• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. NJUGHU

  Kuna haja ya Jamii Forum Kutenga au kufilter forum kutokana Na muda mchangiaji Aliye jiunga

  Napendekeza hii hoja maana kuna wachangiaji wanapoteza kabisa umakini wa jukwaa hili lilokuwa bora lenye magreat thinkers. Ukiangalia wachangiaji wanao haribu ni wale waliojiunga 2019. Uchangiaji usio jibu hoja au kuchangia hoja kwa hoja Bali vijembe na ushabiki wa kiaiasa . Ni wazo tu naomba...
 2. NJUGHU

  WAZIRI WA ELIMU HILI UNALIJUA?

  Msimu wa usajili wa wanafunzi wa darasa la saba kuingia shule binafsi au za mashirika ya dini umeungia Na ndio msimu mzuri wa biashara ila sasa umefikia kiwango cha kuwaumiza wazazi. Wazazi sasa wanauziwa fomu za kujiandikisha kufanya mitihani Na kuchangia si pungufu ya elfu kumi. Watoto...
 3. NJUGHU

  Nyamagana Mwanza: Utozaji wa loss report form kwa tsh 1,000/= ni halali?

  Kutokana na mfumo wa sasa kupoteza line za simu sasa imekuwa kero maana raia wanalipa TSH 500/= ambayo yenyewe inakatiwa risiti haina shida japo foleni ndefu Kero iliyopo Police cetral NYAMAGANA Mwanza ni pale inapotokea copy ya loss report office ya OCD inaposainiwa na kugongwa muhuri. Bila...
 4. NJUGHU

  Huu ni muda muafaka kwa nafasi ya Rais kusimamia anachokiamini.

  Watanzania tuungane katika hivi vita vya kiuchumi kwa ajili ya vizazi vijavyo. Kumekuwa na maneno mengi kwamba ni CCM ndio imetufikisha hapa, hakuna anaebisha maana hata wapinzani walikuwa wanaccm,kumbe tumefikishana hapa wote. Vita hivi ni vigumu, Rais ameonyesha nia dhabiti,wapo wanadai mbona...
 5. NJUGHU

  Sera ya CCM na ACT-Wazalendo ya Ujamaa na Azimio la Arusha na Tabora zinafanana

  Teuzi za kutoka ACT-Wazalendo zimeonekana kuwa ni kuua upinzani lakini ukiangalia kwa umakini ni jambo jema la kuuweka Utanzania mbele zaidi kwa maslahi ya nchi zaidi. Hili ni jambo jema na kutoa changamoto hasa kwa wanaccm kuamini wao tu ndio wenye kustahili katika ujenzi wa Taifa. Rais...
 6. NJUGHU

  VYAMA WAFANYAKAZI WAUMA VIWE NA MAJIBU HAYA.

  Vyama vya wafanyakazi sekta ya umma vinawajibu wakuwajibu wafanyakazi wake kuhusu hatima ya kusitushwa kwa upandaji vyeo,malipo stahiki ya watumushi na zoezi la uhamisho kwa walio omba baada ya zoezi nyeti la uhakiki. Vyama hivi vinajipatia mapato makubwa toka makato ya uchangiaji toka kwa...
 7. NJUGHU

  VYAMA WAFANYAKAZI WAUMA VIWE NA MAJIBU HAYA.

  Vyama vya wafanyakazi sekta ya umma vinawajibu wakuwajibu wafanyakazi wake kuhusu hatima ya kusitushwa kwa upandaji vyeo,malipo stahiki ya watumushi na zoezi la uhamisho kwa walio omba baada ya zoezi nyeti la uhakiki. Vyama hivi vinajipatia mapato makubwa toka makato ya uchangiaji toka kwa...
 8. NJUGHU

  Hii project ya Tanzania Democracy Support Project ipo?

  Imetangaza nafasi za kazi na walio chaguliwa wanatakiwa kutoa gharama za verification ya vyeti kupitia mpesa, je hii project ni ya kweli maana na mdogo Wangu anaomba fedha hiyo asije tapeliwa na mitandao. Nijuzeni.
 9. NJUGHU

  Wanasiasa watupe strategies namna watakavyo tatua matatizo sio ahadi

  Imefika muda sasa wanasiasa wawe wazi kwa kila tatizo,chanzo cha tatizo na walink sera za vyama vyao na vision/mission na objective zao watakavyotekeleza ahadi wanazotupa. Wanatuahadi watakuza elimu,afya,uchumi na maisha bora kwa kila mtanzania. Watanzania waleo si wakupewa ahadi za...
 10. NJUGHU

  Mwigulu kuipeleka Tanzania tunapotaka

  Kutokana na hali ya Tanzania,baada ya Kikwete kukamilisha miundo mbinu kama barabara na ujenzi wa mashule,umeme kufika vijijini,tunahitaji mrithi ambaye atapigana na rushwa,atakaye kusanya mapato na kusimamia vizuri matumizi ya walipa kodi,atakaye rudisha uzalendo wa watanzania. Ni dhajiri...
 11. NJUGHU

  Ganzi ya Kihistoria

  Baada ya matokeo ya kupitishwa kila mtu amepigwa na bumbuwazi na kama vile dunia ilisimama kwa Tanzania hata wa upande wa CCM maana walijua kwa logic ya kawaida kwamba akidi haitoshi tukimnukuu Mwigulu.Na watanzania wote si UKAWA wala viongozi wa kidini kila moja amebaki kimya! Je huu ni...
 12. NJUGHU

  Kuna haja ya kuweka kipengele cha serikali ya mseto

  Kama tunaandaa katiba ya kudumu miaka 100,ili kuduimisha amani na uwiano sawa wa maamuzi ya wananchi kuna haja ya kuwa na kipengele hiki. Tanzania ni yetu sote hivyo kungoongoza tu kwa kuwa na kura zaidi si haki,mfano asilimia 5O.1 na 49.9 wale walioshinda waongoze na kuwatawala waliochini 49.9...
 13. NJUGHU

  Faida kubwa za serikali tatu na maoni ya tume ya Warioba.

  UWAJIBIKAJI(Responsibility) Uwepo wa dola yenye fedha,Tanganyika au Zanzibar na dola yenye Jeshi Tanzania kutatoa ukiritimba wa ufisadi ambao hutokea na hamna paka wa kumfunga mwenzie kengele.mf.Rais wa muungano anaweza toa msimamo kwa serikali kuwajibika hasa inapotokea mambo kama ya...
 14. NJUGHU

  Kwa utajiri wa rasilimali za Tanzania,mkono wa mataifa Tajiri kwenye siasa zetu utaepukika?

  Urafiki wa mabepari huwa ni wa kihindi,kwa utajiri wa Zaire ya zamani,wamegombanishwa hakuna amani. Libya walipewa kila kitu lakini wakamsaliti Kadaff matajiri wakitaka mafuta,Irak,Iran na hata Nigeria vivyo hivyo hapajatulia? Watanzania wenye madini lukuki,utalii,gasi,maziwa yenye samaki,na...
Top