• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Search results

 1. KING DUBU

  OTEAS: Kiunganishi kinachosumbua waombaji wa Ajira

  Toka serikali ilipotangaza nafasi za ajira kwa wahitimu wa masomo mbalimbali kwa wale wenye shahada na stashahada kupitia mtandao kwa kiunganishi http://196.43.65.187, kiunganishi hiki kinawasumbua sana waombaji. Muda mwingi ukijaribu kukitumia ili uombe au uhakiki basi huwa mtandao haupatikani...
 2. KING DUBU

  Tetesi: Ubaguzi Serikali ya CCM awamu ya tano (5) katika utoaji wa ajira

  Kwa masikitiko makubwa sana wazazi na wahitimu wa ualimu wa masomo ya Sanaa katika awamu ya uongozi huu wanaskitika kwani unaonyesha ubaguzi wa Hali ya juu kwa visingizio vya kukuza sayansi nchini. Hivyo walimu wa arts wanaonekana si kitu chochote na hivyo wameachwa mtaani wengine wakiwa...
 3. KING DUBU

  je dawa ya mifupen zinafaa kutumiwa na wajawazito?

  mke wangu ni mjamzito anajskia maumivu ya mwili je ni sahih kutumia mifupen?
 4. KING DUBU

  Hongera airtel kwa huduma bora ya airtel money

  kiukweli, Airtel ni mtandao makini, baada ya kushindwa kupokelewa fedha kiasi cha laki 5 kwa mtu niliemtumia, huduma kwa wateja walifanya jitihada kubwa sana. Walinipigia simu zaidi ya mara 3 ili kushauriana nini kifanyike ili pesa isipotee! for sure i praise you for your efforts. Hatimae pesa...
 5. KING DUBU

  Waliojivua udiwani CHADEMA watoswa kura za Maoni CCM

  Miongoni mwa madiwani waliojiuzulu wakiwa Chadema kwa kile walichosema ni kumuunga mkono Rais John Magufuli, wameanguka kwenye kura ya maoni ya CCM ngazi ya kata. Kuanguka kwa madiwani hao ni kinyume cha ahadi ya Rais Magufuli aliyoitoa akiwa mkoani Arusha ambako alipendekeza madiwani hao...
 6. KING DUBU

  Mpende mwanamke lakini usimwamini katu!

  Suala la Kusalitiwa na kupelekea kujinyonga, kijiua kisa mapenzi kivyovyote linatokana na kumwamini sana mwanamke. Usijaribu kabisa kufanya hivyo. Mwanamke Haaminiki, anaweza pewa pesa, Mashine kuuchezea vilivyo na kupewa Huduma za kumridhisha lakini bado akakusaliti. Trust non in love affairs...
 7. KING DUBU

  Hata ukikata damu yangu ni Lowassa tupu

  Hata ukikata damu yangu ni lowassa tupu so Wanangu wa ukawa vidole viwili juu! ROMA MKATOLIKI kijana wa Simba. Miongoni mwa wasanii wachache wenye chembe ndogo ya unafiki, ama hana unafiki katika siasa anaamini katika mageuzi ya Kweli. Kwa upeo wangu mdogo Namuunga mkono nikiamini kuwa...
 8. KING DUBU

  Mwanamke Gharama by dogo diamond platinum.

  Wimbo murua Sema Msitari unaosema Hata uwe na Mashine Kama Punda ni bora zaidi.
 9. KING DUBU

  Mwanamke mwanaume

  Mwanamke mwenye ndevu kuliko wote Duniani akitabasamu kwa amani kabisa. Hivi huyu hana genes za Kiume Kweli? Na ametajwa katika Kitabu cha Guinness kuwa anajisikia amani kuwa alivyo.
 10. KING DUBU

  Kilimo cha Karanga

  Wakuu kwa mwenye ujuzi wa kutosha kuhusu kilimo hiki naomba kujuzwa. kuhusu mbegu kiasi gani kinahitajika kwa hekari , changamoto ya magonjwa na Wastani wa mavuno kwa hekari ni gunia ngapi za maganda na ni sawa na ngapi zilobanguliwa? Niko motivated kulima karanga lakini nahitaji kujua zaidi na...
 11. KING DUBU

  ROMA Mkatoliki unaogopa? Mbona hutoi wimbo kuhusu hali ya sasa?

  Sisi wadau wa ROMA mkatoliki msanii wa Hip Hop tunatamani sana kusikia na kuona Ngoma mpya kutoka kwako. Kwa matukio yalivyo sasa naamini una mengi ya kuyazungumzia kwa Kuangalia uongozi wetu wa awamu ya 5. matukio ya Mwafwaaa, Bashite, Kuliwa kwa fedha Za wahanga wa tetemeko, fukuzana ya CCM...
 12. KING DUBU

  Msaada: Namna ya ku unlock simu

  Ni simu aina ya Tecno N2 wadau karibuni kwa wenye ujuzi. ipo restricted kwenye Tigo.
Top