• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. chaliko

  Kama ukiweza bembeleza watoto walale

  Mficha Maradhi, kifo kita-muumbua. Sent using Jamii Forums mobile app
 2. chaliko

  Rais Magufuli njoo Mtumba Dodoma usikilize kero kutoka kwa wananchi

  Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma na huyu Ndugu Mwakasitu ni MAJIPU. Mkurugenzi hafanyi Kazi kabisa, yaana kama una suala pa Muhimu Bora kukimbilia kwa Mh. Mkuu wa Wilaya. Ila huyu Mkurugenzi ni too much ceremonial. Mwakasitu anawasumbua sana Wazee fulani kule Msalato. TANESCO walichukua maeneo...
 3. chaliko

  Mafunzo ya Mtume Mohammed kukusu COVID -19

  Uwe online, ili Wanazuoni wakija ujibu mashambulizi. Sent using Jamii Forums mobile app
 4. chaliko

  Spika Ndugai: Hali ya watanzania ni ngumu, ni maskini sana wanaishi kwa kubangaiza, tukifunga nchi hawataweza kula

  Ukiona Baba anaanza kunywa Kahawa na Tangawizi za 100 ujue mbele kuna hatari. Sent using Jamii Forums mobile app
 5. chaliko

  Utu uko wapi?

  " Ndugu zangu tufanye Kazi huku tukimtanguliza MUNGU na kuchukua tahadhari dhidi ya Ugonjwa huu wa .....". Sauti ya mtu mmoja hivi ilisikika. Hee... kabla ya hapo Baba mwenye Nyumba si alisikia kuna nanihi... kwenye ile Nyumba anayokaa kule nanihi.... Siku chache tu akatoka nduki..... Hadi...
 6. chaliko

  Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

  Hivi huu ugonjwa umefika kweli Tanzania au tunatishana tishana? Nimejiuliza tu, mnisamehe kama nimekosea. Sent using Jamii Forums mobile app
 7. chaliko

  Mbunge Elibariki Kingu alalamikiwa kutukana, kutishia kudhalilisha viongozi wa dini

  100% Kwa ulevi huu tutaona mengi sana. Sent using Jamii Forums mobile app
 8. chaliko

  Elections 2020 Mwenyekiti wangu jihadhari kwa CHADEMA hii kuna kitu mbele yao we hujui tuu

  CCM Kimekuwa Chama cha hovyo sana. Yaani kinategwa na chenyewe kinaingia mtegoni kiboyaboya.
 9. chaliko

  Wizara ya Afya: Mloganzila si karantini ya wagonjwa wa corona, Tanzania hakuna mgonjwa wa virusi hivyo

  Huu ugonjwa mbona una tiba Mkuu. Sema wazungu wanachelewa na Mambo yao ya Maabara. Sent using Jamii Forums mobile app
 10. chaliko

  Wizara ya Afya: Mloganzila si karantini ya wagonjwa wa corona, Tanzania hakuna mgonjwa wa virusi hivyo

  Tunatishana sana au ni Njia ya kututoa kwenye kujadili suala la Viongozi wa CHADEMA. Fanya haya ili usikupate au kuongeza kinga yako. 1. Kunywa maji mengi ila siyo ya baridi. 2. Kula vitu vyenye Vitamini A kwa wingi kama Matunda 3. Epuka msongamano, kushikana na watu na pia kushika sehemu...
 11. chaliko

  Siku si nyingi mtabaki wenyewe

  [ Juzi juzi WB wakazingua, watu weweeeeeeeeee full shangwe dah! Watu wakikuchoka bhana, hawaangalii hata hasara aisee. Sasa, mimacho keshaenda kuwavulia beberu, kiburi chote kwishiney, mabeberu wanakula mzigo tu hahahaaaaa wanakula tunda "kimasihara" ]. Khaaaa.... Sent using Jamii...
 12. chaliko

  Kama unatafuta gari ya bei ndogo basi ingia hapa

  Mkuu, mbona kila gari unalifungulia topic yake?. Binafsi naomba ufungue topic moja halafu kila Tangazo uliweka humo. Mfumo huu unaotumia utawachosha wasomi na wataacha kukufuatilia. Sent using Jamii Forums mobile app
 13. chaliko

  TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

  Asanteni kwa kuipokea taarifa yangu. Sent using Jamii Forums mobile app
 14. chaliko

  Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

  Unataka akutafute wapi na ili iweje? Mbona hukumbuki ulichoandika Mwisho kabisa wa Mada yako. Simamia ulichoahidi na siyo kuwa kigeugeu. Naomba nikukumushe ulichoahidi, "Kama kuna maswali kunihusu, nitayajibu hapahapa" Sent using Jamii Forums mobile app
 15. chaliko

  Barabara ya Ntyuka Dodoma inatia aibu

  Nilikuwa pale UZUNGUNI majuzi wakati nafuatilia habari Fulani hivi kuhusu Ndugu zangu Wagogo. Nilipopata fursa ya kuelekea Mvumi Hospitali ( Hospitali kubwa kwa ajili ya tiba ya Macho ) nilishangaa sana kuona jinsi njia hiyo inayopita Ntyuka ilivyo mbaya. Mamlaka husika zinatia aibu...
 16. chaliko

  TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

  Kwanza, Naomba niwapongeze TANESCO kwa ushirikiano mkubwa ambao mmekuwa mkiutoa katika Jukwaa hili. Pili niliuliza suala la TANESCO ambayo IMETWAA NA KUZUIA uendelezaji wa maeneo ya watu wa MSALATO bila kuwalipa FIDIA TANGU 2018. (#6802) Jibu nililopewa nimeambatanisha katika ujumbe huu...
 17. chaliko

  Askofu Benson Bagonza: Hekima, umoja na amani hizi ni ngao zetu

  Andiko zuri sana, Wakati mwingine Baba Askofu akiwa anaandika awe anaweka na Rejea (Reference) kutoka kwenye Biblia. Sent using Jamii Forums mobile app
 18. chaliko

  Tundu Lissu amponza Kangi Lugola

  Amini huyu Mtu alikuja Bongo, habari hazikuandikwa kwa sababu WAANDISHI wa habari waliogopa kuripoti ama kwa kuogopa kupotezwa au vyombo vyao vya habari kufungiwa. Sent using Jamii Forums mobile app
 19. chaliko

  Tundu Lissu amponza Kangi Lugola

  Chakulolinga In this forum yuo can't avoid challenges Sent using Jamii Forums mobile app
 20. chaliko

  Tundu Lissu amponza Kangi Lugola

  Hiyo ilikuwa ni namna ya kusawazisha mambo ili kuficha sababu ya msingi. Hebu Jiulize; 1. Waziri anaweza kusafiri kwenda Nje ya Nchi bila Mh. Raisi kujua? 2. Waziri anaweza ku-saini Mkataba bila Mh. Raisi kujua? 3. Waziri anaweza kurudi toka Nje ya Nchi na akaendelea na Shughuli take bila...
Top