• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. Mathias Raymond Nyakapala

  Mnaovuta sigara njooni hapa haraka mjifunze jambo muhimu

  A cigarette is a pinch of tobacco rolled in a piece of paper with fire on one end and a fool on the other end! Nimeitoa Twitter Sent using Jamii Forums mobile app
 2. Mathias Raymond Nyakapala

  Elections 2020 Wanaotaka ubunge 2020 tukutane hapa

  Sema unataka kugombea jimbo gani na chama gani ili upate ushauri na Watu wa kukuunga Mkono.... Mimi nagombea Mtera-Dodoma. Chama-Chadema 2020-2025 Naomba kama naweza kupata ushauri Sent using Jamii Forums mobile app
 3. Mathias Raymond Nyakapala

  Elections 2020 Maamuzi magumu CHADEMA tuliyowahi kufanya 2019

  Uchaguzi huu Mkuu ndani ya Chama ulikuwa na maamuzi makubwa na Magumu,kwasababu CCM walikuwa wanatamani Mbowe asirudi ili apatikane mtu dhaifu ikiwezekana wamnunue,bila kujali propaganda zozote zile tumefanya maamuzi ya Kuwaleta na kuwaizinisha Makamanda..... Sent using Jamii Forums mobile app
 4. Mathias Raymond Nyakapala

  Freeman Mbowe: Balozi zetu ni fedheha kwa taifa, tunajaza watu wa usalama wa taifa badala ya Wataalam wa Uchumi

  FREEMAN A. MBOWE(Mwenyekiti wa Chadema Taifa) Ameeleza vizuri kuhusu teuzi za Mabalozi wa Tanzania kwenda Nchi za Nje.
 5. Mathias Raymond Nyakapala

  Uzi maalum wa picha wa CHADEMA

  Hapo ni Jimbo la HAI Sent using Jamii Forums mobile app
 6. Mathias Raymond Nyakapala

  Mahakama yamrejeshea ushindi wa udiwani kata ya Ndalambo Mgombea wa CHADEMA aliyeporwa na DED

  Ccm itakabidhi dola kama tutapata TUME HURU kwasababu hii mpaka mtu aliyeshinda ameenda mahakamani ndo ametangazwa.... Sent using Jamii Forums mobile app
 7. Mathias Raymond Nyakapala

  Soko la Sabasaba mkoani Dodoma lipo bila Uongozi kwa miezi nane sasa

  SOKO LA SABASABA KWENYE MKWAMO WA UONGOZI KWA MIEZI 8 SASA* Na Peter J Mallya Soko kuu la Sabasaba Jijini Dodoma ni miezi 8 sasa limekuwa halina uongozi kutokana na uongozi wa mwanzo kuvunjwa kwa tuhuma za ubadhilifu wa mali za soko hili. Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma Godwin Kunambi alivunja...
 8. Mathias Raymond Nyakapala

  UVCCM wanaodai kumiliki sehemu ya eneo la Sabasaba jijini Dodoma, wamekuwa kero kwa wafanyabiashara

  UVCCM NA UPORAJI WA ENEO LA SABASABA DODOMA DHIDI YA WAFANYABIASHARA Kumekuwa na mgogoro wa eneo la wafanyabiashara Sabasaba mjini Dodoma kwa miaka 15 bila kupata ifimbuzi! Eneo la Sabasaba walipewa wamachinga toka mwaka 1996 waliokuwa wanapanga One Way barabara ya 9,10,11 na12 na waziri mkuu...
 9. Mathias Raymond Nyakapala

  DODOMA.Nunua na Uza Viwanja,Mashamba,Mapagale na Nyumba hapa

  Habari za mida wakuu naomba kuwafahamisha kuwa kwa waliopo Dodoma au nje ya Mkoa karibuni mnunue au muuze vitu tajwa hapo juu. Changamkia fursa ya Dodoma kuwa Makao Mkuu ya Nchi yetu ya Tanzania. Kwa mawasiliano piga/sms/WhatsApp +255752464548
 10. Mathias Raymond Nyakapala

  CHADEMA waita wanachama nchi nzima tarehe 6 Desemba, 2018

  #BREAKING_NEWS Chadema yaita Wanachama wake wote Nchi nzima kufika Kisutu Dar Es Salaam Desemba 6, 2018. Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimewataka wanachama wake wote Nchi nzima kufika Mahakamani wakati kesi inayowakabili Viongozi wake watano itakapounguruma ili wajionee uendeshwaji...
 11. Mathias Raymond Nyakapala

