• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. A

  Tahadhari kwa Wagombea Ubunge wa Chadema na ACT, Bara na Visiwani

  Ninapungia mkononi tu.Tukutane Oktoba hii 2020.Endeleeni kuunyima Bongo wenu hewa safi. Sent using Jamii Forums mobile app
 2. A

  Nimemkumbuka sana RC John Mhaville wa Dar es Salaam wakati tukiwa vijana, alikuwa hana mizaha awapo kazini au nyumbani

  Kila masika ina m'mbu wake. Sent using Jamii Forums mobile app
 3. A

  Mungu aliruhusu Polepole aingie Segerea na msafara wake kwasababu alijua binadamu walipanga kufanya nini baadae kwa wafuasi wa CHADEMA hapo Segerea

  Chama kinachotembelea "spea taili." Na petrol ya kuunga unga. CHADEMA. Tukutane Oktoba 2020 Sent using Jamii Forums mobile app
 4. A

  Halima Mdee: Niko imara kuliko jana

  Usipotii sheria bila shuruti, utashurutishwa kuitii sheria. Na wenye taaluma hiyo wapo na wamefundishwa na pia wameongezewa vitendea kazi vinavyonunuliwa kwa kodi ya Wananchi. Amelia kama Bia/Soda kwenye CHUMA isipo kizibo.Ukizitikisa tu vimiminika vitafoka na kumwagika.Si mmeejaribu na mmeona...
 5. A

  Elections 2020 CHADEMA zibeni matundu haya kunusuru pesa zenu

  Taarifa kwa Muktasari,itakupa Swahili njema.Ni utafiti ulioshiba KWELI. Mkubwa wa kubadili gea angani amesahau Parachuti sasa ndege yaelekea kuanguka,sijui atajiokoa vipi! Aria waziri kupukutika,ataingiaje mchezo hapo Oktoba 2020.Ama kweli "Sikio la kufa,halisia dawa". Sent using Jamii Forums...
 6. A

  CHADEMA inakeraje? Inatishaje? Mbona ni wepesi tu kisiasa!

  Chadema Haina nguvu tena.Kama ni mambo yale,Ni njoka wa Kibisa. Kush nei! Sent using Jamii Forums mobile app
 7. A

  Mateso, udhalilishaji na uhuni wanaofanyiwa CHADEMA tuseme inatosha

  Umevurugikiwa kwa kupukutika Viongozi kwenye Yale maeneo mliyojizatiti kama ngome zenu Arusha na Mbaya na kwingineko.Jihesabuni huenda"Train" ikakosa abiria hapo Oktoba 2020. Usipotii sheria bila shuruti, utashurutishwa kutii sheria na hapo ndipo mnaanza kuwalaumu "Law enforcers"watunishapo...
 8. A

  Kwanini Serikali iliamua kuwadhalilisha na kuwavua nguo uchi wa mnyama viongozi wa CHADEMA walipokuwa Magereza? Wahusika wachukuliwe hatua

  Mfungwa ama Mahabusu aingizwapo Gerezani,hupekuliwa.Na upekuzi huo hufanywa kwa maelekezo ya sheria iliyopitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya Usalama wa Mfungwa ama Mahabusu mwenyewe pamoja na Askari wafanyao kazi ndani ya Gereza. Acheni malalamiko yasiyo na msingi...
 9. A

  Poleni sana CHADEMA kwa maporomoko haya, ila bora ya NCCR Mageuzi

  Wana Jf,kumekuwapo na kawimbo kanakoendelea katika nyuzi humu JF, ka kuwa na Tume huru ya Uchaguzi kabla ya Oktoba 2020. Mimi sio muelewa sana na huo muundo wa hiyo TUME HURU ya kusimamia hun Uchaguzi.Naomba macho na akili, hiyo Tume itaundwa na watu gani na kusimamiwa pamoja na kuwajibika kwa...
 10. A

  Kwa haya matukio yaliyotokea nchini, ukimya wa Rais unatisha

  Huenda amepitiwa na kusahau.Lakini ninavyomjua,naona kama vile Waswahili yanavyosema,"Wao waache waseme,midomo na ndimi zao hazilipiwi VAT.Yeye anasukuma maendeleo,anachapa kazi.Hapa kazi tu. Sent using Jamii Forums mobile app
 11. A

  Tundu Lissu: Vincent Mashinji alikosa uadilifu ndani ya CHADEMA. Hakuna pengo kuondoka kwake

  Mashinji ameona mbali tena mapema kuwa Bus la CDM ni bovu hivyo amehofu kulala njiani.Ni vyema kudandia Bus la mwendo kasi tena akae karibu na dreva afike upesi.Kazi kweny enyi .....Kwanini mnashindwa kusoma ALAMA za nyakati! Sent using Jamii Forums mobile app
 12. A

  Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

  Nipongeze Jf na mtoa Uzi huu ubaki kwenye njia kuu kwa wakati huu muafaka kuwalipua hao wawindaji wa usiku na wengine wenye mizio (allergy) ya rushwa kwani popote wapambanaji wapo. Sent using Jamii Forums mobile app
 13. A

  Picha hii inaongea maneno mengi mno!

