• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. tryvenak

  Tujifunze kitu leo:

  Angalia vizuri hii picha! Hapa ndipo atakapozikwa aliyekuwa Bilionea na Kipenzi cha Watanzania Dr Reginald Mengi. Shughuli ya Uchimbaji Kaburi inaendelea,Kati ya hao Vijana unaowaona kuna Bilionea unayemjua?? Kuna Mfanyabiashara Mkubwa Tanzania unayemjua?! Kuna Superstar Mkubwa unayemjua...
 2. tryvenak

  MTAZAMO;

  Badala ya kuzipa barabara majina ya viongozi na watu maarufu ni vyema tunazipa barabara hizi majina ya wakandarasi wanaozijenga, tukiweka bango La mahali anakopatikana na namba zake. Hii itasaidia kuwa naa barabara nzuri haraka sana.
 3. tryvenak

  Habari picha

  Ina ukweli kwa asilimia ngapi
 4. tryvenak

  Let us Lough Together

  Imagine coming back from work and your kids call you Daddy! Daddy! We have washed your Laptop. What will be your reaction? Sent using My bundle
 5. tryvenak

  Huu ndo ukweli.

  TOFAUTI YA UCHANGIAJI WA MADA KTK SOCIAL NETWK KATI YA MAREKANI NA BONGO: Hello, Naitwa Sandra, Nipo New York, nampenda mume wangu Sana, naweza kufanya chochote ili nimridhishe na kumfurahisha.. Lakini hivi karibuni, nimetokea kumpenda binamu wa mume wangu.. Tena mapenzi mazito.. Naombeni...
 6. tryvenak

  Huu ndo ukweli.

  TOFAUTI YA UCHANGIAJI WA MADA KTK FACEBOOK, KATI YA MAREKANI NA BONGO: Hello, Naitwa Sandra, Nipo New York, nampenda mume wangu Sana, naweza kufanya chochote ili nimridhishe na kumfurahisha.. Lakini hivi karibuni, nimetokea kumpenda binamu wa mume wangu.. Tena mapenzi mazito.. Naombeni ushauri...
 7. tryvenak

  Huu ndo ukweli.

  TOFAUTI YA UCHANGIAJI WA MADA KTK FACEBOOK, KATI YA MAREKANI NA BONGO: Hello, Naitwa Sandra, Nipo New York, nampenda mume wangu Sana, naweza kufanya chochote ili nimridhishe na kumfurahisha.. Lakini hivi karibuni, nimetokea kumpenda binamu wa mume wangu.. Tena mapenzi mazito.. Naombeni ushauri...
 8. tryvenak

  Inaaminika kuwa, mpaka anafariki Mwanasayansi Isaac Newton hakuwahi kukutana kimwili na mwanamke yeyote

  Inaaminika kuwa, mpaka anafariki Mwanasayansi Isaac Newton hakuwahi kukutana kimwili na mwanamke yeyote yule. Alifariki mwaka 1727 akiwa na miaka 84 ikiaminika bado bikira. Source: History News Network Sent using My bundle
 9. tryvenak

  Hii ni kwa mabaharia wote wanafanya Oral exams

  INTERVIEW QUESTIONS AND ANSWERS ( SAFETY FIRST ) 1. What is Fire? Ans: Fire is a chemical chain reaction, were required three elements (1) Heat (2) Oxygen (3) Fuel. 2. How many types of fire classifications are there and what are those? Ans: There are five types, A.B.C.D.K Class A: Ordinary...
 10. tryvenak

  Demu wangu sijui ananifanyia makusudi?

  Ebhana me nina dem wangu na tumeishi kwa muda kwenye mahusiano. Yeye anakaa kwao me niko zangu gheto,siku za nyuma alikuwa anakuja nakula mzigo kawaida ila siku hzi simuelewi kabsa kila akipanga kuja gheto anakuja akiwa kwenye siku zake(Period) jambo ambalo limekuwa kero na najikuta namis...
 11. tryvenak

  Wakali wa fashion

  Kwa wale wakali wa fashion wasiopitwa na ingizo jipya mjini Huo mzgo ushafika fanya kuweka order yako mapema.
 12. tryvenak

  Hii ndo hali halisi ya wafanya kazi

  Ona hbr picha
 13. tryvenak

  Kuongeza ela kwenye card za mwendo kasi

  Wadau napenda kujua kwa watumiaji wa kadi za mwendo kasi kama tumezuiliwa kuongeza salio kwenye kadi kwa njia ya simu, maana tayari kwenye vituo kadi haziwekwei ela. Nimejarbu kwa njia ya simu napo naona inagoma. Mwenye kufaham tatzo hili anijuze. Au na hizi kadi zimeenda na max malipo [emoji24]
 14. tryvenak

  Waandamanaji wa kidigital, walinzi wa analog.

  Wanaosema maandamano yameshindikana sio kweli. Tatzo tumepishana. Waandamanaji wameandamana kidigital alafu police wakazuia maandamano ki analog. Me nategemea police wazuie maandamano mtandaon alafu wao wanaenda barabaran, jambo ambalo wamejikuta wako barabaran peke yao hku maandamano...
 15. tryvenak

  Je haya mambo yaliwahi kupata muafaka?

  1.Kampeni ya kujenga ofsi za walimu 2.Kero za wakazi wa Dsm 3.Madawa ya kulevya 4.Omba omba kuondoka Dsm 5.Wanawake waliotelekezwa na waume zao 6.Wanaume kupimwa tezi dume.
 16. tryvenak

  Kwanini wadada mnakuwa wachafu kiasi hiki?

  Ndugu wana JF, Nimeona nilete uzi huu kwenu, Unakuta mdada ni mrembo tena anavutia ila sasa upande wa pili ni mchafu kupindukia. Simaanishi uchafu wa mwili la asha. Yani unakuta labda kaja kukutembelea ghetto kwa siku kadhaa ila utashangaa ni mtu ambaye yuko careless yani hawezi ata kupiga...
 17. tryvenak

  Kuna mjadala mzito unaendelea juu ya video ya 'Monalisa' akipokea tuzo kwa niaba ya Rais Magufuli

  Kuna mjadala mzito unaendelea juu ya ile clip ya monalisa akitoa shukran baada ya kutokea tuzo kwa niaba ya mkulu. Kuna wanaodai kuwa ile clip sio ya ukweli kutokana na mazingira alafu na jinsi mtoa shukran anavyo present shukran zake kwa kusoma kwenye simu
 18. tryvenak

  Msaada: Vyuo vinavyotoa kozi za wanyamapori, kilimo na mifugo

  Naomba kwa mwenye kufaham colleges zinazotoa course za wildlife animals, kilimo na mifugo, au misitu kuanzia ngazi ya certificate anifahamishe.
 19. tryvenak

  Waliozaliwa siku kama ya leo njoo tuwa wish happy birthday [emoji512]

  Kama umezaliwa cku ya leo pita kwenye huu uzi ujinyakulie best wishes kibao. Mambo yakiwa mazuri zaidi cake [emoji512] zitatumwa hko uliko Karbu.
 20. tryvenak

  Watu ambao nataman kuonana nao.

  Hello wana chamvi, tangu nijiunge na mtandao the huu wa Jf nimekuwa nikifatilia baadhi ya thread za watu na hawa ndo nilitaman kuonana nao live (mubashara) 1.Demiss 2.Mzigua 3.Bujibuji 4.Mshana Jr 5.Miss natafta. So kama upo tayr plz nipe appointment yako.
Top