• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. TANESCO

  Lipigie kura Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuweza kushinda kipengele cha ‘Best Government Page of the Year 2020’

  Lipigie kura Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kuweza kushinda kipengele cha *Best Government page of the year* kwa mwaka 2020. Cha kufanya; 1. Fungua hiyo link utakutana na neno Vote chini kabisa ya ukurasa 2. Utakutana na Vipengele vitatu yani *Award Category*, *Sub Category * na...
 2. TANESCO

  Taarifa ya tahadhari kwa wananchi wanaoishi pembezoni mwa mkondo wa maji yatokayo vyanzo vya kufua umeme vya Mtera na Kidatu

  TAARIFA KWA UMMA: FEBRUARI 15, 2020 TAARIFA YA TAHADHARI KWA WANANCHI WANAOISHI PEMBEZONI MWA MKONDO WA MAJI YATOKAYO KWENYE VYANZO VYA KUFUA UMEME KWA MAJI VYA MTERA NA KIDATU Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linatoa taarifa kuwa kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha bwawa la Mtera...
 3. TANESCO

  TANESCO: Tunakanusha tatizo katika mfumo wa manunuzi ya LUKU

  TAARIFA KWA UMMA Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linakanusha vikali taarifa inayo sambaa katika mitandao ya kijamii kuwa kutakuwa na tatizo katika mfumo wa manunuzi ya LUKU kuanzia tarehe 25 Machi 2018 hadi 05 Aprili 2018 , kwamba wateja wanunue umeme wa kutosha katika kipindi...
 4. TANESCO

  Kilichosababisha umeme kukatika alfajiri

  SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) TAARIFA YA KUKATIKA KWA UMEME KATIKA MIKOA ILIYOUNGWA KATIKA GRID YA TAIFA Tunawataarifu Wateja wetu na Wananchi kwa ujumla kuwa, majira ya saa 8:49 Usiku kumetokea hitilafu katika mfumo wa Grid ya Taifa. Hitilafu iliyopelekea kukosekana kwa huduma ya umeme...
 5. TANESCO

  Mikoa inayotumia grid ya Taifa ya umeme yakosa umeme, grid ya taifa imesumbua Kidogo

  TANESCO Tunaomba radhi wateja wetu Imetokea hitilafu gridi ya taifa na kusababisha umeme eneo lote la Dar es Salaam na baadhi ya mikoa kukosa umeme. Tatizo hili linashughulikiwa na umeme utarudi baada ya muda mfupi ======= SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) TAARIFA YA KUTOKEA KWA HITILAFU...
 6. TANESCO

  Employment opportunities internal and external advertisement

  TANZANIA ELECTRIC SUPPLY COMPANY LIMITED Background – TANESCO http://www.tanesco.co.tz The Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) is focusing on increasing the outreach and service quality of its Energy products for Tanzanian people. Next to its current passion as a leading provider of...
 7. TANESCO

  Quantity surveyor – estate development, architect – estate development mechanical engineer civil eng

  Tanzania Electric Supply Company is focusing on increasing the outreach and service quality of its Energy products for Tanzanians. Next to its current passion as a leading provider of electricity is to be more efficient, customer focused utility for Tanzania and beyond. The Company has the...
 8. TANESCO

  Internal and external advertisment generation engineer 2 posts Ubungo gas plant 1

  The Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) is focusing on increasing the outreach and service quality of its Energy products for Tanzanian people. Next to its current passion as a leading provider of electricity is to be more efficient customer focused utility for Tanzania and beyond. The...
 9. TANESCO

  Internal and external advertisement

  ELECTRICAL TECHNICIANS - 7 POSTS REPORTS TO: ENGINEER REPORTING OFFICE: KILIMANJARO, ARUSHA, AND MANYARA KEY KNOWLEDGE, EXPERIENCE AND SKILLS REQUIRED FOR THE JOB Holder of Ordinary Diploma in Electrical Engineering from a recognized institution with Secondary School education. Senior Zonal...
 10. TANESCO

  TANESCO yawaomba Wananchi kutoa taarifa mapema waonapo Hitilafu ya umeme Iliyosababishwa na mvua

  SHIRIKA la Umeme Tanzania, (TANESCO), limewaomba Wateja wake na Wananchi kwa ujumla kutoa taarifa mapema mara inapotokea hitilafu ya umeme iliyosababishwa na mvua au sababu nyingine. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam Mei 11, 2017, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa...
 11. TANESCO

