• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. Kinoamiguu

  Haji Manara: Nimeshamuonya DC wa Arumeru Jerry Muro akiendelea Kunishambulia natoa Siri yake Kubwa mno na Mbaya sana

  Vita ya ubunge jimbo lal ubungo hakuna mpira hapo Sent using Jamii Forums mobile app
 2. Kinoamiguu

  Bunge siyo mali ya Spika au chama cha siasa bali ni mali ya Wananchi, lisifanywe kama Huduma ya " Kilokole"

  Ulipaswa uwambie wana LUMUMBA wenzio kazi za bunge kwanza . Spika ndugai hafanyi kwa bahati mbaya ni maelekezo toka ikulu Sent using Jamii Forums mobile app
 3. Kinoamiguu

  Kesi namba 456 ya 2016 JamiiForums vs Jamhuri Kisutu: Maxence Melo ahukumiwa Mwaka jela au faini ya Tsh. Mil 3. Mwenzake aachiwa huru

  Mm Mwanakijiji huu ndiyo utawala wa sheria? Huu ndiyo uongozi unaousifia Sent using Jamii Forums mobile app
 4. Kinoamiguu

  Jinsi Paul Makonda anavyowaburuza CHADEMA

  Amburuze nani mtu mwenyewe sio riziki . Hata watoto anapandikiziwa tuu. Sent using Jamii Forums mobile app
 5. Kinoamiguu

  Elimu ya Lissu haina msaada kwa Watanzania

  Sawa nani aliyempa Sumu MANGULA? Sent using Jamii Forums mobile app
 6. Kinoamiguu

  Elimu ya Lissu haina msaada kwa Watanzania

  Elimu ya MAGUFULI ina msaada gani kwa taifa? Sent using Jamii Forums mobile app
 7. Kinoamiguu

  BoT yatangaza Noti mpya

  Ukaona nchi inachaposha noti ujue uchumi umeporomoka. Hakuna pesa kwenye mzunguko inaongoza nyingine ambazo hazina uwezo wa kununua chochote nje. Mlitwambia nchi tajir hii haya sasa twende kaziiii Sent using Jamii Forums mobile app
 8. Kinoamiguu

  Tuelezwe tatizo la Makonda kabla ya kumlaumu

  Kabla hujaunga mkono kuzurura. Tueleze kwanza kuzurura manake nn? Juzi tu hapa mmechukua 20000 elfu za hao wazururaji na kuwa vitambulisho leo mmewageuka? Allah? Kumbe ndo mana mnalambishana SUMU huko LUMUMBA? Mnataka Kuana kwa sumu kwa ujinga wa watu wanakufa kwa Corona lile jehu lenu...
 9. Kinoamiguu

  Tuelezwe tatizo la Makonda kabla ya kumlaumu

  Kuzurura manake nini? Katiba inasemaje juu ya kuzurura je sio kweli kwamba Mtanzania anaruhusiwa kwenda popote bila kuvunja sheria yyte ile Sent using Jamii Forums mobile app
 10. Kinoamiguu

  Kwanini Mangula ameondolewa Muhimbili kimya kimya?

  Mbowe anajua protocol wewe junya la LUMUMBA umejaza makalio kama lile junya la pale ilala Sent using Jamii Forums mobile app
 11. Kinoamiguu

  Turudi kwenye mstari juu ya hali tete ya Mzee Philip Mangula

  Wakimaliza kwetu watakuja kwenu ... in the voice of TUNDU ANTIPAS MUGHWAI LISU Sent using Jamii Forums mobile app
 12. Kinoamiguu

  Makonda una mambo mengi ambayo huyamalizagi ( unfinished Business)

  Haikuwa dawa yalikuwa maji. Narudia tena wandishi hawana uwezo wa kuhoji maswali.juu ya masuala/ issues hawa ni wandishi wa matukio.... unaandika kinachosemwa na kusikika Sent using Jamii Forums mobile app
 13. Kinoamiguu

  Makonda una mambo mengi ambayo huyamalizagi ( unfinished Business)

  Mambo mengi anayoyasema au kufanya bwana makonda hayatokani na research/utafiti Bali huyaibua ili aandikwe magazetini na kutangaza radioni. Kwa bahati mbaya sana wandishi hawa kutoka digital media hawana uwezo wa kuhoji maswali juu ya masuala Sent using Jamii Forums mobile app
 14. Kinoamiguu

  Hosteli za Magufuli kutumika kama karantini za kuweka wageni kutoka nchi zilizoathiriwa na Corona

  Hostel za MAGUFULI hazina cafeteria chakula watakula wapi? Wanafunzi wanaoishi pale wanakula kwa mama lishe Sent using Jamii Forums mobile app
 15. Kinoamiguu

  Wazurulaji wanaolengwa kukamatwa na RC Makonda ni akina nani?

  Kupiga kazi manake nn? Kama katiba inamruhusu mtu kwenda popote bila kununua sheria mpuuzi mmoja anawezaje kusema huyu mzururaji? Nyie kweli mliiba Vyeti Sent using Jamii Forums mobile app
 16. Kinoamiguu

  Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi! Je, anahusika?

  Wal munafiqnaaaaa.wewe ni mnafiki sana.mnafiki sana Sent using Jamii Forums mobile app
 17. Kinoamiguu

  Maandamano ya tarehe 4/4 yaliishia wapi? Mbona hatukupata updates?

  Hujui hata unachokisema unatia kinyaa. Lol. Aliyekuambia palikuwa na maandamano tarehe 4/4 ni nani? Ilikuwa mikutano sio maandamano! Kama makengeza ni kilema mbona kuna wengine wanapandwa na vichaa kabisa na kuanza kufurusha mawe kwenye mapaa ya ikulu. Swali. NANI ALIMPA SUMU MANGULA? Sent...
 18. Kinoamiguu

  Swali kwa Rais Dr.Magufuli:Ni lini waliokula mishahara hewa watafikishwa Mahakamani?

  Soma.vizuri kanuni na sheria za utumishi wa umma. Kuna siku watakuja kulipwa pesa nyingi sana wale. Mtumishi wa umma hafukuzwi kama unavyofukuza malaya baada ya kumaliza shida zako.mlikurupuka mtajuta Sent using Jamii Forums mobile app
 19. Kinoamiguu

  Swali kwa Rais Dr.Magufuli:Ni lini waliokula mishahara hewa watafikishwa Mahakamani?

  kuna mtu alikutwa sarawati. Kumbukumbu zangu zinaonesha alikuwa mpinzani tangu nyerere Sent using Jamii Forums mobile app
 20. Kinoamiguu

  Swali kwa Rais Dr.Magufuli:Ni lini waliokula mishahara hewa watafikishwa Mahakamani?

  Haikuwa mishahara hewa kwavile walikuwa wanafanya kazi.ila walikuwa na vyeti feki/siyo vyao. Hata hivyo MAGUFULI hajawahi kuchukia vyeti feki... kwann DAUDI ALBERT BASHITE BADO YUPO OFISINI . Sent using Jamii Forums mobile app
Top