisha? Mwanzoni nilikuwa namkataza ila mkija kufika asubuhi kunakuwa na ka harufu ka ugwadu huo ni usafi wa kawaida sana asiponawa zinakuawa zinatiririka
 11. K

  Hili jambo la leo limenitoa machozi kwa kweli

  Natamani nikutane na tajiri mtoto wa Jamii Forums baba lao Kiduku Lilo.
 12. K

  Elections 2020 Kura zipigwe kwa kwa kutumia simu/kompyuta, uchaguzi 2020

  si unaona watu wa masaki it wa bao la mkono walivyotaka kuleta tabu na watu wa it waliochukuliwa na marope kutoka mlimani city tallying center ni muhimu japo watu wanaweza kuzihack
 13. K

  Utakuwa umemsaidia mtoto wako sana akijua Kichina kuliko lugha yako ya asili

  Ni hao' ni shentie hao na?
 14. K

  Pale Gerezani Mukamira Rwanda wapo kila raia kutoka nchi zote A.Mashariki, hasa wakosoaji wakuu wa utawala na utalazimishwa kukiri kosa au kuuawa

  Write your reply...Ngumu kumeza hii tuseme ben8 , azory na wengineo wapo huko
 15. K

  Rais Magufuli, so far, is the best president this country has ever had!. Msikivu, ana upendo na huruma. Atabarikiwa sana!, Tanzania itabarikiwa!.

  Tatizo ni kujipendekeza huku unauma huku unapuliza la muhimu kushukuru ni kwamba unajipambanua kuwa verified user
 16. K

  Wapinzani Waonewe Uchaguzi Mkuu 2020

  Sijui umesomea degree gani ya ngumbaru
 17. K

  DARUSO wamshukia kama mwewe Mhadhiri wao baada ya kusema wanafunzi UDSM hawajui kuoga ni wachafu

  Yale mabweni ya hall 5, 2, 3 bado yana hali ile ile ? Au angalau yamepakiwa rangi?
 18. K

  Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

  Ningumanya ge nagwo ngutumia na omlibata
 19. K

  Wewe kaka wa JF umekuwa na papara hadi nimeshtuka

  Ungejiongeza ona sasa nauli inaharibika buree mwisho wa siku tutapata thread za wale wanaume tuliotuma nauli madem wakaingia mitini
Top