• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. KAWETELE

  Mapenzi kipindi cha Karantini 😂😂😂

  Unatumia mtandao pendwa?
 2. KAWETELE

  Huduma mbovu za Mtandao wa TTCL: Malalamiko ya wananchi

  Sina uhakika kama TTCL watajibu.. Ila yangu ni haya: 1. Meneja Masoko wenu TTCL ameshindwa kazi.. Hampo popular. Yaani kuna siku niluamua hadi kupiga simu kuulizia menu ya T-pesa. 2. Kuna kipindi nilienda Jijini Mbeya kikazi.. Kule ukinunua kifurushi cha internet ya TTCL basi ujue umeamua...
 3. KAWETELE

  Sehemu tano za kushangaza duniani

  Barikiwa sana
 4. KAWETELE

  Hatimaye Masheikh wameng'amua hili swala!

  Haa haa.. Kuna watu wanaingia kwenye shimo kabisa.. Tena siku chache lilikuwa bleed.
 5. KAWETELE

  Top Ten Vituko 10 Vya Kona Bar Sinza Afrika Sana

  Daah.. Corner Bar ni habari ya Mjini.. Kuna siku nilitimba pale na mshkaji wangu Muddy kufanya utalii wa ndani.. Tukawa tunapiga Monde mdogo mdogo. Basi akajitokeza mdada mmoja umbo kama Mercy Makaaya.. Akasema anauza mtandao pendwa.. Niliondoka bila kuaga..
 6. KAWETELE

  Kutoka Mafuta Ya Kupaka ya Rays Mpaka Carolight

  Naomba picha za hayo mafuta ya Rays
 7. KAWETELE

  Lumumba, Dar: Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM imetoa siku 7 kwa Kamati yake ndogo kuwasilisha taarifa ya mahojiano ya Membe, Makamba na Kinana

  Wakati huu Jasusi Mbobezi yupo hotel isiyofahamika akiwazoom Mbona Kamati haijaeleza kwa nn Makamba na Kinana hawakuhojiwa Dodoma kama Membe
 8. KAWETELE

  Mbwana Samatta awachoka Watanzania wakorofi mtandaoni, awataka kuacha maneno ya kashfa

  Sasa kama hawampi Pass.. Message sent..
 9. KAWETELE

  Mh.Paul Makonda atembelea Chama Cha Wanasheria (TAWLA) wanaopambana na ukatili wa kijinsia

  Duuu Wewe ni msemaji wake.. Unajuaje kama hilo ndiyo jibu.. Akiomba msamaha na kuwapigia magoti Mabeberu... Utaweka wapi sura yako
 10. KAWETELE

  Mamlaka ya hali ya hewa, mwaka huu hii sio El Nino kweli?

  Mkuu kwanza tujue maana ya El nino na mwenzake La Nina. El Ninyo Hii ni mkondo bahari wa joto kwenye bahari ya pacific. Moja ya matokeo yake huwa ni hizo mvua tena upande wa kusini mwa Equator.... So El nino hufahamika kimataifa siyo suala la nchi.
 11. KAWETELE

  Maalim Seif kugombea nafasi ya Zitto Kabwe ndani ya ACT-Wazalendo

  Yote kheri Ni wakati sasa wa wanaCCM kuomba haki ya kumchagua M.kiti
 12. KAWETELE

  Samatta na bahati yake, anaenda Wembley.

  Atacheza?
 13. KAWETELE

  Kabwili: Line walionipigia watu wa Simba nilishavunja

  Simba wajiandae kushuka daraja
 14. KAWETELE

  Serikali imarisheni TTCL tuwahame mabeberu

  Nashangaa kuona TTCL Wapo hoiii internet yao IPO slow Sana
 15. KAWETELE

  Kutumbuliwa kwa Lugola: Askari Polisi waandika waraka, washukuru kuondolewa wizarani kwani aliwadharau na kuwabeza hadharani

  Daah Kangi hana mshipa wa Aibu kama mwigulu tu: hapo atarudi bungeni kumuimbia Magu nyimbo za sifa.. Illllll
Top