• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. S

  Waziri Ummy Mwalimu afanya ziara ya kushtukiza Mloganzila

  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu amewataka Watanzania kuwa na imani na huduma za afya zinazotolewa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila. Waziri Ummy ameyasema hayo leo mara baada ya kufanya ziara hospitalini hapa kwa lengo la kufahamu...
 2. S

  Hospitali ya Taifa Muhimbili yajibu hoja za Wana JamiiForums kuhusu vifo Hospitali ya Muhimbili-Mloganzila

  TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TUHUMA ZINAZOSAMBAA MITANDAONI KWAMBA WAGONJWA WENGI WANAPOTEZA MAISHA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI-MLOGANZILA. Dar es Salaam. 06 Januari, 2020 Kumekuwa na taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo Jamii Forum ambazo bila kuchanganua zinatuhumu kwamba...
 3. S

  Rais Magufuli, ukiwa unatoka Chato pitia Hospitali ya Mlonganzila iliyobatizwa Vingunguti

  Hizi taarifa siyo za kweli jamani , Uongozi wa Hospitali umekuja na takwimu , vifo vimepungua.
 4. S

  Mama ni dhahabu ukimkosa utapata shida; ahimidiwe mfariji wetu Mungu wa mbinguni

  Huu uzi umenikumbusha usiku wa tarehe 7.11.2006 ,nikiwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza udsm. Nilirudi nyumbani kwa maoumziko ya weekend mnamo tar 4 ambapo nilimkuta mam Yangu mpendwa amepika chapati na njegere alinisihi nile ila by thn sikuwa na hamu ya kula kbs ila ilinibidi nile kidogo...
 5. S

  Uwezekano wa kuhama Mfuko wa Hifadhi ya Jamii

  Wadau, Naombeni msaada juu ya hili,mm ni mtumishi wa Umma ni mtumishi mpya,kwa bahati mbaya sikupata maelezo ya kutosha juu ya mifuko mbalimbali ya hifadhi ya jamii nimejikuta nimejiunga na mfuko ambao hauna mafao bora hivyo nataka kuhama kuhamia mfuko mwingine,swali langu je inawezekana kwa...
 6. S

  Uwezekano wa kuhama Mfuko wa Hifadhi ya Jamii

  Wadau, Naombeni msaada juu ya hili,mm ni mtumishi wa Umma ni mtumishi mpya,kwa bahati mbaya sikupata maelezo ya kutosha juu ya mifuko mbalimbali ya hifadhi ya jamii nimejikuta nimejiunga na mfuko ambao hauna mafao bora hivyo nataka kuhama kuhamia mfuko mwingine,swali langu je inawezekana kwa...
 7. S

  Karibuni Tamasha la kimataifa la 33 la sanaa na utamaduni Bagamoyo

  Tamasha hili litahusisha vikundi vya nndani vya Tanzania,jumla ya vikundi 136 vimethibitisha kushiriki vikiwemo vikundi 5 kutoka nje ya nchi vikundi hvyo ni kutoka norway,german,kenya na bbrazil Tamasha hili ambalo hufanyika kila mwaka huandaliwa na taasisi ya sanaa ns utamaduni...
 8. S

  Kwa wakazi na wenyeji wa Bagamoyo

  Habari wadau, Natafuta nyumba ya kupanga bagamoyo mjini maeneo ya sanaa au jiran na hapo,natafua nyumba yenye chumba kimoja,siting room na choo cha kujitegema dau langu ni kati ya 100000 na 120000 msaada tafadhali
 9. S

  Mjumbe mwenye umri mdogo BMK ataka bunge lisitishwe

  wasaka tonge kazini
 10. S

  Wale waliomba awareness creation officer

  mwaka jana watu walidhulumiwa hawa jamaa wezi.
 11. S

  Ukweli kuhusu YAP-Tanzania

  Matapeli hao achaneni nao,transaction zote za kiofisi zinafanyika through bank,wao wametoa namba za simu,wezi hao wanataka kuwaibia wadogo zetu.
 12. S

  Ukweli kuhusu YAP-Tanzania

 13. S

  Operation manager

  Okwili hiyo nafasi tayari imepata mtu,hata sijui kwa nini umeweka hili tangazo humu.
 14. S

  Toyota Starlet

  Maongezi yapo kdg mkuu
 15. S

  Toyota Starlet

  kaka namaanisha ukitoa hyo na usajili unafanyiwa hiyo ni bei ya full
 16. S

  Toyota Starlet

  Nauza Toyota starlet just imported from Japan,haijasajiliwa bado Engine ipo safi sana,bei ni Mil 7.5 maongezi yapo kidogo,serious buyer aniPM for more details
 17. S

  Nahitaji used mashine ya kufulia pamoja digital printing t shirt machine

  Mimi ninayo mashine ya kufulia mpya kabisa aina ya Samsung kama utahitaji ni PM
 18. S

  Kwa nini Rais Aboud Jumbe wa Zanzibarhakualikwa kwenye Bunge la Katiba kesho atakapohutubia Kikwete?

  jamani lawama zote ni kwa maalimu seif sharif hamad yeye ndio kwa uroho na kujipendekeza kwake kwa mwalimu aliiba hati ya madai ya zbr huru kwa aboud jumbe akaipeleka kwa mwalimu hii ilipelekea jumbe atolewe madarakani kimya kimya na kupigwa ban kule mjimwema ally hassan mwinyi akakaimu kwa...
 19. S

  Mh. Kikwete, Tundu hatafuti umaarufu wa kisiasa!

  Dah masikini zakumi,inaonesha hata unachokiongea hukijui.
 20. S

  Mh. Kikwete, Tundu hatafuti umaarufu wa kisiasa!

  Wewe zakumi nawasiwasi sana na uwezo wako wa kufikiri,kinachozungumziwa hapa c degree ya udsm au out,kinachozungumziwa ni 1st degree inayomfanya mtu aqualify kuwa jaji.sasa kuna jaji ameteuliwa hata 1st degree hana ndio kwanza anasoma out.acha kudandia gari kwa mbele.
Top