  Alimbembeleza nini? 1. Kuchukua.garini 2. Akubali kuhojiwa. 3. Ama kama wavyodai wapi ramli kwamba,badili maamuzi ya kujitoa kwenye CHAMA na asirudishe Kadi? Hata hivyo, Mzee Makamba ni wa Busara na Hekima sana.Atakuj pa kumalizia fundo la kizubau chake. Nimekumbuka wakati fulani katika moja ya...
 14. A

  Ziara ya Zitto Kabwe: Akutana na Spika wa Bunge la Marekani, Nancy Pelosi

  Asante yote amalize hukohuko Marekani,kumbe mjue Tanzania Unajua tofauti ya pumba na mchele. Hao Wamarikani wenu ni Chui wa makaratasi mbele ya Siasa za Tanzania. Wananchi wana macho na wanaufahamu wa wanachokitaka. Mtaishia Mitandaoni,na tarehe za majukwaani suluali zitawapwelepweta. Tukutane...
 15. A

  Bernard Membe ahojiwa na Kamati ndogo ya maadili CCM. Asema kafurahishwa kwakuwa amepata nafasi ya kutoa maoni na kujieleza yote waliyotaka kuyajua

  Ni kikao cha CCM wewe Wanaharakati,wayatakia nini matokeo?Yanakuhusu!Wewe nyamaza na tulia tukutane Oktoba kuucheza MTUTA. Sent using Jamii Forums mobile app
 16. A

  Vyama 12 vya upinzani nchini Vyamkana Mbowe na Chadema, vyasema vitashiriki uchaguzi chini ya NEC kwani wana Imani nayo

  Sisi kama ni Wabeba CCM,nyinyi CHADEMA mbona ni kipindi cha Wahuni Wanaharakati.(Chaga Development Movement Association). Hamna la maana bali mnataka kuirudisha nchi nyuma kwa kushirikiana na hao Washirika wenu wa Ulaya.Nendeni na muwaambie Tanzania iko IMARA na wenye tupo.Jihadharini msizime...
 17. A

  Majibizano ya risasi kwa dakika 35: Ina maana Polisi wamefundishwa kuzima risasi na kuzikwepa?

  Usijaribu kujiunga na makundi ya Ujambazi na mkifumaniwa ukaanza kujibishana nao kwa RISASI utapoteza maisha.Hao Polisi hiyo ni kazi yao na wanapatiwa mafunzo ya Mara kwa Mara kupambana na wahalifu.Hivyo majambazi chuo chao kilo wapi? UHARIFU HAULIPI CHOCHOTE.Wapo Wengi walivuma lakini sasa WaPo...
 18. A

  Rais Wa Barrick: Watu walivumisha kuwa Tanzania inasumbua wawekezaji, Napenda kuthibitsha kuwa kinachofanywa ni sahihi kwa manufaa ya pande mbili

  ZZK kavurugwa na ACT imebaki debt tupu. Sent using Jamii Forums mobile app
 19. A

  Kumbe Lugola alichosaini ni Memorandum of Understanding (MOU) na sio Contract! Magufuli hajui kuwa MOU haina nguvu ya kisheria?

  Utoa Uzi huu kama una ofisi itakayomfaa Mtumbuliwa mpe kazi.Lakini,mwenye kazi ndiye achagua amtakaye kumtuma. Msanii mmoja hapa nchi alimhasa Mjomba wake kuwa,"akiwa ndani kwake,ajihadhari Samaki Nguru asimle wala kumgusa kwani harufu ya shombo yake haitakasiki asilaani" Mtumbuliwa sio tu...
 20. A

  Tetesi: Tanzania inalipwa mabilioni ya fedha toka nje ambazo zimefanywa siri na serikali hazina rekodi, tumenunulia ndege, na kujenga SGR na Stiegler nk

  Tanzania,tualipwa ili tusiichimbe gesi yetu. Mbona hadhithi ya Abunuwasi/Alflelah Ulelah.Mtoa UZI Angalia usibadili gea bila Klachi,hiyo gari sio "Automatic gear" Sent using Jamii Forums mobile app
Top