  Diwani Pascal Mhembano Matulah ameuga mkono juhudi

  Barua hiyo hapo jisomee mwenyewe
 12. Mathias Raymond Nyakapala

  SUGU ATAUA NDANI YA DODOMA 10/11/2018(Jumamosi)

  Usikose TBT Dodoma na Jogwe....PP.219
 13. Mathias Raymond Nyakapala

  Mbunge Musukuma na simu yake

  Habati za majukumu wanajamvi nmeona simu anayotumia Msukuma(mbunge wa Geita vijijini)nikasema ngoja tuone kwa pamoja na tujue maoni ya wengine... Namnukuu “Simu yangu naipenda sana maana ina historia kubwa sana na ikitokea imeharibika nitaiweka nitaiweka kwenye makumbusho" - Musukuma Toa...
 14. Mathias Raymond Nyakapala

  BAVICHA tulaani ukiukwaji wa sheria za vyuo vikuu nchini

  *BAVICHA TUNALAANI UKIUKWAJI MKUBWA WA SHERIA YA VYUO VIKUU NCHINI* Baraza la Vijana CHADEMA Taifa tumeshtushwa na ukiukwaji Mkubwa wa sheria za vyuo vikuu unaoendelea katika baadhi ya vyuo hapa nchini kwa maslahi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) Hivi karibuni tu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
 15. Mathias Raymond Nyakapala

  Naomba msaada maana laptop (HP COMPAQ) yangu inanisumbua inakataa kuunga Internet

  Habari za majukumu wana jukwaa... Naomba moja kwa moja niende kwenye mada naomba msaada maana laptop(HP COMPAQ)yangu inanisumbua inakataa kuunga Internet nimejaribu njia kadhaa inagoma. Nikiingia kwenye connect nabofya haionyeshi kitu nimejaribu njia zote zinakataa. Nategemea msaada maana...
 16. Mathias Raymond Nyakapala

  Jifunze: Kuna watu huishi maisha haya

  Inachekesha lakini kwa mbali baadhi ya watu wanaishi maisha haya.... Mbwa aliambiwa: Utalinda nyumba za watu, utakuwa rafiki bora wa mwanadamu, utakula makombo atakayokuachia, na utapewa umri wa miaka 30. Mbwa akasema: Miaka 30 ni mingi, nataka miaka 15 tu. Akapewa. Kima aliambiwa...
 17. Mathias Raymond Nyakapala

  Karibu ujipatie viwanja jijini Dodoma

  Karibu ujipatie Viwanja,Nyumba,Mashamba na Maeneo ya uwekezaji Mkubwa na Mdogo kwa Bei zinazolipika Chang'ombe Extension Kiwanja kinauzwa ni karibu na Nkuhungu pia Kiwanja ninafaa kwa biashara au makazi(kipo karibu na barabara kubwa upande wa mbele na pembeni barabra ya mtaani) Bei ni 13m...
 18. Mathias Raymond Nyakapala

  Viongozi wengi wa siasa kuwa fimbo ndogo

  Mbukwenyi wawaha JF Naomba kufahamishwa na kujuzwa maana halisi ya kiongozi kuwa Kifimbo kidogo hivi na akawa anatembea nacho,mara anaweka kwapani au anashika mkononi -Naomba kujuzwa maana ya FIMBO HIZO/HIYO -Naomba kujuzwa maana ya KUWEKA KWAPANI NA KUSHIKA MKONONI -Asili ya hii tabia na...
 19. Mathias Raymond Nyakapala

  Nahitaji simu l9+ au k9+

  Habari za majukumu wakuu naomba kuwasilisha mada kwenu ila kikubwa ni mahitaji yangu ya simu ila naomba iwe ni Tecno kwasababu za kimazingira....... Nimependekeza L9+ na K9+ ila zipo nyingine nzuri zinazolingana uzuri na hizo bei tutakubaliana haiwezi kuwa tatizo sana mawasiliano 0625646266
 20. Mathias Raymond Nyakapala

  Kwa mujibu wa sheria hii makonda yupo sawa

  Habari za majukumu wakuu naomba kuelimishwa kama hii ni sawa?
Top