• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. K

  Nahitaji pool table

  Ni wapi naweza kuipata
 2. K

  Ni wapi nitapata pool table

  Wakuu kama heading inavyosema je kuna mtu mwenye ujuzi anaweza kunipatia sehemu gani hizi pool table zinapatikana?
 3. K

  Nitajuaje kiasi ambacho tayari nimelipa HESLB

  Wenye uelewa nisaidieni je ni category gani ya hela inalipwa km sehemu ya mkopo? a. Ada b. Boom C.library requirement. Au yote tafadhali mwenye uelewa anijuze
 4. K

  Nipo Tanga any jf member tufahamiane.

  Hellow wakuu nipo hapa Tanga jiji najua jf kuna wenyeji wengi wa hapa tunaweza share moments. Ntashukuru kwa kufahamiana
 5. K

  Wadau nijuze taratibu za kufunga ndoa za kiserikali ( bomani)

  Kama kichwa Cha habari kilivyo anayejua anaweza kusaidia kutoa briefing
 6. K

  Biashara ni imani ! Imani yako ni ipi?

  Wakuu ambao ni wajasiriamali na wafanyabiashara hebu tufunguke kuhusu haya mambo imani yako ni ipi ktk kufanya biashara je inakusaidia ipasavyo? Imani yako ni ipi katika mafanikio? Yakwangu mtoa mada ni mchanganyiko Nakaribisha maoni
 7. K

  Hivi ni nani mmiliki wa kiwanda cha Kagera Sugar?

  Ni baada ya kupita barabarani na kuona mashamba makubwa ya miwa nikapata shauku ya kujua.
 8. K

  Msaada: Tatizo la kuhisi muwasho kuta za nje ukeni wakati wa tendo

  Wadau kama mada ilivyo wakati wa tendo mwenzangu analalamika kuwashwa sehemu za nje ukeni. Naomba ushauri, mawazo na tiba
 9. K

  Msaada : Wakati wa tendo analalamika kuhisi muwasho wa pilipili kuta za nje za uke

  Wakuu na wajuzi naombeni ushauri juu ya hili tatizo wakati wa tendo analalamika kuhisi pili pili kuta za nje za uke hata kama maandalizi kabla ya tendo yamekuwepo. Pengine akasema ni muda wa miezi km miwili hatujakutana kimwili.
 10. K

  Je ni watu wenye hadhi gani kuitisha press Conference? Je raia yeyote anayo ruhusa Kuitisha Press Conference ?

  wataalamu naomba mnisaidie je ni watu wenye hadhi gani na mamlaka yapi ya kuitisha Press Conference ikakubalika bila kuwa na vikwazo vya polisi , Je raia wa kawaida anayo hayo mamlaka ya kuitisha Pree conferernce na asibugudhiwe na serikali?
 11. K

  Wale ambao tuliwahi kupata wasichana kwenye basi tukutane hapa

  Nakumbuka enzi hizo nikifanya kazi ya ukonda na uchecking barabara ya Mwanza -Musoma ilikuwa ni hatari kupata wasichana wakali hasa wale waliokuwa wanatoka mbali wakifika stand wanakuganda mpaka walibatizwa jina la mateka maisha ya safari ni mazuri ukiwa umekaa na jinsia tofauti inayoeleweka...
 12. K

  Hivi sarafu za wajerumani za zamani zina thamani gani kwa sasa?

  wakuu kuna sehemu nimepita nikaona mama fulani ameorodhesha list ya hele za wajerumani al maarufu kama Rupia ambazo zimetumika zamani na akiwa na machinga aliyekuwa akimuuzia hizo sarafu je wakati wa sasa hizo sarafu za ripia bado ni deal ?
 13. K

  Ni kitu gani huwa unamficha mpenzi wako ili muweze kudumu kwenye mahusiano

  Binafsi huwa napenda kudanganya umri ili kuendana na mpenz niliyenaye nisiwe mkubwa sana au mdogo sana wewe huwa unadanganya nini?
 14. K

  Natafuta mchumba binti aliye mkoa wa kagera

  natafuta mchumba nina miaka 27 naishi bukoba binti anayehitajika awe na elimu kuanzia kidato cha sita na kuendelea ,
 15. K

  Wadada njoon huku mtwambie hivi mkienda kwa mganga huwa mnawaambiaje kuhusu mahusiano

  Njoon mtiririke mkifika huwa mnaombaje dawa na masharti ya dawa hizo!
 16. K

  Hivi wataalamu wa Kiswahili wanaohitajika nje ya nchi huwa wanapatikanaje nani huwa anawafanyia usaili?

  nimesoma kiswahili udsm kozi ya ualimu .kiswahili lilikuwa ni somo moja wapo . lakini nimekuwa nasikia viongozi wa nje ya nchi kuhitaji wataalamu wa lugha ya kiswahili huwa najiuliza nani anahusika katika kusaili wahusika je hizi ajira hazitangazwi moja kwa moja serikalini? nisaidieni wataalamu
 17. K

  Kwanini binadamu huwa wanapewa majina mawili mawili?

  Wahenga naomba mnisaidie kwamba ni kwanini utakuta binadamu anapewa jina la ubatizo na jina la udogo huwa ni kwanini asipewe jina moja tu?
 18. K

  Mwenye uelewa juu ya tafiti saidizi za elimu na notes zake aniwekee hapa

  Wapendwa salaam zenu, Kama kuna mtu ana uelewa juu ya tafiti saidizi za elimu au material yake naomba tushee hapa jukwaani. Natanguliza shukrani
 19. K

  Kwani ina tv ndani?

  Ahsante mwanafa kuwaumbua wadada wa mizinga hujamaliza kumtongoza ashalist matatizo lukuki unayopaswa kumtatulia huku akiona papuchi kama defence mechanism kwake. Hii awamu wasubiri kila hela ipo kwenye bajeti.
 20. K

  Msaada wa haraka katika ufafanuzi wa hili neno

  Neno AFUA msaada kwa aneyelijua au afua stahiki natanguliza shukran wanajf
Top