  Taarifa ya kuomba radhi wateja wetu wa mikoa ya Tanga na Pemba

  Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawaomba radhi Wateja wake wa Mikoa wa Tanga na Pemba kwa hitilafu ya umeme iliyotokea usiku wa Mei 08, 2017 Saa 5:13. Hitilafu hiyo inatokana na nguzo kuanguka katika njia ya umeme ya Hale - Tanga ya Msongo wa Kilovolti 132 na kusababisha Kituo cha...
 12. TANESCO

  Tahadhari kipindi cha mvua

  Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kutoa tahadhari kwa wateja wake kuzingatia yafuatayo kipindi hiki cha mvua nyingi 1.Kutoa taarifa mapema mara inapotekea hitilafu yeyote kwenye miundombinu ya umeme kulikosababishwa na mvua au sababu nyingine. 2.Kutokukaa au kufanya shughuli...
 13. TANESCO

  Zijue taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO

  HATUA YA KWANZA MAOMBI YA MWANZO Je mteja anaweza kuchukua fomu ofisi yeyote ya tanesco? Mteja anaweza kuchukua fomu ya maombi ya umeme katika ofisi yeyote ya shirika bila kujali kuwa eneo hilo linahudumiwa na ofisi husika. Ila atapaswa kurudisha ofisi ya maeneo ambayo makazi yake yapo ili...
 14. TANESCO

  TANESCO: Heri ya maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano

  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Dkt. Tito E. Mwinuka kwa Niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa TANESCO, anamtakia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein na...
 15. TANESCO

  Fahamu mita za LUKU zinazofungwa majumbani

  Wateja wetu wengi wamekuwa wakijiuliza iwapo wamefungiwa mita sahihi kutokana na matumizi yao ya umeme? Ama mita ambazo wamefungiwa ni za Viwandani na kulalamika wanatumia umeme mwingi zaidi tofauti na matumizi wanayotumia Mita za LUKU zinazofungwa majumbani ni sahihi kwa matumizi ya nyumbani...
 16. TANESCO

  Kikosi kazi cha kuokoa mfumo wa ikolojia katika bonde la mto Ruaha Mkuu Chaanza kazi.

  Kikosi kazi hicho kilizinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Mwezi Aprili Mwaka huu alipokuwa katika ziara Mkoani Iringa na kutembelea kituo cha kufua umeme kwa njia ya maji cha Mtera. Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Dk. Tito E. Mwinuka, alisema...
 17. TANESCO

  LUKU: Mfumo wenye tija kwa wateja na TANESCO

  “LUKU ni aina ya mita zinazotumia mfumo rafiki kwa Mteja, zikitokana na Teknolojia mpya inayowezesha kuonekana kwa matumizi sahihi ya umeme yaani Lipa Umeme Kadiri Utumiavyo..” Wakati Teknolojia hii inaanza hapa Nchini Mwaka 1995, Tanzania ilikuwa Nchi ya pili Barani Afrika kwa kutumia LUKU...
 18. TANESCO

  TANESCO: Serikali imefanya uwekezaji mkubwa katika Sekta ya Umeme Nchini

  SERIKALI kupitia TANESCO imefanya uwekezaji mkubwa katika Sekta ya umeme Nchini ambao haujawahi kutokea Katika Historia ya uwekezaji katika Sekta ya Umeme. Miongoni mwa Miradi mikubwa ya umeme inayotekelezwa ni pamoja na upanuzi wa Kinyerezi I, ujenzi wa Kinyerezi II, Kinyerezi III, Kinyerezi...
 19. TANESCO

  TANESCO: Heri ya Sikukuu ya Pasaka

  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Dkt. Tito E. Mwinuka kwa Niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa TANESCO anawatakia nyote Heri ya Sikukuu ya Pasaka. Aidha, anawasihi Wateja na Umma kuwa waangalifu na kuwa mbali na miundombinu ya umeme hasa katika kipindi hiki cha mvua...
 20. TANESCO

  TANESCO: Tahadhari kipindi hiki cha mvua

  Shirika la Umeme Tanzania TANESCO linawataarifu Wateja wake na Wananchi kwa ujumla kuwa, kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha ni muhimu kuchukua tahadhari kwa:- Kutokufanya shuguli za kibiashara karibu na miundom binu ya...
Top